Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.💪🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.💪🏿
Ni vema tukatofautisha kati ya tiba mbadala (asilia),na tiba zinazohusisha uchawi,ramli nk,, DK akikuelekeza uende kwenye tiba asilia hapo hakuna tatizo, maana hata pale mhimbili kuna kitengo cha tiba asilia.Madaktari wengi (sio wote)hospitalini ni washirikina hada madaktari bingwa, kuna magonjwa mfano mtu anatakiwa afanyiwe surgery na wachawi wanataka wapitie humo humo mara nyingi hawa madaktari huwa wanajizungusha au wanafanya huku wameweka kinga au wanakushauri mgonjwa wako akatafute tiba mbadala kwasababu huwa wanaona na ukilazimisha mgonjwa anaenda na maji.
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye tiba za mifupa.
Nikapewa namba zàke za simu na mawasiliano yakaanza mara Moja. Ilichukua siku kadhaa ndipo nikapata appointment nyumbani kwa doctor.
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.
Nyimbo zikaimbwa hatimaye mashetani yakatulia na mganga akaanza kutupa kile alichoambiwa na mashetani yake.
Sitaki kukoandika hapa ila yule Dr. Wa MOI alinisaidia sana kwani mtoto wangu alipona.
Swali:- je inawezekanaje Specialist Doctor wa mifupa akawa pia mganga wa kienyeji?
Je Moi wanajua kwamba daktari wao ni sangoma?
Je hamna mgongano wa kimaslahi ( conflict of interest) Kati ya Moi na Mizimu ya mganga?
Na wanafanikisha?Kinga
Vyeo
Waumini nknk
Siyo mambo ya kienyeji. Sema mambo ya asili yao. Kwani mwenzetu wewe ni mzungu kutoka wapi! Inaonekana hupendi hata asili yako.vipi
Boko Kuna Cha Simba, Cha Chui na Cha TemboHata mimi nimeshangaa kumbe na boko nako kuna cha simba mi naijua ya mbagala tu.
Aah ni kweli Pana mengi hapa Duniani !Ungejua wanayopitia wengine usinge wa judge..
Kwenye kazi kuna mambo mengi sana..
1. Kuna kufukuzwa
2. Kuna kufutiwa lesseni
3.Kuna kunyanganywa ufaulu(disqualified)
4.Kuna Kulazimishwa kufanya mambo hayaendi sawa ja imani yako
5.Kuna kutokuelewana na boss wako(Kushughulikiwa)
6.Kuna kupoteza interests na vitu vya kawaida(watu wengi wenye akili)
7.Kuna tamaa(kuna pesa nyingi sana kwenye semi knowledge -mganga wa kienyeji alafu una practice kama professional-Trust)
8.Kuna kuchanganyikiwa
9.Kuna kuchukia mifumo- hasa ya serikali
NYANOKOKama ni Msukuma itakuwa sawa tu kwani wale watu hata wasome vipi, mambo ya kienyeji hayaondoki.
Ukitaka kuwa master usiwe mvivu wa kujifunzaChasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye tiba za mifupa.
Nikapewa namba zàke za simu na mawasiliano yakaanza mara Moja. Ilichukua siku kadhaa ndipo nikapata appointment nyumbani kwa doctor.
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.
Nyimbo zikaimbwa hatimaye mashetani yakatulia na mganga akaanza kutupa kile alichoambiwa na mashetani yake.
Sitaki kukoandika hapa ila yule Dr. Wa MOI alinisaidia sana kwani mtoto wangu alipona.
Swali:- je inawezekanaje Specialist Doctor wa mifupa akawa pia mganga wa kienyeji?
Je Moi wanajua kwamba daktari wao ni sangoma?
Je hamna mgongano wa kimaslahi ( conflict of interest) Kati ya Moi na Mizimu ya mganga?
Madaktari hata kunyoosha mkono au mguu vizuri huwa ni changamoto. Kuna watu wenye karama za kutibu watu waliovunjika na wakawa vizuri kabisa. Nikiwa darasa la 3 hospitalini hawakunyoosha vizuri mkono wangu uliovunjika ikabidi bibi yangu amlete mtaalamu wa kienyeji kunyoosha vizuri.Kwenye mifupa naona wengi wanakimbilia kwenye tiba za asili.....huko kwa jamaa wa makoti meupe hawachelewi kukukata kiungo chako...
Naunga mkono hoja.alikuonyesha vyeti vyake ?
Mizimu utakuja kumgegeda kwa kutoa siri 🤣🤣🤣🤣Shukuru kijana wako amepona hayo mengine yaache inshort nikama ndio unataka sababisha conflict of interest hapa haitakuwa kati ya daktari/mganga na moi bali ni wewe na mizimu au mashetani ya mganga na kijana wako anaweza pata hitilafu tena ya mifupa ili unyooshwe vizuri na mashetani.
Sometimes tujifunze kukaa kimya.
Usukumani waganga was hivyo wapo kibao na hawatumii majini!Broo wangu kavunjika mguu kwenye ajali ya boda boda alipelekwa akapona faster Sasa hivi anatembea Kwa magongo kabla hajakaza!Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye tiba za mifupa.
Nikapewa namba zàke za simu na mawasiliano yakaanza mara Moja. Ilichukua siku kadhaa ndipo nikapata appointment nyumbani kwa doctor.
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zàke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.
Nyimbo zikaimbwa hatimaye mashetani yakatulia na mganga akaanza kutupa kile alichoambiwa na mashetani yake.
Sitaki kukoandika hapa ila yule Dr. Wa MOI alinisaidia sana kwani mtoto wangu alipona.
Swali:- je inawezekanaje Specialist Doctor wa mifupa akawa pia mganga wa kienyeji?
Je Moi wanajua kwamba daktari wao ni sangoma?
Je hamna mgongano wa kimaslahi ( conflict of interest) Kati ya Moi na Mizimu ya mganga?
Bhebhe nang'ho....NYANOKO