Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa ulijuaje? Nifundishe huo ujuzi wa kujua yajayoKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Kasome kitabu kilichotoka leo kuhusu Chato baada ya mwenda zake na hali halisi ilivyo.Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Watu wangemwangalia mwalimu maisha aliyoishi kabla na baada ya kuwa Rais wa nchi kwa miaka 25. Rais aliyejengewa nyumba na serikali baada ya kukuta bado alikuwa anaishi nyumba aliyoijenga kwenye 50s. Leo unakuwa rais unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kama Mobutu halafu unahamisha wanyama toka mbuga nyingine kuwaleta kwenu ili upate watalii???Kuna watu nimeangalia comments zao humu nataka kulia, mara tunaonewa wivu kwa kuwa na raisi mwadilifu, mara alieandika hii article analeta uchochezi, mara usimfananishe JPM na Mobutu! Watanzania tuna safari ndefu Mno kuufikia ukombozi wa kweli! Kama mwenye access na information na mwenye walau upeo kidogo ndio wako hivi basi Tanzania yangu kwishnei
nikikumbuka club Billicanas na Much more na mashamba ya Mbowe kule Machame yalivyovunjwa na kuharibiwa kiubabe, jamaa leo hii yupo futi sita kwa ground! Aisee tenda wema uende zako! Yaani marais woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuona ubaya wa biashara zile bali Mkulungwa toka Chato!Watu wangemwangalia mwalimu maisha aliyoishi kabla na baada ya kuwa Rais wa nchi kwa miaka 25. Rais aliyejengewa nyumba na serikali baada ya kukuta bado alikuwa anaishi nyumba aliyoijenga kwenye 50s. Leo unakuwa rais unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kama Mobutu halafu unahamisha wanyama toka mbuga nyingine kuwaleta kwenu ili upate watalii???
Tushukuru kwamba alitoweka haraka kabla matajiri wote hawajaishia lupango au kutoweka.
Bado una maoni haya haya tu mpaka Leo?Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Yaezekana utabir ukatimia, kwan walinda legacy wanasemaje?Pata picha kwa speed hii, try to figure out, how will Chato be in 2035 after this heavy investment starting now if at all he will stay in power for 10 years, i hear a talk about textile factories but i read of gazetted GOT tenders about construction of an international Airport less than 140 km from what is soon to be Mwanza International Airport while Mtwara and Lindi with resources valued at over $400 bln that need over $30 bln worthy of investment; lays idle without the necessary infrastructure to support those massive investment projects i.e. mega LNG plant. A rival Mozambique has already built an international airport at Nacala to make the movement of poeple easier at both the Nacala port and Ruvuma basin where massive gas at over 160 Tcf compared to ours at 57 Tcf has been discovered!
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures
Cities is supported by
Rockefeller Foundation
The president of what was then Zaire lavished millions on a palace complex and international airport in the remote town of Gbadolite. Guardian photographer Sean Smith heads for the jungle to document the pitiful shell that remains
Where Concorde once flew: the story of Mobutu’s ‘African Versailles’
Sean Smith in Gbadolite
Tuesday 10 February 2015 13.04 GMT Last modified on Tuesday 10 February 2015 14.04 GMT
Save for later
A mural of former President Mobutu outside the mayor’s office in Gbadolite. When Joseph Desire Mobutu took power he renamed himself Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga (meaning ‘the all-powerful warrior who, because of endurance and an inflexible will to win, will go from conquest to conquest leaving fire in his wake’)
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The air-traffic control tower of Gbadolite’s international airport, whose runway is long enough to accommodate Concorde. Now it welcomes only two or three tiny aircraft a week from the UN and a commercial operator
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Inside the abandoned control tower
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The VIP arrivals terminal: Pope John Paul II, UN secretary-general Boutros Boutros Ghali and American televangelist Pat Robertson may have all passed through here
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Inside the main airport terminal
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The main terminal at Gbadolite airport
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The Water Ministry building was never finished and is now used as a school
