How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Kitafanya kazi kwa kusuasua bila usaidizi wa mkono kinachoropoka maana hakina power

Sasa huyo anakuwa ameshaathirika sana na sheria mkononi. Kitu ambacho hawa madogo hawajui ni kwamba, punyeto inakuwepo ule umri wa ujana mkali, sio kitu cha kufanya maisha yako yote. Kuna age ya jambo hilo na kuna age ikipita jambo hilo linakosa maana.
Ukioa jambo hilo linakosa maana.
 
So ndio we mtu unanyetuka mpka una maliza ladha yoteπŸ˜”
 
Huu uchambuzi haujawah kufanya kazi kwangu
 
Mke wangu mtarajiwa kabla hatujaanza kuishi wote itampasa atambue nyeto ilianza Kabla yake hvy n lazima aiheshimu

Mimi nimekuuliza hivi, chukulia umerudi kwenye shughuli zako usiku, mmekula chakula, mama mjengo ameandaa mazingira, je, utakwenda kwanza bafuni au utashughulika na ma mjengo?

Au utashughulika kwanza ndio uende bafuni? 😁

Hivyo vitu, vinawezekanaje Mbaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…