How Can There Be Free-Will ?

Zamani ndiyo nini sasa? hebu fafanua.

Hufahamu zamani ni nini? Angalia kamusi. Tafuta maana ya "pre-history".

Sasa ulimwengu huu wenye kuruhusu maovu unathibitisha vp kuwa hakuna mungu mwenye upendo,ujuzi na uwezo huo kuwa hayupo?

Kwa sababu Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kuumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati anaweza kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani ni kujipinga yeye mwenyewe.

Ni kama baba mwenye upendo sana, uwezo mkubwa sana na ujuzi mkubwa sana ambaye uwezo wa kujenga nyumba nzuri sana ya kuishi yeye na familia yake anayoipenda, badala ya kujenga nyumba nzuri ya kuishi yeye na familia yake, ajenge nyumba ya kuishi yeye na familia yake halafu afiche mabomu katika kuta zote za nyumba, kila siku liwe linalipuka bomu na kuua watoto na watu wa familia yake.

Ukiambiwa gaidi katega mabomu nyumbani kwa adui yake hapo unaweza kuelewa habari hiyo.

Ukiambiwa baba mwenye uwezo sana, ujuzi sana na upendo sana kajenga nyumba yake mwenyewe, halafu kaijaza mabomu kibao kwenye kuta kila siku anaachia yalipuke na kuumiza na kuua watoto wake mwenyewe, utaona hii story ya uongo halafu aliyetunga hata hajui kutunga story ionekane inaaminika.

Hii ndiyo habari ya Mungu wenu huyo.

Ukweli unaenda na logical consistency. Ndiyo maana hata mahakamani watu wakitafuta ukweli wanaangalia logical consistency.

Hadithi ya kuwepo kwa Mungu wenu haina logical consistency.

Ina contradiction.

Kwa sababu hayupo.

Katungwa tu.

Katungwa na watu ambao walikuwa hawana elimu ya kuangalia logical consistency.
 
Chukua mfano kwamba mungu angeumba ulimwengu ambao haurusu maovu,halafu mtu angesema mungu hana uwezo wote na ndiyo maana hakuweza kuumba ulimwengu ambao unaruhusu maovu je,pia angekuwa sahihi?
 
Your both conclusions are wrong brother
 
Your conclusions are both wrong in the following sense.

God does know everything and still we have a freewill.
God perfectly knows all that will happen, but this does not mean He fixes the future. Sijui kama mpaka hapa tuko pamoja mkuu? . Our actions are independent of foreknowledge of God in the sense that we do not do what God foreknows, but rather God foreknows what we will do. God’s foreknowledge is not the cause of our actions, rather, our freewill is the cause of our actions.

Sijajua kama unaielewa maana ya Freewill. Hope maana ya Free unaijua. Kwamba ni free, haiko subjected na chochote, ni free kama inavyojieleza. Sasa sijajua kwann umeamua ku-conclude vile.
 



What is Free ?





What is will ?


What is Free Will in relation to Intelligence,IQ ,Outside forces of the universe,Involuntary Actions Neuroactivities,genetic,time,DNA,in relation to being fallible ,predetermination,predestination?

Ni wewe ndiyo ujiulize nini maana ya Free will ,Sir ,not me .

You have a lot of limitations in deciding or choosing how ,what .when to be or not to be ,with all those limitations ,yet you think you have Free Will To determine your own density,how?

You can't determine your own destiny,you can't ,Sir.You don't have that Will.The Truth is ,You are walking your own future at the center of your own universe which is already determined.

What you have is just the knowledge and awareness of what to do or what not to do ,but you have neither Free nor Will to decide your own things,to decide your own destiny.

It doesn't mean that the Poor is lazy ,And the rich is hardworking ,does it ? Some poor people work very hard than rich people ,they struggle a lot to make things better but they can't ,they don't have that Will to make their lives better,lakini wanatamani if they could.

—Think Of It•
 



You Need To Learn The Truth ;Not Myth.

You Need To Kiss The Truth,And Make Love With Truth Not Myth.

Your Ultimate Goal Is Always To Live In Truth ,Not Myth.

—Truth Will Set You Free •

True or False?
 