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Inside the school
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The Motel Nzekele, built by Mobutu, had five stars when it opened in 1979
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The motel’s empty swimming pool. Guests reportedly included the pope, the Belgian king and French president François Mitterrand
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Ripped cinema seating inside the Motel Nzekele
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
An unfinished bridge in Gbadolite
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The main gates to Mobutu’s private palace still stand. Locals charge visitors $20 to access the former president’s estate
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
The entrance gate and road to the main palace complex
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Walking among the ruins. Mobutu’s private palace, seven miles outside town in Kawele, once brimmed with paintings, sculptures, stained glass, ersatz Louis XIV furniture and marble from Carrara
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Francois Kosia Ngama, whose grandmother was a teacher to Mobutu’s mother, stands in the disused swimming pool
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Mobutu’s palace. In its heyday it employed more than 700 staff - including chauffeurs, chefs and servants - as well as 300 soldiers
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Inside the palace grounds. Slowly but surely, the palace is being reclaimed by the jungle
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
Inside Mobutu’s bedroom. The entire roof of the palace has gone, leaving only a skeleton of red steel girders
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
A fountain with statues of lions. Only two of the original four remain
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
![]()
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures
Sawa Mobutu alikosea kuwekeza hapo lakini jee marais waliofuata wangetafuta njia nyingine ya kuitumia hii investment lakini walikuwa busy kuiba tu na hawakuishughulikia. Lakini kitu cha ajabu hata wale vijana wa chuma chakavu huko Congo hawapo si wangeuza vyuma chakavuhaya ni matokeo ya uwekezaji usio na tija maana Mobutu hakuondolewa kwa vita bali alikimbia na majumba yake yakabaki magofu! haiitaji vita Chato kuwa hivi! Ni michakato tu kama hii tunayoiona isiyo na tija kule Chato!
wakazi wa Chato wanatumiaje fedha ya umma iliyowekezwa pale?S
Sawa Mobutu alikosea kuwekeza hapo lakini jee marais waliofuata wangetafuta njia nyingine ya kuitumia hii investment lakini walikuwa busy kuiba tu na hawakuishughulikia. Lakini kitu cha ajabu hata wale vijana wa chuma chakavu huko Congo hawapo si wangeuza vyuma chakavu
HaijalishiManaake kulikuwa na mission mahususi juu ya Maisha ya Rais Magufuli.
Ni kweli kabisa. Hizi punguani zinaona mwisho wa mikojo yao. Mbaya zaidi zinaendelea kubisha. Tz wapumbavu ni wengi sanaBado una maoni haya haya tu mpaka Leo?
Aiyekuletea hii kitu ana macho ya kuona miles kadhaa mbele huku akitumia akili..
Na jambo lolote linalofanyika kwa hila na tamaa ya mtu bila kuwa na mipango, Kila mtu aweza ku - predict mwisho wake kwa urahisi tu..
Lakini watu kama nyie mnaoona mambo mwisho wa vichogo vyenu, hamngeweza kuelewa haya..!!
Dah ujumbe wa ahadi toka mbinguni ahshahaKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Wananchi wa Chato wana haki ya kupata huduma ziluzo muhimu kuendana na mahitaji yao kwa kuzingatia vigezo mbalimbali.Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
Wewe jamaa ni mpiga Ramli au??Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Mkuu ndo huwa unajibu maswali hivi .ukiulizwa swali hakikisha unajibu swali sio unajitungia swala ndo unajibu kama unavyotak.umeuliza je kiwanja cha kimataifa unakitafsiri vipNakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200 km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale na kwa shughuli gani za maana?
Hapana, wanachomaanisha watu ni investment kubwa ambazo hazitumika kwa Sasa, jiulize kwanini hadi Leo sumbawanga hawana airport ya kueleweka halafu chato Kuna international airportNisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?
Ishu sio kuwa hao waishio huko ni watu ama sio watu...Nisicho elewaga ni kwamba huko Chato siyo Tanzania? Wale wanaoishi huko ni waNyarwanda au?