How Can There Be Free-Will ?

How Can There Be Free-Will ?

Mungu hayupo.

Kama unafikiri yupo, thibitisha.
Kwanini wewe usithibitishe madai yako kuwa ni ya kweli na si uongo?

Unaposema mungu hayupo unasema kweli au unatania tu? kama unasema kweli hebu thibitisha hayo madai yako ili tujue unasema kweli.
 
You have introduced something new ,Gentleman ,and you have asked me to say something about it .

Well ,kutokana na hiyo story ya Adam na Hawa ,I am trying to ignore myths ndani ya hiyo story ,sidhani kuwa inaukweli wa 100% .Kuna distortion nyingi sana kwenye hii story ,if you have the courage to think .

Kwanza kabisa haikuwa chagua la Adam na Hawa ,per se.

It was a set up .

Hey man ,look ,

Adam ,Hawa and the Serpent all feeding at the same trough ,whose idea was that ?

—Think Of It•

Whose work Serpent was doing into that peaceful place,The garden ?

You Must Love The Serpent As Long As You Enjoy The Life On Earth ,Why ?

Come With Me >>>

God Entity ;The Garden is yours ,you can eat every tree in the garden,except for the tree of knowledge of good and evil which is at the centre of the garden .Do not touch it,you will die .

—Now,what do you think ? I want you to Think and reason,don't just read ,Think of it .Do you know what is Negative Suggestion ? Try that to your kids ," you will kiss my ass".

Come With Me >>>

Serpent ;Hey ,Hawa,Mambo ,look at this fruit .

Hawa ;Looked the Fruit ,But ,No,We can't even touch it,we will die .

Serpent ;No ,you are not going to die,when you take food ,you don't die ,your eyes will be opened,trust me .

Hawa ;Figured on it ,and found the fruit is good for the body ,heart and mind .She takes the fruit and gave to Adam ,Adam didn't even ask ,they both ate.And from that "Choice" the reality was radically authentic,good and evil opened down ,here and there ,past present was clear ,the opposite works so well ,they knew the separation,the essence of who they truly were,sex parts became a " category " .There you are ,there I am ,there we are .

The problem is ,People think there was some kind of sin in the Garden,but if you look at the text clear ,no where it was called SIN ,in any scripture you ever read or recite ,never referred as SIN.

Sasa Nashangaa unaposema wao kwa maamuz yao ,how ? Haya kuwa maamuzi yao ,It was a set up ,it was meant to be,that is why he feed them in the same place with serpent ,they were not meant to stay there forever,Death was already prescribed for them and for both of us .

So you should always appreciate the Serpent ,he opened your eyes and mind .kama sio yeye to play that game
,usingekuwa on earth today ,true or false ? How would you blame the Serpent if you enjoyed the life on earth ,you should thank him right ? Unless you feel like you are offended being on earth.But the truth is ,he did great job for you to be here ,and no one want to leave this place ,we all pretend it is okay ,but it isn't.We love this physical mundane ,don't you ?

—Think Of It•
[emoji23] [emoji23] ,I never thought of it as a set up before thanks kwa kufungua njia nyingine jinsi ya kuliangalia hili jambo.
 
Walio wake anawajua na pia ukisoma vizuri kitabu cha ufunuo kuna predetermined number ya idadi ya watu watakao ingia peponi. Kama mungu aliplan safari nzima ya maisha ya kila mtu basi hakuna free will hapo.
 
Mkuu mi naona unakosea, umeongea mengi lakini ntajibu machache.

Umesema It was a setup. Even if it was a setup, so who do u trust God or Serpent?

What serpent did was to play with the free will of Eve and nothing more, serpent didn't chose for Eve to eat or not to, but Eve decided for herself. Free will gives us a chance to choose and do what we like which in turn has both the positive or negative outcomes. Kwa mfano kusingekuwa na free will, Eve angewezaje kula tunda sasa?

Mzazi wako akikuambia usipite njia hii Kuna vibaka watakukaba, amekuamulia ww kupita au kutopita? Ukiamua kupita ukakabwa, je ni yeye alipanga ww ukabwe?

