How did Harambee Starlets make it to Africa's Women Team of the Year?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.

2220477_Capture.jpg

2220478_cap.jpg

Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!

Tanzania U20 women team is also the winner of COSAFA cup if iam not mistaken..

Huwa ninasema Mara zote, hawa wakenya wanapenda sana kujipiga kifua, Kilimanjaro Queens wametwaa hili kombe Mara mbili mfululizo na kesho wakichukua ni Mara ya tatu, Kenya imefika imecheza Finals mbili pekee na haijawahi kuwa bingwa ndani ya miaka 4 iliyopita, vipi iwepo katika hii orodha?.

Hawa wakenya wanataka kutuambukiza "tribalism & Nepotism", tusiwaruhusu kutuambukiza Corruption yao hawa jamaa, stupid kabisa hawa.
 
Kazi ya huyu mshenzi katibu mkuu CECAFA zaidi ya miaka 20 sasa!

Musonye anapitisha huu ujinga! Inabidi FA ipeleke malalamiko CAF! La sivyo talent itapotea! Team za marekani za wanawake zinaangalia vitu kama hizi awards Kusajili wachezaji wa kulipwa!
 
Kazi ya huyu mshenzi katibu mkuu CECAFA zaidi ya miaka 10 sasa!

Musonye anapitisha huu ujinga! Inabidi FA ipeleke malalamiko CAF! La sivyo talent itapotea! Team za marekani za wanawake zinaangalia vitu kama hizi awards Kusajili wachezaji wa kulipwa!
Alishatangaza kutogombea tena mwakani, anataka kuwazawadia wakenya wenzake, hii ndio miongoni mwa Kenya kutoendelea, hawaangali uwezo mtu katika kumpa majukumu, badala yake ni "Nepotism, corruption & Tribalism. Wakenya wapo tayari kuaribu mazuri yote aliyoyafanya ktk kipindi chake chote cha Uongozi na kukumbatia " Nepotism ".
 
Inawezekana wameitambulisha Kilimanjaro Queens kuwa ndio timu yao, maana mlima Kilimanjaro wao, prof Jay wao, Samatta wao, Diamond wao, Manfongo wao, Kiba wao. Haishangazi kuona timu yetu ya taifa wakajinasibu kuwa yao pia
 
hata senga, kingwendu nasikia siku hizi ni wao
Inawezekana wameitambulisha Kilimanjaro Queens kuwa ndio timu yao, maana mlima Kilimanjaro wao, prof Jay wao, Samatta wao, Diamond wao, Manfongo wao, Kiba wao. Haishangazi kuona timu yetu ya taifa wakajinasibu kuwa yao pia
 
Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.

2220477_Capture.jpg

2220478_cap.jpg

Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!

CAF haijui challenge yoyote inaitwa CECAFA,so huo ni ujinga na chuki tu kwa Harambee Starlet
 
CECAFA na sportpesa cup hukuna tofauti.....kwa hivyo Kenya inafakua na vilabu bora hapa East Africa tukitumi hivyo vigezo vya local tournaments
Huwa ninasema Mara zote, hawa wakenya wanapenda sana kujipiga kifua, Kilimanjaro Queens wametwaa hili kombe Mara mbili mfululizo na kesho wakichukua ni Mara ya tatu, Kenya imefika imecheza Finals mbili pekee na haijawahi kuwa bingwa ndani ya miaka 4 iliyopita, vipi iwepo katika hii orodha?.

Hawa wakenya wanataka kutuambukiza "tribalism & Nepotism", tusiwaruhusu kutuambukiza Corruption yao hawa jamaa, stupid kabisa hawa.
 
Mambo madogo kama haya yanafanya taifa inzima la Tanzania kusimama lakini kwa Kenya ni kawaida sana....leo hii tunapo zungumuza Olunga amefunga mabao saba kwa mechi moja lakini hutosikia Mkenya akiyaongelea hapa
 
Olunga amefunga goli 7 Ligi gani hiyo boss?
 
Halafu mjue kuna tofauti ya CAF na CECAFA. Musonye has no say in CAF. Stop being bitter and work on your team. The award is for this year's senior women's team. Stop bringing U20 and last year here.
Huu mwaka mna nini na nini ??
 
CECAFA na sportpesa cup hukuna tofauti.....kwa hivyo Kenya inafakua na vilabu bora hapa East Africa tukitumi hivyo vigezo vya local tournaments
"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom