How did Harambee Starlets make it to Africa's Women Team of the Year?

How did Harambee Starlets make it to Africa's Women Team of the Year?

Point ni kwamba wachezaji wakenya wanakuja kupata pesa za maana bongo kitambo kabla ata ya Dewji kuitaka Simba. Swala la Dewji ni ishu ya kawaida kwenye dunia ya leo, kama Glazer, Abromovich na wengine. Kwa pesa anayotoa kupata 49% ya shares za Simba angeweza kununua timu ya top league Portugal. Kama angekuja Kenya nazani angenunua timu zote za ligi yenu na pesa ikabaki ya kujenga stadium.
Hilo halina ubishi...
Lkn km anataka kuinunua simba muuzieni, msimuwekee vikwazo
 
Alishatangaza kutogombea tena mwakani, anataka kuwazawadia wakenya wenzake, hii ndio miongoni mwa Kenya kutoendelea, hawaangali uwezo mtu katika kumpa majukumu, badala yake ni "Nepotism, corruption & Tribalism. Wakenya wapo tayari kuaribu mazuri yote aliyoyafanya ktk kipindi chake chote cha Uongozi na kukumbatia " Nepotism ".
Watz zero brain kama kawaida. Unadhani kuleta chuki zako dhidi ya Kenya humu jf utasaidika au ni kelele tu za chura. Tumieni right channel kuwasilisha malalamiko yenu to the right people. Mbona wadau wa Moira wa miguu wako kimya wameshaelewa? Mbona unalalamika tu wewe wakati hujui lolote kuhusu football administration?
 
Hilo halina ubishi...
Lkn km anataka kuinunua simba muuzieni, msimuwekee vikwazo
Vikwazo gani? Vitu vinaenda kwa hatua, Simba ni timu ya members (wanachama) wameshapitisha kwenye general meeting, kilicho baki ni taratibu za kisheria. BTW nimegundua unafuatilia Simba vizuri, probably wewe ni shabiki wa Simba.

Kuwa tayari hii December tunazindua viwanja viwili vya mazoezi then tuna anza ujenzi wa uwanja mkubwa.
images-34.jpeg
images-41.jpeg
images-44.jpeg
 
Vikwazo gani? Vitu vinaenda kwa hatua, Simba ni timu ya members (wanachama) wameshapitisha kwenye general meeting, kilicho baki ni taratibu za kisheria. BTW nimegundua unafuatilia Simba vizuri, probably wewe ni shabiki wa Simba.

Kuwa tayari hii December tunazindua viwanja viwili vya mazoezi then tuna anza ujenzi wa uwanja mkubwa.View attachment 1271548View attachment 1271549View attachment 1271550
Hzo habari zote nilizipata jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn unafikiria sioni zile comment za wale wapinzani wenu mnavyorushiana maneno
 
Hzo habari zote nilizipata jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn unafikiria sioni zile comment za wale wapinzani wenu mnavyorushiana maneno
Yah.. tunarushiana maneno nyinyi mnarushiana mapanga. Umeona viwanja hivyo, hapo Kahata ndipo atakua akikuza kipaji chake. Siyo Gor ata pesa ya kupanda ndege hawana.
 
"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.
Mlinda lango wa Gor Mahia ni mtanzania. Huyu wenu alikuja kutafuta red pasture Kenya?
 
Yah.. tunarushiana maneno nyinyi mnarushiana mapanga. Umeona viwanja hivyo, hapo Kahata ndipo atakua akikuza kipaji chake. Siyo Gor ata pesa ya kupanda ndege hawana.
Gor ina matatizo ya kifedha na wadhamini wa uhakika lkn bado simba hatoshi mboga head to head
 
Mlinda lango wa Gor Mahia ni mtanzania. Huyu wenu alikuja kutafuta red pasture Kenya?
Alitokea timu gani? Yani ni kama mchezaji wa England atoke stoke city aende Germany kuchezea Bayern Munich then wa Germany wajidai kumsajili mchezaji wa England.
 
Alitokea timu gani? Yani ni kama mchezaji wa England atoke stoke city aende Germany kuchezea Bayern Munich then wa Germany wajidai kumsajili mchezaji wa England.
Whether alitoka Manchester United ama Songwe United the fact remains kwamba ni mtanzania anayecheza kenya
 
Whether alitoka Manchester United ama Songwe United the fact remains kwamba ni mtanzania anayecheza kenya
Unaanza kulia! Hamna mtu anaweza kutoka sehemu yenye pesa akaja kucheza timu ambayo ata nauli ni shida, mpirai ni kazi. Kisu alitoka timu ya chini akaja kwenye timu yenu kubwa. Gor hawawezi kushindana na timu kubwa za Tz kugombania mchezaji. Ndiyo maana best players wa Gor huwa wana ndoto za kuja Tz.
 
Hawa jamaa huwa nawajibu tu hivi [emoji23][emoji23][emoji23] then wanakimbia wenyewe, wala Usitumie nguvu nyingi ya kutype sana.

Safi sana, hawa wakenya wa JF ni mazuzu, ata sports analyst wao wanajua ukweli ila kijitu kipo Korogocho kina dinda hapa.
 
Huyu ni kahata kabla hajakimbilia zake simba,
Sasa hivi ashazisahau hizi shinda ndogo ndogo kitambo Sana 😂😂😂
 
Unaanza kulia! Hamna mtu anaweza kutoka sehemu yenye pesa akaja kucheza timu ambayo ata nauli ni shida, mpirai ni kazi. Kisu alitoka timu ya chini akaja kwenye timu yenu kubwa. Gor hawawezi kushindana na timu kubwa za Tz kugombania mchezaji. Ndiyo maana best players wa Gor huwa wana ndoto za kuja Tz.
Kwa hivyo unakana kwa huyo goalkeeper sio mtanzania?
 
Sasa ninauhakika unamajibu kwa nini Harambee starlet iko nominated na CAF
Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.

2220477_Capture.jpg

2220478_cap.jpg

Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!

Back
Top Bottom