Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.
Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!
This is so unfair what is our FA doing? Can't they protest? Who came up with list? This is so unjust to our women footballers! They need to be justly recognised across Africa!Tanzania U20 women team is also the winner of COSAFA cup if iam not mistaken..
Pia timu yetu ya Taifa ya wanawake ni mshindi wa cecafa cup mara mbili mfufulizo, CECAFA Women's Championship - WikipediaTanzania U20 women team is also the winner of COSAFA cup if iam not mistaken..
Huwa ninasema Mara zote, hawa wakenya wanapenda sana kujipiga kifua, Kilimanjaro Queens wametwaa hili kombe Mara mbili mfululizo na kesho wakichukua ni Mara ya tatu, Kenya imefika imecheza Finals mbili pekee na haijawahi kuwa bingwa ndani ya miaka 4 iliyopita, vipi iwepo katika hii orodha?.Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.
Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!
Huwa ninasema Mara zote, hawa wakenya wanapenda sana kujipiga kifua, Kilimanjaro Queens wametwaa hili kombe Mara mbili mfululizo na kesho wakichukua ni Mara ya tatu, Kenya imefika imecheza Finals mbili pekee na haijawahi kuwa bingwa ndani ya miaka 4 iliyopita, vipi iwepo katika hii orodha?.
Hawa wakenya wanataka kutuambukiza "tribalism & Nepotism", tusiwaruhusu kutuambukiza Corruption yao hawa jamaa, stupid kabisa hawa.
Alishatangaza kutogombea tena mwakani, anataka kuwazawadia wakenya wenzake, hii ndio miongoni mwa Kenya kutoendelea, hawaangali uwezo mtu katika kumpa majukumu, badala yake ni "Nepotism, corruption & Tribalism. Wakenya wapo tayari kuaribu mazuri yote aliyoyafanya ktk kipindi chake chote cha Uongozi na kukumbatia " Nepotism ".Kazi ya huyu mshenzi katibu mkuu CECAFA zaidi ya miaka 10 sasa!
Musonye anapitisha huu ujinga! Inabidi FA ipeleke malalamiko CAF! La sivyo talent itapotea! Team za marekani za wanawake zinaangalia vitu kama hizi awards Kusajili wachezaji wa kulipwa!
Inawezekana wameitambulisha Kilimanjaro Queens kuwa ndio timu yao, maana mlima Kilimanjaro wao, prof Jay wao, Samatta wao, Diamond wao, Manfongo wao, Kiba wao. Haishangazi kuona timu yetu ya taifa wakajinasibu kuwa yao pia
Povu, Wivu, povu, wivu, povu, wivu hadi raha. π π π π π π
CAF haijui challenge yoyote inaitwa CECAFA,so huo ni ujinga na chuki tu kwa Harambee StarletFootball association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.
Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!
Huwa ninasema Mara zote, hawa wakenya wanapenda sana kujipiga kifua, Kilimanjaro Queens wametwaa hili kombe Mara mbili mfululizo na kesho wakichukua ni Mara ya tatu, Kenya imefika imecheza Finals mbili pekee na haijawahi kuwa bingwa ndani ya miaka 4 iliyopita, vipi iwepo katika hii orodha?.
Hawa wakenya wanataka kutuambukiza "tribalism & Nepotism", tusiwaruhusu kutuambukiza Corruption yao hawa jamaa, stupid kabisa hawa.
Mambo madogo kama haya yanafanya taifa inzima la Tanzania kusimama lakini kwa Kenya ni kawaida sana....leo hii tunapo zungumuza Olunga amefunga mabao saba kwa mechi moja lakini hutosikia Mkenya akiyaongelea hapa

Huu mwaka mna nini na nini ??Halafu mjue kuna tofauti ya CAF na CECAFA. Musonye has no say in CAF. Stop being bitter and work on your team. The award is for this year's senior women's team. Stop bringing U20 and last year here.
Ligi bora Asia ya chinaOlunga amefunga goli 7 Ligi gani hiyo boss?
"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.CECAFA na sportpesa cup hukuna tofauti.....kwa hivyo Kenya inafakua na vilabu bora hapa East Africa tukitumi hivyo vigezo vya local tournaments