Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kabla ya kupiga piga domo,jiulize kwanza huko kwenu kuna ligi ya wanawake inachezwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inashindwa hata kushindana katika level ya CECAFA vipi iweze kushindana CAF?, onyesha wapi timu yenu imefanya vizuri hadi kutaja ktk hiyo orodha?CECAFA na sportpesa cup hukuna tofauti.....kwa hivyo Kenya inafakua na vilabu bora hapa East Africa tukitumi hivyo vigezo vya local tournaments
Kama ni mambo madogo mbona hapo sioni Mchezaji wenu,Mambo madogo kama haya yanafanya taifa inzima la Tanzania kusimama lakini kwa Kenya ni kawaida sana....leo hii tunapo zungumuza Olunga amefunga mabao saba kwa mechi moja lakini hutosikia Mkenya akiyaongelea hapa
Kabla ya kupiga piga domo,jiulize kwanza huko kwenu kuna ligi ya wanawake inachezwa?
Unaongelea kuhusu ile club ya mhindi"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.
Kawadanganye wajinga wenzako eti haijui 😂😂😂CAF haijui challenge yoyote inaitwa CECAFA,so huo ni ujinga na chuki tu kwa Harambee Starlet
Waekosa kuwa shortlisted hata kwenye women's coach of the year...wazembe sana hawa.
Hapana, tunaongelea ile club ya wakikuyu iliyolala airport kutokana na kukosa pesa ya kulipia hoteli.Unaongelea kuhusu ile club ya mhindi
Mkuu nilikuwa nawauliza wakenya kama wana hata ligi ya wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wahindi wamewashika pabayaHapana, tunaongelea ile club ya wakikuyu iliyolala airport kutokana na kukosa pesa ya kulipia hoteli.
Ukabila na ubaguzi huku sio mahala pake dogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wahindi wamewashika pabaya
Bwahahaaa!!kwn kuna kabila linajiita gor mahia siku hz, na aliyewabagua ni akina naniUkabila na ubaguzi huku sio mahala pake dogo.
Ligi ya wanaume tu sponsors hamna! Timu tajiri zaidi inakosa ata pesa ya nauli! Ila wanakwambia GDP kubwaKabla ya kupiga piga domo,jiulize kwanza huko kwenu kuna ligi ya wanawake inachezwa?
Dewji ameomba kupewa 49% ya shares za Simba na bado hajapewa. Mchakato unaendelea, wachezaji wenu wameanza kukimbilia Tz toka miaka ya 90 wakina Mark Sirengo alitoka Tusker ikiwa bingwa, Ben Mwalala, Shikokoti, Owino, Baraza e.t.cUnaongelea kuhusu ile club ya mhindi
Dewji kaishikilia simba kw sasa, hilo halina pingamizi..na mkijisahau tu anaikwachua kiulaini, unafikiria hapo anamwaga hela kijingajinga tu bila mahisabuDewji ameomba kupewa 49% ya shares za Simba na bado hajapewa. Mchakato unaendelea, wachezaji wenu wameanza kukimbilia Tz toka miaka ya 90 wakina Mark Sirengo alitoka Tusker ikiwa bingwa, Ben Mwalala, Shikokoti, Owino, Baraza e.t.c
Point ni kwamba wachezaji wakenya wanakuja kupata pesa za maana bongo kitambo kabla ata ya Dewji kuitaka Simba. Swala la Dewji ni ishu ya kawaida kwenye dunia ya leo, kama Glazer, Abromovich na wengine. Kwa pesa anayotoa kupata 49% ya shares za Simba angeweza kununua timu ya top league Portugal. Kama angekuja Kenya nazani angenunua timu zote za ligi yenu na pesa ikabaki ya kujenga stadium.Dewji kaishikilia simba kw sasa, hilo halina pingamizi..na mkijisahau tu anaikwachua kiulaini, unafikiria hapo anamwaga hela kijingajinga tu bila mahisabu