How deep is your love?

How deep is your love?

🙂 nadhani akipoteza kiungo tena ndio itakuwa ngumu kumuacha... (sababu ya wajibu na roho itakusuta, huruma ita-take over)

Ila akibadilika tabia ghafla na kuwa mtu wa ajabu ni rahisi kujenga chuki na kumchukia, lakini kupoteza kiungo / ajali huruma itafanya iwe ngumu kumuacha

si mpaka niwe na hiyo huruma sun wu.
 
si mpaka niwe na hiyo huruma sun wu.
Sababu ya Power of Love lazima huruma itakuja tu.., mtu ambae alikuwa kipenzi chako cha roho akipatwa na shida na kukutegemea wewe tu huwezi kumtupa (hata ukiwa jasiri vipi) roho itakusuta.
 
Back
Top Bottom