Consider hizo verse hapo ,Hiyo ni Holy Quran ,Just As Holy Bible .

Hiyo ni Surat Al Mudathir ,74 .

Read the last three verses ,whether you are Christian or Muslim or so ,It doesn't matter ,Be Open Minded .

Well ,The verses say

-Verse 54.

Nay,Verily ,This Quran Is A Reminder(Ukumbusho).

-Verse 55.

So Whosoever will (let him read it ) and receive admonition from it

-verse 56

"But none will receive admonition unless Allah wills " He is the owner of fear and forgiveness.


That is a literal translation.

-it says you won't be able to receive admonition(let's say guidance)unless God wants you to receive .


Yet you are telling me you have Free Will .

Hata kwenye Bible ,ukitaka nikuletee similar verses kuonesha kuwa huna Free Will .

You just have the knowledge and awareness of knowing good and evil,That's all it is .

Free Will Does Not Exist .It Is A Myth Which Makes People Feel They Are Responsible,Maskin Ajione kuwa umaskin Wake umetokana na uvivu wake ,Anaefeli ajione kuwa amefail kwa ukilaza wake whether alikuwa hard working or not .
 
Chukua mfano kwamba mungu angeumba ulimwengu ambao haurusu maovu,halafu mtu angesema mungu hana uwezo wote na ndiyo maana hakuweza kuumba ulimwengu ambao unaruhusu maovu je,pia angekuwa sahihi?
Swali zuri sana. Limejikita katika mantiki.

Jibu ni hapana.

Asingekuwa sahihi.

Kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, hana sababu ya kimantiki ya kuumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana.

Ukisema Mungu hana uwezo wote kwa sababu hajaumba ulimwengu wenye maovu ni sawa na kusema Bakhresa hana hela kwa sababu hajajenga nyumba yenye mabomu yanayowalipukia wanawe ndani kila siku.

Kwa nini aumbe ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati maovu yatawatesa viumbe wake anaowapenda sana na yeye anaweza kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani na viumbe wake wakaishi bila kuteseka?
 
Your both conclusions are wrong brother
The problem of evil shows an omniscient, omnipotent and omnibenevolent godhead does not exist.

Genetics and biological involuntary action shows free will is a fiction.

Mungu hayupo.

Freewill kamili haipo. Iliyopo angalau ina mipaka sana.
 
God who knows everything, has all love and is all capable does not exis.

Evil in this world proves that.

Free will does not exist.

Genetics and biological involuntary action took care of it.

So God does not exist.

Free will does not exist.
 
The bad things exist so as to prove the existence of good things likewise if there is no bad things the good things will never gets known.The ways of our ALMIGHTY GOD is not like us .
 
Umejibu swali ila maelezo yako yameshindwa kuonesha ni vp hakuna mungu kwa sababu ya ulimwengu wenye kuruhusu maovu.

Mfano wako wa bakhresa...we utajuaje kuwa Bakhresa hajajenga nyumba yenye mabomu labda kwa sababu itakuwa ni mauji na yeye anahofia kesi ya mauji pengine bila hivyo angejenga hiyo nyumba yenye mabomu?



Sababu za kuumbwa huu ulimwengu zimeshaelezwa ila wewe ndiye unasema hazina mantiki, kama hatuwezi kujua kiusahihi sababu yenye mantiki ya Bakhresa kutokujenga nyumba yenye mabomu je ni wapi tutapata usahihi wa sababu yenye mantiki ya mungu kuumba huu ulimwengu?
 
Unaelewa "logical consistency" ni nini?
 
The problem of evil shows an omniscient, omnipotent and omnibenevolent godhead does not exist.

Genetics and biological involuntary action shows free will is a fiction.

Mungu hayupo.

Freewill kamili haipo. Iliyopo angalau ina mipaka sana.
Mk54 hebu njoo utolee ufafanuzi maana wewe unasema hakuna freewill,ila huyu jamaa anasema kuna freewill iliyo na mipaka.
 