The choices we are making have consequences (-ve, +ve or both)

Kwa mfano, let's say basi Mungu hajui chochote kuhusu future, will that changes the outcomes of our choices? Mungu hajui kwamba ukimpiga risasi mtu atakufa, sasa je hiyo inabadilisha the fact kwamba mtu ukimpiga risasi atakufa?

God in his majesty and power, knows everything and that doesn't change our choices and eventually the consequences that follow.

So u trust in the serpent? Mungu alisema wasile watakufa, wao wakala na WAKAFA. Serpent aliwaambia mkila mtakuwa kama Mungu, je walikua kama Mungu?? Which of the two outcomes came to pass??

Mmmh mmmh mmh !

Nadhani kuna tatizo la ufahamu juu ya what is Free and What is will .

Naona comments za watu wengi sana wana define Free will kama vile ni uwezo Wa kukataa na kukubali.kufanya au kutofanya basi ,nadhani kuna haja ya kujadili Free Will kwa mapana.

Pia unasema kuwa Serpent aliwadanganya,kuwa walikula na wakafa,sidhani kama upo sahihi ,walikula na mind Yao ikawa clear ,wakawa awakened,they became aware of who they truly were ,Private parts became category .Ndiyo maana wewe upo hapa ,ni kutokana na great job of Serpent ,hajawadanganya abadan ,He told them the truth ,

Ukila hilo tunda hutokufa,your eyes will be opened .you will know who you are ,your past ,present future will be clear .
 
Ingekuwa vizuri kama ungeeleza hiyo freewill ni nini?
 
Uwezo wa kufanya jambo ni suala moja na Uhuru wa maamuzi ni suala lengine,hivyo utaamua kufanya lolote kadri ya uwezo wako ila hoja yako ya kutaka kuwa na uwezo usio na limit hilo suala lengine kabisa.

Ngoja nikupe mfano wa waislamu ambao kwa imani yao ni lazima kuhiji ila kwa mwenye huo uwezo,ila kuna watu wana uwezo wa kwenda kuhiji ila wanaamua kutokwenda kwa sababu wanao Uhuru huo wa maamuzi.

Sasa sijui ni jambo gani ambalo liko nje ya uwezo wetu lenye kutuzui tusifanye maamuzi ama ya kwenda peponi au motoni.

If you will excuse me ,I rest my case .Kwasababu nimegundua kuna problem of language here,problem of understanding what free is and what will is .Some people mix self -determination,self -awareness etc etc .And that is the reason why you end up kwakutoa mifano ya Kuhiji kwa waislam whatsoever,mifano ambayo inaonesha dhahiri kuwa something is missing kwenye understanding ya What Is Free What Is Will .
 
Free will ni uhuru wa kufanya kitu.

Ukikosa uwezo wa kufanya kitu, huna uhuru wa kufanya kitu.

Kwamfano, mimi siwezikupaa angani bila msaada wa kitu chochote kilicho nje ya maumbo yangu.

Nataka kupaa angani kama ndege, lakini siwezi.

Kwa sababu sina uwezo wa kupaa angani kama ndege, huwezi kusema nina free will kupaa angani kama ndege.

Hakuna free will bila uwezo.

Ila, nina uwezowa kukata tiketi ya ndege na kupaa angani kwa kutumia ndege.

Katika hilo, nina free will ya kuamua nipande ndege na kupaa angani ama la(under ceteris paribusof course, hata katika kupanda ndege kunaweza kutokea kimbunga ndege zikasimamishwa na hapo pia nikawa sina free will ya kupanda ndege kwa kuzuia kimbunga).

Utaona free will ilivyo arbitrary na inaweza kuondolewa mara yoyote na mazingira.

Kwa hiyo, free will ya kueleweka haipo. Muda wowote kimbunga chcochote kinaweza kutokea na kuharibu uwezo wako wa kufanya chochote.
 
The Truth is ,kama predetermination or predestination inakubalika na waumini wa dini,therefore we can have two conclusions,

i) If God knows everything,we have no Free Will and it doesn't exist at all .

ii)If we have Free Will ,then God doesn't know everything .

