🙂 nadhani akipoteza kiungo tena ndio itakuwa ngumu kumuacha... (sababu ya wajibu na roho itakusuta, huruma ita-take over)
Ila akibadilika tabia ghafla na kuwa mtu wa ajabu ni rahisi kujenga chuki na kumchukia, lakini kupoteza kiungo / ajali huruma itafanya iwe ngumu kumuacha