How Can There Be Free-Will ?

Naona akili yako imeamua kutengeneza dirisha la kuikimbia hoja yako kwa kuongeza viroja
Free will ni wewe kuamua kuvuta sigara ukijua inasababisha kansa usiwasingizie TCC kuwa wanasababisha kansa
Uzwazwa wako sio kosala muuza sigara
 
Naona akili yako imeamua kutengeneza dirisha la kuikimbia hoja yako kwa kuongeza viroja
Free will ni wewe kuamua kuvuta sigara ukijua inasababisha kansa usiwasingizie TCC kuwa wanasababisha kansa
Uzwazwa wako sio kosala muuza sigara
Mkuu habari ya miaka?
 
Watu wanaokuja na argument kua "akili ya kawaida huwezi elewa" nawashangaa sana, utaelewa kwa akili ipi sasa?
Ukweli ni kua dini imeanzishwa na mwanadamu, there's no such thing as a god, haiwezekani kuwe na kitu kinajipinga namna hiyo, anajua kila kitu, alafu bado hajui kila kitu, anaweza yote alafu bado hawezi yote, ndiyo maana yake nini sasa. Hehehe! tatizo tulimezeshwa utotoni tukabeba kama yalivyo, nafurahi nilitoka kwenye hilo gereza la akili, its a mess. Siwashangai watu sana, hata Newton alifika sehemu akasema ni kazi ya mikono ya mungu kwa kua alishindwa kuelewea, wakaja wanasayansi wengine wakaelezea kile alichoshindwa. Religion ni cancer, ikishika ni ngumu sana kutoa.
 
Naona akili yako imeamua kutengeneza dirisha la kuikimbia hoja yako kwa kuongeza viroja
Free will ni wewe kuamua kuvuta sigara ukijua inasababisha kansa usiwasingizie TCC kuwa wanasababisha kansa
Uzwazwa wako sio kosala muuza sigara
Mkuu habari ya miaka?
 

Mkuu nakumbuka nilikuuliza idea ya dini ilinzia wapi? maana unasema imetungwa na binaadamu hivyo ni wapi huko ambapo walianza kupata idea ya kutunga dini?
 
Lazima ya kutenda kwa hiari yako, si lazima ya kutenda kwa kushurutishwa na Mungu. Mungu haja kushurutisha utende kakuachia uamue kwa hiari yako.

Na washawasha!



Unaweza kutuambia Mungu huyo unayemuongelea. Kujua kuwa Wewe utatenda kunahusianaje na kukulazimisha kutenda ?
Sasa kama Mungu unajua kwanini uhudishe ujuzi wake na lazima ya wewe kutenda ?
 
Mkuu naona una points, thread yako ungeileta kwa lugha adhimu ya kiswahili ingependeza sana!
 
Naona akili yako imeamua kutengeneza dirisha la kuikimbia hoja yako kwa kuongeza viroja
Free will ni wewe kuamua kuvuta sigara ukijua inasababisha kansa usiwasingizie TCC kuwa wanasababisha kansa
Uzwazwa wako sio kosala muuza sigara

Habari yako Gentleman.

Let me help you to understand what's Free Will .

Free Will is the ability to have done otherwise or ability to determine your own destiny in making your own choices.

Au kwa maneno mengine wanasema wewe ndiye unaejipangia maisha yako kwa kuchagua machaguo yako unayoyaona ni sahihi kwa muktadha wako.Bimaana,wewe ndiye utakae chagua uingie motoni au peponi kwa machaguo yako utakayoyafanya hapa duniani.Lakini kumbuka kwamba tukiingia kwenye ukweli wa ulimwengu,sio machaguo yote yapo kwenye mamlaka au kwenye maamuzi yako,kuna machaguo mengi ambayo tunayafanya yapo nje ya mamlaka yetu (out of our control ) .

Mathalan ,Mara nyingi maamuzi ya busara ya mtu yanategemea sana IQ/ Intelligence ya huyo mtu,kumbuka kwamba Intelligence inakuwa determined na DNA and Genes za mwili wako ,hauwezi kuamua uwe na IQ au Intelligence ya kiwango gani ,kwahiyo ukiwa na low IQ kuna uwezekano mkubwa ukafanya maamuzi ambayo yataleta athari mbaya kubwa kwenye maisha yako na ya wengine(Ikiwa wewe ni Rais wa nchi)na matokeo yake ukaenda motoni(for those who believe in Hell ) .

