UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mara nyingi huwa nasema kuwa suala la uwepo wa mungu ni la imani lakini bahati mbaya watu hawanielewi,sasa mtu anapokwambia umpe uthibitisho katika suala la imani ndipo tatizo linapoanza.Unapozungumzi suala la kuthibitisha as kuthibitisha,my dear brother ,the struggle is real .Hakuna atakaeweza kuthibitisha kama mungu yupo or disprove it .Ni Critical discussion ambayo imekuwa ikifanyika since before ,na hawajawahi kufika conclusion .Watu wa dini watakuambia God exists ,hoja yao zaidi ni Kwamba Sasa kama hayupo nani katuumba,kwanini tunakufa,au nani kaumba dunia,HIZO ndiyo hoja zao ,na utakapowauliza umejuaje kuwa dunia iliumbwa na mungu ,au umejuaje Kama wewe umeumbwa na mungu ,jibu Lao watakuambia mambo mengine hayahitaji tochi lol.Yani hawawezi kukupa hoja ambayo ni convincing.So logic na reasoning ndiyo the way to go kuzuia utapeli wa Hawa watu,unakuta padri Ana hela mpaka sura ina vimba halafu waumini wake wanakauka ngozi ,Halafu anakwambia Bwana Asifiwe .
Consider the following Islamic Pholosopher,Al -Ghazali ambaye yeye kwa muktadha wake alitoa hoja za uwepo wa mungu na zilikuwa zina make sense sana kipindi hicho cha Karne ya 11,THE KALAM COSMOLOGICAL ARGUMENT hoja zake kwa Sasa zimekuwa elaborated na Dr.William Lane Craig ,(syllogism) ,Kwenye kitabu chake .
Hoja zenyewe stamped as premises.(premise 1 to 5 ) ,
1-Whatever begins to exist has a cause
2-The universe began to exist .
3-Therefore,the universe has a cause .
4-There must be timeless ,immaterial,eternal ,uncaused cause ,
5-Therefore,God exists .
Sasa hizo points ndiyo zilitumika ku debate kuwa God Exists,Imagine sasa hivi tukiamua ku debate hizo points hapo juu,what will happen ? Infact tutatumia points hizo hizo ku crash kuwa God exists ,true or false ?
If you say whatever begins to exist has a cause ,then how God came to be ?
Haya mambo ya dini yalifanikiwa kwa kuwa yametengenezwa from the very beginning of our lives time as Core Belief,to change the core belief is not an easy thing,hata hao wanaobadili dini mara nyingi ni maslaha fulani tu,kuoa/kuolewa,ili kupata elimu ,umaskini uliokithiri etc etc .The problem of Core belief ni kwamba hata kama ukiwa presented na evidence,as long as hiyo evidence doesn't fit to your core belief,you will deny the truth,you will ridicule the truth.So ,infact we are not trying to change your faith or something like ,but we are trying to explore the truth evidence supports of these religions and their claims of TRUTH,anything claims to be true ,must be questioned,because truth is being in accord with fact or reality .
—Does your faith accord with fact ,evidence and reality ? Do you care what you believe is true or not ? If you don't care ,then ,there is no need to debate about this ,right ? If you really care ,what steps have you taken to ensure you do have the most accurate understanding of your doctrine ?
You need to separate the chaff From The Wheat As Jesus Said .
—We Need The Kiss Of Truth To Wake Up From This Hypnotized State,Because Truth Will Make Love,Not War ,Not Discrimination,Not Dividing People And All Sorts Of BS From These Religions•
Thanks .
Na ndiyo maana mie huwa sijisumbui na kuthibitisha uwepo wa mungu,suala likishakuwa la imani basi kuna watakao amini na watakaokataa kuamini. Laiti kungekuwa na uthibitisho wa aina wautakao atheists basi hili suala lisingekuwa la imani.