Which conclusion will you go for.
 
The truth is, there is no God.
 
Kwanini wewe usithibitishe madai yako kuwa ni ya kweli na si uongo?

Unaposema mungu hayupo unasema kweli au unatania tu? kama unasema kweli hebu thibitisha hayo madai yako ili tujue unasema kweli.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu, ulimwengu huu tulio nao, ambao unaruhusu mabaya, unamcontradict huyo Mungu.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya hauko logically consistent na kuwapokwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuwapo.

The problem of evil shows that this godhead is a fable.
 
Sasa umethibitisha hapo au umetoa tu sababu kwanini unasema hakuna mungu?

Kwa sababu hata mwenye kuamini mungu pia ana sababu za kusema mungu yupo.
 
Free will ni uhuru wa kufanya kitu.

Ukikosa uwezo wa kufanya kitu, huna uhuru wa kufanya kitu.

Kwamfano, mimi siwezikupaa angani bila msaada wa kitu chochote kilicho nje ya maumbo yangu.

Nataka kupaa angani kama ndege, lakini siwezi.

Kwa sababu sina uwezo wa kupaa angani kama ndege, huwezi kusema nina free will kupaa angani kama ndege.

Hakuna free will bila uwezo.

Ila, nina uwezowa kukata tiketi ya ndege na kupaa angani kwa kutumia ndege.

Katika hilo, nina free will ya kuamua nipande ndege na kupaa angani ama la(under ceteris paribusof course, hata katika kupanda ndege kunaweza kutokea kimbunga ndege zikasimamishwa na hapo pia nikawa sina free will ya kupanda ndege kwa kuzuia kimbunga).

Utaona free will ilivyo arbitrary na inaweza kuondolewa mara yoyote na mazingira.

Kwa hiyo, free will ya kueleweka haipo. Muda wowote kimbunga chcochote kinaweza kutokea na kuharibu uwezo wako wa kufanya chochote.
Hahaha mnaongea vitu ambavyo havina uhalisia kabisa.

Tuanze hapo uliposema kuwa free will ni Uhuru wa kufanya kitu,je Uhuru ni nini?
 
Hahaha mnaongea vitu ambavyo havina uhalisia kabisa.

Tuanze hapo uliposema kuwa free will ni Uhuru wa kufanya kitu,je Uhuru ni nini?
Uhuru ni uwezo wa kuamua na kupata unachotaka.

Hatuna free will kwa sababu hatuwezikuamuana kupata tunachotaka.

Kuna watu wanazaliwa an sickle cell kwenye damu zao.

Wangetaka kuwa na damu isiyo na sickle celliliwafanye mengi maishani mwao na kuishimaisha marefu.

Lakinihawana uhuru huo.

Wengine wamezaliwa vipofu, wangetaka kuweza kuchora picha na kupakarangi, lakini hawawezi, wanasikia tu.

Utasemaje hawa wana uhuru wa kuamua kufanya mambo ambayo hawawezi kuyafanya?
 
Ok Uhuru ni uwezo wa kuamua na kupata unachotaka.

Tuchukue mfano wa watoto ambao umewawekea vitu vingi ikiwemo na baiskeli,halafu ukawaambia chagueni au chukueni chochote mtakacho.
Wote wakaamua kuchukua baiskeli ila mmoja akawa anajua kuendesha baiskeli na mwengine hajui,je kwa huyo mtoto asiyejua kuendesha baiskeli atasema kuwa umemnyima uwezo wa kuamua na kupata anachotaka?
 
Ukiondoa mfano wa baskeli (kwa sababu ni kitu kinachofundishikana kuwezekana) na kuweka mfano wa watu kupaa angani bila kifaa chochote utaona hakuna freewill.

Kuna choice kati ya vile tunavyoweza tu.
 
Kwanini wewe usithibitishe madai yako kuwa ni ya kweli na si uongo?

Unaposema mungu hayupo unasema kweli au unatania tu? kama unasema kweli hebu thibitisha hayo madai yako ili tujue unasema kweli.

