How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Watu wangemwangalia mwalimu maisha aliyoishi kabla na baada ya kuwa Rais wa nchi kwa miaka 25. Rais aliyejengewa nyumba na serikali baada ya kukuta bado alikuwa anaishi nyumba aliyoijenga kwenye 50s. Leo unakuwa rais unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kama Mobutu halafu unahamisha wanyama toka mbuga nyingine kuwaleta kwenu ili upate watalii???
Tushukuru kwamba alitoweka haraka kabla matajiri wote hawajaishia lupango au kutoweka.
 
nikikumbuka club Billicanas na Much more na mashamba ya Mbowe kule Machame yalivyovunjwa na kuharibiwa kiubabe, jamaa leo hii yupo futi sita kwa ground! Aisee tenda wema uende zako! Yaani marais woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuona ubaya wa biashara zile bali Mkulungwa toka Chato!
 
At least miradi ya Chato ingepelekwa Geita kungekuwa na mji wa maana sana! ila jamaa alijua kugawa zaidi kuliko kuimarisha na kuunganisha!
 
Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Bado una maoni haya haya tu mpaka Leo?

Aiyekuletea hii kitu ana macho ya kuona miles kadhaa mbele huku akitumia akili..

Na jambo lolote linalofanyika kwa hila na tamaa ya mtu bila kuwa na mipango, Kila mtu aweza ku - predict mwisho wake kwa urahisi tu..

Lakini watu kama nyie mnaoona mambo mwisho wa vichogo vyenu, hamngeweza kuelewa haya..!!
 
Yaezekana utabir ukatimia, kwan walinda legacy wanasemaje?
 
S
haya ni matokeo ya uwekezaji usio na tija maana Mobutu hakuondolewa kwa vita bali alikimbia na majumba yake yakabaki magofu! haiitaji vita Chato kuwa hivi! Ni michakato tu kama hii tunayoiona isiyo na tija kule Chato!
Sawa Mobutu alikosea kuwekeza hapo lakini jee marais waliofuata wangetafuta njia nyingine ya kuitumia hii investment lakini walikuwa busy kuiba tu na hawakuishughulikia. Lakini kitu cha ajabu hata wale vijana wa chuma chakavu huko Congo hawapo si wangeuza vyuma chakavu
 
wakazi wa Chato wanatumiaje fedha ya umma iliyowekezwa pale?
 
Ni kweli kabisa. Hizi punguani zinaona mwisho wa mikojo yao. Mbaya zaidi zinaendelea kubisha. Tz wapumbavu ni wengi sana
 
Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
 
Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
Wananchi wa Chato wana haki ya kupata huduma ziluzo muhimu kuendana na mahitaji yao kwa kuzingatia vigezo mbalimbali.

Wananchi wa Chato wana haki ya kupata huduma ya maji, huduma ya barabara, huduma ya hospitali, n.k. lakini kwenda kuweka uwanja mkubwa wa ndege kijijini Chato au hospitali ya rufaa Chato, ulikuwa upuuzi wa hali ya juu usioweza kupata justification. Nina hakika hata wananchi wa Chato wangeulizwa wanahitaji huduma gani kwa wakati ule, wasingetaja uwanja wa ndege.

Kwa priority, huduma ya umma inaangaliwa pia hiyo huduma ya hapo mahali itahudumua watu wangapi. Ni aheri wachache wasafiri kuifuata huduma mahali ambapo kuna watu wengi kuliko kinyume chake.
 
Nakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200 km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale na kwa shughuli gani za maana?
Mkuu ndo huwa unajibu maswali hivi .ukiulizwa swali hakikisha unajibu swali sio unajitungia swala ndo unajibu kama unavyotak.umeuliza je kiwanja cha kimataifa unakitafsiri vip
 
Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
Hapana, wanachomaanisha watu ni investment kubwa ambazo hazitumika kwa Sasa, jiulize kwanini hadi Leo sumbawanga hawana airport ya kueleweka halafu chato Kuna international airport
 
Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
Ishu sio kuwa hao waishio huko ni watu ama sio watu...

Jibu la hoja yako obviously ni kuwa hao ni watu pia...

Lakini hoja hapa ni mgawanyo wa rasrimali kwa kuzingatia vipaumbele na uhitaji watu kwa eneo husika..

Mathalani, kama hoja ni hiyo; kwanini isingekuwa Ngara? Au Kaliua Tabora? Au Tandahimba - Songea? Au Kishapu - Shinyanga? Si na huko Kuna watu?

Iwe tunaelewa au hatuelewi, lakini ukweli ni kuwa hakukuwa na hitaji la International Airport kule Chato kwa wakati ule, sasa na mpaka kesho!!

Labda wangehitaji uwanja wa ndege wenye hadhi Ile miaka 50 au 100 ijayo. Badala yake kule kwa kuwa nao ni watu, basi wangepelekewa kile walichohitaji by that time mfano hospitali nzuri, barabara nzuri nk nk

And to be honest, pesa hizo zilizopelekwa na kutumika kujengea uwanja huo huko CHATO, basi maamuzi sahihi na yenye busara ingekuwa ni kutumika kupanua uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya kuwa na hadhi ya kimataifa. Hii ndiyo ingekuwa akili. na sio ulimbukeni wa maamuzi ya hayati JPM...
 
Makufuli alikuwa choko tu mmoja , yaani jitu lile liliteketeza matrilioni kwenye miradi hewa ya kifisadi halafu likawa linaua sekta binafsi na kupiga marufuku serikali kuajiri , vijana wanamaliza vyuo wanakuwa mamachinga na wachuuzi wa bidhaa za kichina , upumbavu gani huu ? ,Hiyo ni akili au kinyesi ,
Wote mnaomsifia yule mwenda wazimu mwenzenu kmamayo zenu 😡😡😡😡🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…