How did Harambee Starlets make it to Africa's Women Team of the Year?

How did Harambee Starlets make it to Africa's Women Team of the Year?

Kabla ya kupiga piga domo,jiulize kwanza huko kwenu kuna ligi ya wanawake inachezwa?
 
CECAFA na sportpesa cup hukuna tofauti.....kwa hivyo Kenya inafakua na vilabu bora hapa East Africa tukitumi hivyo vigezo vya local tournaments
Kama inashindwa hata kushindana katika level ya CECAFA vipi iweze kushindana CAF?, onyesha wapi timu yenu imefanya vizuri hadi kutaja ktk hiyo orodha?
 
Mambo madogo kama haya yanafanya taifa inzima la Tanzania kusimama lakini kwa Kenya ni kawaida sana....leo hii tunapo zungumuza Olunga amefunga mabao saba kwa mechi moja lakini hutosikia Mkenya akiyaongelea hapa
Kama ni mambo madogo mbona hapo sioni Mchezaji wenu,
Excuse za kijinga kama kawaida yenu.
 
"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.
Unaongelea kuhusu ile club ya mhindi
 
Waekosa kuwa shortlisted hata kwenye women's coach of the year...wazembe sana hawa.

Yani kila kitu wakishindwa ni Kenya. Sasa wakishindwa kushinda tuzo, eti Kenya tumewaibia. Ngoja kesho tukishawatwanga watasemaje. 😀
 
Unaongelea kuhusu ile club ya mhindi
Dewji ameomba kupewa 49% ya shares za Simba na bado hajapewa. Mchakato unaendelea, wachezaji wenu wameanza kukimbilia Tz toka miaka ya 90 wakina Mark Sirengo alitoka Tusker ikiwa bingwa, Ben Mwalala, Shikokoti, Owino, Baraza e.t.c
 
There best sport wako poor bado,
Ni mchezo gani hawa watu wanajua aki...always FAKE Kila kitu hadi ordinary sports like football.
 
Dewji ameomba kupewa 49% ya shares za Simba na bado hajapewa. Mchakato unaendelea, wachezaji wenu wameanza kukimbilia Tz toka miaka ya 90 wakina Mark Sirengo alitoka Tusker ikiwa bingwa, Ben Mwalala, Shikokoti, Owino, Baraza e.t.c
Dewji kaishikilia simba kw sasa, hilo halina pingamizi..na mkijisahau tu anaikwachua kiulaini, unafikiria hapo anamwaga hela kijingajinga tu bila mahisabu
 
Dewji kaishikilia simba kw sasa, hilo halina pingamizi..na mkijisahau tu anaikwachua kiulaini, unafikiria hapo anamwaga hela kijingajinga tu bila mahisabu
Point ni kwamba wachezaji wakenya wanakuja kupata pesa za maana bongo kitambo kabla ata ya Dewji kuitaka Simba. Swala la Dewji ni ishu ya kawaida kwenye dunia ya leo, kama Glazer, Abromovich na wengine. Kwa pesa anayotoa kupata 49% ya shares za Simba angeweza kununua timu ya top league Portugal. Kama angekuja Kenya nazani angenunua timu zote za ligi yenu na pesa ikabaki ya kujenga stadium.
 
Back
Top Bottom