Kakupa free will... Afu kakukataza vitu vya kufanya na kutokufanya sasa ibaki wew kuamua na akakupa mtokeo yake mazur na mabaya vile vile.... So ukienda mwenye kwenye maovu huku ukijua hizo ni dharau unapaswa kuadhibiwa.. Nakafanya makusudi ili atambulike kwa ufalme wake
 
Mk54 hebu njoo utolee ufafanuzi maana wewe unasema hakuna freewill,ila huyu jamaa anasema kuna freewill iliyo na mipaka.


Hey ,Gentleman,UHURU JR.I Trust You Are Doing Great ,Dear Brother.

Well ,Nadhani Hujamfahamu ,Anachokuambia Ni Exactly The Same What I Have Been Singing To You All Along .Tena Amekuelezea Into Details In Relation to Genetic,Biological Involuntary Action ,Time Travel,Ect Ect .

He Told You The Truth ,He Said "Free Will Doesn't EXist ,It Is A Fiction ".

That Is A Naked Truth ,It Doesn't Because It Doesn't Exist .

He Also Said You Have Limitations In Decision Making Ambayo Inaondoa Uhalali Wako Wa Kuwa Free In Will.

Frankly ,I Don't Understand Why Religious People Think We Have Free Will While Their Own Scriptures Contradict It Multiple Times .

My Conclusion Is ,Free Will Doesn't Exist,And Religious People Have to Understand Kuwa Kuna Tatizo La Lugha Ambalo Wanali Ignore.Hili Sio Tatizo Dogo Abadan.Vitabu Vingi Vya Dini Vinavyotumika Havipo Kwenye Mother Language Ya Yule Ambae Ame Receive Hiyo Revelation(Kwa wale wanaoamini hayo mambo ) ,Ilitakiwa All scriptures Ziwe Kwenye Original Language Of Revelation Na Waumini Ndiyo Wasome That Language To Have The Most Accurate Understanding Of A Particular Scripture.Kuliko Ku Rely Kwenye Hizi Translated Version Ambazo Zimepitia Kwenye Mikono Ya Watu Waliokuwa Na Tamaa Ya Power And Authority.


Tumezika Wanasayansi Wetu Wengi Sana Ambao Walikuwa Wana Question The Authority For The Things Don't Make Sense ,Walikuwa Wana Wachoma Live,Kama Kitu Kina Claim To Be True ,Kwanini Uchome Watu Wanaouliza Reality Ya Hiyo Truth ?

—Almost No One Is Free Now ,Only The Truth Will Set You Free •

Free Will Does Not Exist .

—True Religion Is Real Living —Albert Einstein•

Thanks.
 
Tatizo unazilaumu au kuzishambulia sana dini kana kwamba wazo la dini lilikuja maksudi kuvuruga ukweli uliyopo,na ndiyo maana nauliza idea ya dini ilianza wapi.


Al-Watan anasema freewill ipo hivyo sio kwamba hakuna kabisa,ila ina mipaka sana,huwezi kusema kuwa wote mpo sawa.

Freewill kutokuwepo na kuwepo ila ina mipaka huwezi kusema kauli hizi ni sawa. Yawezekana kuna tofauti za maana ya freewill.
 

I Also Said The Same ,You Have Tremendous Limitations(Mipaka) Ambayo Inaondoa Hiyo Free In Will In Making Your Decision To Determine Your Own Destiny.HenceForth ,It Doesn't Exist.

Halafu Nimegundua Wewe Unapata Hard Time Kuelewa The Concept Of Free Will Kwasababu Umelewa Imani.Unahisi Kama Vile ku Challenge Free Will Is Like Unamchallenge Mungu Wako.That Is The Problem.
Imani Ni Kitu Kizuri Sana ,Lakini Isiwe Kizuizi Kwenye Kutafuta Ukweli Wa Yale Unayoyaami.

Ni Sawa Na Yule Anaeamini Kuwa Atheist Maana Yake NI Kutoamini Uwepo Wa Mungu .That Is Wrong Definition Of Atheist.

Atheist Literally Means,Not convinced That God Exists ,If You Convince Them In Truth ,They Will Believe.

Sasa Ikiwa Theist Mwenyewe Haelewi Anachokiamini Lakini Anaamini,Huoni Kama Hilo Ni Jipu Mkuu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…