Matatizo mengi kwenye hii dunia yanasababishwa na uwezo wetu wa kufikiri ambao we have no control with .Naamini kila Mtu angependa kuwa na IQ kubwa ili iweze kuleta positive impact kwenye maisha yake ,sasa wewe unaye amini una Free Will ,Je unaweza kuamua aina ya IQ uitakayo.? Kwasababu lazima ukubali kuwa huu utafauti wa maisha ni kutoka na IQ zetu kwa kuathiri uwezo wa kufikiri ambao hatuna mamlaka nao.

Unaposema kuwa una Free Will ,hivi una tafakari kuwa the universe ina nafasi kubwa ya kuingilia maamuzi yako bila ya idhini yako ? Newton's Laws Of Motion Can Explain This .

Mathalan,Je unapopija mpira ,unaweza kuamua kwa asilimia mia moja mpira ukatue wapi na kutulia wapi ? Can you decide that ?
The ultimate answer is NO,you can't decide for sure .100% .kwasababu kuna outside forces ambazo huna mamlaka nazo zita ingililiana na maamuzi yako na kuharibu kile ambacho ulitaka kukifanya ,the physical motion of your foot ,the grass on the field ,the wind in the air ,zote hizi zitaathiri makusudio yako ,,kwahiyo huwezi kuamua kwa asilimia 100 mpira utue wapi na uingie wapi.

Sasa unanipa wakati mgumu unaposema unayo Free will wakati kuna maamuzi mengi unayafanya yapo nje ya mamlaka yako ambayo ilibidi yawe ndani ya mamlaka yako ili utengeneze mwisho wako mzuri au mbaya.

Umezungumzia suala la kuvuta sigara na cancer,kwamba umepata Cancer kwa kuwa ulichagua kununua sigara,inaonekana wewe unachojua kuhusu Free Will ni ule uwezo wa kuchagua kufanya au kutofanya,My Dear Brother,Free will Is More Than That .Kadhalika pia nikufahamishe ,huko kupata hiyo Cancer pia siyo maamuzi yako na wala haihusiani na maamuzi yako ya kununua sigara,kwani kuna watu wangapi wanavuta sigara maisha yao yote na hawapati hiyo Cancer ,na wengine miaka miwili tu ya uvutaji sigara tayari ameshapata Cancer ,Je utasema huyu aliyepata Cancer ni Free Will yake ndiyo imemfanya apate Cancer ? Vipi kuhusu yule ambaye hakupata ? Free Will haijafanya kazi ama ?

—Think •

Wapi utachora mstari kuhusu Mambo ya Genetcs ,Laws Of Gravity ,Time ,Nerve Activity,Hormone Imbalance,Infertility pamoja na Free Will ? Hayo yote hapo juu yana athari kwenye hiyo unayoiita Free Will ,nini rai yako katika hili?

—Free Will does not exist ,ni illusion tu na idea ya watu wa dini Katika kupumbaza watu.•

Thanks !
 
Maamuzi ya kuchagua mambo NA uwezo wa kufanya jambo.

Naona watu wanataka kuwa na uwezo wa kufanya lolote walitakalo ndiyo iwe Uhuru wa maamuzi.
 
Lazima ya kutenda kwa hiari yako, si lazima ya kutenda kwa kushurutishwa na Mungu. Mungu haja kushurutisha utende kakuachia uamue kwa hiari yako.

Na washawasha!

Unaamua vipi pasipo kutafakari external forces za universe and other necessary conditions ambazo zina athari kwenye hiyo Free Will ?
 
Maamuzi ya kuchagua mambo NA uwezo wa kufanya jambo.

Naona watu wanataka kuwa na uwezo wa kufanya lolote walitakalo ndiyo iwe Uhuru wa maamuzi.

Sasa how do you determine your own future or destiny yakufanya dhambi ,kuingia motoni,kuingia peponi,ikiwa una limit ya kuamua hata yale ambayo ulipaswa kuamua personally ,sasa how do you call it Free Will ?