Unapozungumzi suala la kuthibitisha as kuthibitisha,my dear brother ,the struggle is real .Hakuna atakaeweza kuthibitisha kama mungu yupo or disprove it .Ni Critical discussion ambayo imekuwa ikifanyika since before ,na hawajawahi kufika conclusion .Watu wa dini watakuambia God exists ,hoja yao zaidi ni Kwamba Sasa kama hayupo nani katuumba,kwanini tunakufa,au nani kaumba dunia,HIZO ndiyo hoja zao ,na utakapowauliza umejuaje kuwa dunia iliumbwa na mungu ,au umejuaje Kama wewe umeumbwa na mungu ,jibu Lao watakuambia mambo mengine hayahitaji tochi lol.Yani hawawezi kukupa hoja ambayo ni convincing.So logic na reasoning ndiyo the way to go kuzuia utapeli wa Hawa watu,unakuta padri Ana hela mpaka sura ina vimba halafu waumini wake wanakauka ngozi ,Halafu anakwambia Bwana Asifiwe .

Consider the following Islamic Pholosopher,Al -Ghazali ambaye yeye kwa muktadha wake alitoa hoja za uwepo wa mungu na zilikuwa zina make sense sana kipindi hicho cha Karne ya 11,THE KALAM COSMOLOGICAL ARGUMENT hoja zake kwa Sasa zimekuwa elaborated na Dr.William Lane Craig ,(syllogism) ,Kwenye kitabu chake .

Hoja zenyewe stamped as premises.(premise 1 to 5 ) ,

1-Whatever begins to exist has a cause

2-The universe began to exist .

3-Therefore,the universe has a cause .

4-There must be timeless ,immaterial,eternal ,uncaused cause ,

5-Therefore,God exists .

Sasa hizo points ndiyo zilitumika ku debate kuwa God Exists,Imagine sasa hivi tukiamua ku debate hizo points hapo juu,what will happen ? Infact tutatumia points hizo hizo ku crash kuwa God exists ,true or false ?

If you say whatever begins to exist has a cause ,then how God came to be ?

Haya mambo ya dini yalifanikiwa kwa kuwa yametengenezwa from the very beginning of our lives time as Core Belief,to change the core belief is not an easy thing,hata hao wanaobadili dini mara nyingi ni maslaha fulani tu,kuoa/kuolewa,ili kupata elimu ,umaskini uliokithiri etc etc .The problem of Core belief ni kwamba hata kama ukiwa presented na evidence,as long as hiyo evidence doesn't fit to your core belief,you will deny the truth,you will ridicule the truth.So ,infact we are not trying to change your faith or something like ,but we are trying to explore the truth evidence supports of these religions and their claims of TRUTH,anything claims to be true ,must be questioned,because truth is being in accord with fact or reality .

—Does your faith accord with fact ,evidence and reality ? Do you care what you believe is true or not ? If you don't care ,then ,there is no need to debate about this ,right ? If you really care ,what steps have you taken to ensure you do have the most accurate understanding of your doctrine ?

You need to separate the chaff From The Wheat As Jesus Said .

—We Need The Kiss Of Truth To Wake Up From This Hypnotized State,Because Truth Will Make Love,Not War ,Not Discrimination,Not Dividing People And All Sorts Of BS From These Religions•

Thanks .
 
Ukiondoa mfano wa baskeli (kwa sababu ni kitu kinachofundishikana kuwezekana) na kuweka mfano wa watu kupaa angani bila kifaa chochote utaona hakuna freewill.

Kuna choice kati ya vile tunavyoweza tu.
Mfano wa baiskeli umeonesha kuwa kuna Uhuru wa kuchagua kitu na kuna uwezo wa kufanya jambo,hivyo ni vitu viwili tofauti.

Na hivyo hakuna aliyekataza au kuzui sie tusipae hivyo hata wewe leo ukigundua njia ambayo utaweza kupaa bila kutumia kifaa chochote(kupata uwezo huo) basi utapaa.
 
Kwa mujibu wako.

Na kuwa Mungu je? Tuna uhuru huo?
 
Back
Top Bottom