How Can There Be Free-Will ?

How Can There Be Free-Will ?

I Also Said The Same ,You Have Tremendous Limitations(Mipaka) Ambayo Inaondoa Hiyo Free In Will In Making Your Decision To Determine Your Own Destiny.HenceForth ,It Doesn't Exist.

Halafu Nimegundua Wewe Unapata Hard Time Kuelewa The Concept Of Free Will Kwasababu Umelewa Imani.Unahisi Kama Vile ku Challenge Free Will Is Like Unamchallenge Mungu Wako.That Is The Problem.
Imani Ni Kitu Kizuri Sana ,Lakini Isiwe Kizuizi Kwenye Kutafuta Ukweli Wa Yale Unayoyaami.

Ni Sawa Na Yule Anaeamini Kuwa Atheist Maana Yake NI Kutoamini Uwepo Wa Mungu .That Is Wrong Definition Of Atheist.

Atheist Literally Means,Not convinced That God Exists ,If You Convince Them In Truth ,They Will Believe.

Sasa Ikiwa Theist Mwenyewe Haelewi Anachokiamini Lakini Anaamini,Huoni Kama Hilo Ni Jipu Mkuu.?
Mkuu kama unaamini mie ndiyo sio muelewa usipate tabu ya kuendelea kunijibu na sitakusumbua,lakini unatumia maelezo mengi kueonesha mie sio muelewa ila huelezi hicho ambacho nimeshindwa kukielewa.


Muda wote unalalamika hatuelewi maana freewill ila hadi sasa haujaeleza ni wapi ambapo tuliposhindwa kuelewa?

Tatizo tunaoamini mungu nasi tukihoji tunaonekana hatuna elimu.
 
Back
Top Bottom