What is Free And What Is Will ?
 
Mkuu nakumbuka nilikuuliza idea ya dini ilinzia wapi? maana unasema imetungwa na binaadamu hivyo ni wapi huko ambapo walianza kupata idea ya kutunga dini?

Kwani dini ambayo inatambulika na Mungu ni ipi ? (For those who believe God Exists) ,na utatumia kigezo gani kusema dini fulani ndiyo inatambulika na Mungu ?

Usiniambie Biblia imesema hivi,Usiniambie Quran imesema hivi ,usinimabie Torati imesema hivi ,kwasababu Biblia haiwezi kuukata ukiristu,kadhalika pia Quran haiwezi kuukataa Uislam,and the interesting thing is ,hakuna mkiristu anaeamini Uislam unaweza kuwa ni dini sahihi ,kadhalika pia hakuna muislam anaeweza kuamini ukiristu unaweza kuwa ni dini sahihi .Sasa ili kuweza kuzuia hili zogo lote,tell me ,unatumia kigezo gani kusema dini inayotambulika na Mungu ni dini fulani kwa kufuata masharti ya kuto quote anything from those scriptures.

Ili tupate njia ya kujibu swali lako kuwa idea ya dini ilianzia wapi,jibu hayo maswali hapo juu .

Thanks!
 

Habari yako Dear Brother!

Kwanza nataka kukusahihisha,
Hoja iliyojengwa ni kwamba,Mungu anajua kuwa wewe utaingia motoni au peponi,hii ndiyo hoja.He knows your future inside out ,sasa nataka ukatae hapa kuwa Mungu hajui hilo ,hajui future yako,
Pia nataka ututengenezee hoja yako ambayo siyo Batili ili tupate kufahamu zaidi.

Thanks !
 
Sasa how do you determine your own future or destiny yakufanya dhambi ,kuingia motoni,kuingia peponi,ikiwa una limit ya kuamua hata yale ambayo ulipaswa kuamua personally ,sasa how do you call it Free Will ?

What is Free And What Is Will ?
Uwezo wa kufanya jambo ni suala moja na Uhuru wa maamuzi ni suala lengine,hivyo utaamua kufanya lolote kadri ya uwezo wako ila hoja yako ya kutaka kuwa na uwezo usio na limit hilo suala lengine kabisa.

Ngoja nikupe mfano wa waislamu ambao kwa imani yao ni lazima kuhiji ila kwa mwenye huo uwezo,ila kuna watu wana uwezo wa kwenda kuhiji ila wanaamua kutokwenda kwa sababu wanao Uhuru huo wa maamuzi.

Sasa sijui ni jambo gani ambalo liko nje ya uwezo wetu lenye kutuzui tusifanye maamuzi ama ya kwenda peponi au motoni.
 
Mungu hayupo na free will haipo.

Ingekuwepo free will ningeweza kurudi 1984.

Mungu angekuwepo mabaya yasingewezekana.

Ingekuwepo free will, kwenye baiolojia kusingekuwa na reflex action.

Ushawahi kutaka kuzuia chafya ukashindwa?

Kuzuia ushuzi ukashindwa?

Ushawahi kuwa sehemu unataka usidinde halafu ukajikuta umedinda bila kutaka?

Yote hayo yanaonyesha hatuna free will.
 
Tujaribu kuokoa muda kwa kuepusha ubishani usio na faida,mtu ambaye anadai dini zote ni story zilizotungwa na watu unawezaje kuanza kuuliza dini ipi inatambulika na mungu hali ya kuwa hata huyo mungu mwenyewe sijui kama unaamini. Halafu nikisha kueleza dini ipi yenye kutambulika na mungu ndiyo uje kueleza ni wapi ilipoanza idea ya dini!!!! huku si kupoteza muda kwa kubishana kwa visivyo na maana.

We kama unajua ni wapi watu kwa Mara ya kwanza walianzisha idea ya dini kabla ya kusambaa maeneo mengine ni bora ungefanya hivyo kuokoa muda.
 
Hayo yote unayoshindwa kufanya ni kwa sababu huna huo uwezo,sasa hiyo ni kesi nyengine kabisa.
 
Mungu hayupo.

Kama unafikiri yupo, thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…