How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Ila hawa wakongongoman hawana akili kabisa. Badala wangebadili matumizi gladolite kikawa chuo kikuu kikubwa kabisa wameacha wanamkomoa marehemu au? Shenzi kabisa
Wanalenga ije iwe historical site kwa ajili ya utalii miaka ya mbele huko.
 
Jf kuna GT walio tukuka
Macence Mello anatakiwa kujengewa mnara pale round about ya Msamvu Morogoro ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kwamba Tanzania aliwahi kutokea mtu mwenye maono akaanzisha mtandao uliokusanya mawazo ya Watanzania bila kujali itikadi wala dini yakawekwa hadharani bila kizuizi.
 
H

How did you know
Kigogo alitwambia Magufuli alikua na magonjwa yote yasio na tiba. Mwendawazimu, Kichaa, UKIMWI , Moyo mbovu na kadharika nakadharika..
Na hata picha za vipaja na tumbo kuvimba, alituonyesha Kigogo. Kigogo apewe sifa!

Kampeni zimemuua Magufuli alikua tayari spana mkononi,, lori la mkaa tripu shamba tripu gereji.😂

Kama kuna wakulaumiwa juu ya kifo cha Magufuli ni wale wapambe wake, walioshindwa kabisa kumlazimisha aende nje ya nchi kutibiwa na akae huko hata mwaka. Mpaka afya yake itengemae ndio angerudi.

Anaendaje nje Ndugai kutibiwa UKIMWI na Sukari lakini Magufuli kaachwa ateketeee..
 
camilo cienfuegos ,huyu mkuu hapo sijui yupo mpaka Sasa,au !! Na Kama yupo nahisi hii ID alishaitelekeza .na Kama yupo anamaisha magumu kwa Sasa aise!!
 
Back
Top Bottom