How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

Ni vema tukatofautisha kati ya tiba mbadala (asilia),na tiba zinazohusisha uchawi,ramli nk,, DK akikuelekeza uende kwenye tiba asilia hapo hakuna tatizo, maana hata pale mhimbili kuna kitengo cha tiba asilia.
 

Unajua usipotee sana. Ukileta story zako zinakuwa na mashamshamu ya kunywa kahawa bila kuchoka 😂 😂 😂 😂

Cha msingi kijana amepona. Ila asije kuazima majini ya daktari sangoma. Dunia hii hadaa sana
 
Labda professional yake ameisimamisha katika imani yake.
Mfano kuna watu wana imani ya kiislamu hawezi kuanza chochote hata kama ni cha kitaaluma bila kusema Bismillahi rahmani rahim.
Walio na imaninya kikatoliki hufanya ishara ya msalaba, imani za kilokole husema kwa jina la Yesu na kukemea pepo na kumwalika Roho Mtakatifu.

Hivyo na huyo dokta huwenda imani yake ni ya hivyo.
 
Aa Aah ni kweli Pana mengi hapa Duniani !
 
Ukitaka kuwa master usiwe mvivu wa kujifunza
 
Kwenye mifupa naona wengi wanakimbilia kwenye tiba za asili.....huko kwa jamaa wa makoti meupe hawachelewi kukukata kiungo chako...
Madaktari hata kunyoosha mkono au mguu vizuri huwa ni changamoto. Kuna watu wenye karama za kutibu watu waliovunjika na wakawa vizuri kabisa. Nikiwa darasa la 3 hospitalini hawakunyoosha vizuri mkono wangu uliovunjika ikabidi bibi yangu amlete mtaalamu wa kienyeji kunyoosha vizuri.
 
Mizimu utakuja kumgegeda kwa kutoa siri 🤣🤣🤣🤣
 
Usukumani waganga was hivyo wapo kibao na hawatumii majini!Broo wangu kavunjika mguu kwenye ajali ya boda boda alipelekwa akapona faster Sasa hivi anatembea Kwa magongo kabla hajakaza!
 
Kitu cha kwanza kinachokudharaulisha na kukufanya uonekane kituko ni hali ya wewe kupata tatizo badala ya kulitatua kwa njia rasmi na zinazokubalika.

Ukaamua kufata SHORTCUT na kumfata huyo TAPELI nawiwa kumuita tapeli na mwizi kwakua hakuna muongozo wa wizara ya afya unaomruhusu kutoa matibabu hayo pia na mazingira ya utolewaji matibabu hayana vigezo hata kwa sisi darasa la 7B tunagoma.

Watanzania ni watu wenye vichwa ila wamevibeba kama HELMET,hakuna uwiyano wa akili na umri😀😀😀

Yaani nyie ndo mnaibiwa kizembe kutajiwa MOI na kujiita Dr. tayari usharuhusu mtu kuchezea afya ya mtoto wako😬😬

Badilikeni bwana huko shule mlienda kukariri notes, wengi wa watanzania ni empty set kabisa....hii ni aibu 2025 watu wanafanya mambo ya mwaka 47 huko ambapo elimu na utandawazi ulikuwa hakuna.
 
Kupitia comment Kuna kazi kubwa ya kuondoa UJINGA katika vichwa vya watanzania.

Endeleeni kuwafaidisha hao wajanja wa mjini. Ila mtaendelea kufa kama kuku wenye kideri huku wengine wakiendela kupata ulemavu wa kudumu kwa kutoshirikisha AKILI zenu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…