babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Sawa mkuuMkuu nilikuwa nawauliza wakenya kama wana hata ligi ya wanawake
Hilo halina ubishi...Point ni kwamba wachezaji wakenya wanakuja kupata pesa za maana bongo kitambo kabla ata ya Dewji kuitaka Simba. Swala la Dewji ni ishu ya kawaida kwenye dunia ya leo, kama Glazer, Abromovich na wengine. Kwa pesa anayotoa kupata 49% ya shares za Simba angeweza kununua timu ya top league Portugal. Kama angekuja Kenya nazani angenunua timu zote za ligi yenu na pesa ikabaki ya kujenga stadium.
Watz zero brain kama kawaida. Unadhani kuleta chuki zako dhidi ya Kenya humu jf utasaidika au ni kelele tu za chura. Tumieni right channel kuwasilisha malalamiko yenu to the right people. Mbona wadau wa Moira wa miguu wako kimya wameshaelewa? Mbona unalalamika tu wewe wakati hujui lolote kuhusu football administration?Alishatangaza kutogombea tena mwakani, anataka kuwazawadia wakenya wenzake, hii ndio miongoni mwa Kenya kutoendelea, hawaangali uwezo mtu katika kumpa majukumu, badala yake ni "Nepotism, corruption & Tribalism. Wakenya wapo tayari kuaribu mazuri yote aliyoyafanya ktk kipindi chake chote cha Uongozi na kukumbatia " Nepotism ".
Vikwazo gani? Vitu vinaenda kwa hatua, Simba ni timu ya members (wanachama) wameshapitisha kwenye general meeting, kilicho baki ni taratibu za kisheria. BTW nimegundua unafuatilia Simba vizuri, probably wewe ni shabiki wa Simba.Hilo halina ubishi...
Lkn km anataka kuinunua simba muuzieni, msimuwekee vikwazo
Hzo habari zote nilizipata jf[emoji23][emoji23][emoji23]Vikwazo gani? Vitu vinaenda kwa hatua, Simba ni timu ya members (wanachama) wameshapitisha kwenye general meeting, kilicho baki ni taratibu za kisheria. BTW nimegundua unafuatilia Simba vizuri, probably wewe ni shabiki wa Simba.
Kuwa tayari hii December tunazindua viwanja viwili vya mazoezi then tuna anza ujenzi wa uwanja mkubwa.View attachment 1271548View attachment 1271549View attachment 1271550
Yah.. tunarushiana maneno nyinyi mnarushiana mapanga. Umeona viwanja hivyo, hapo Kahata ndipo atakua akikuza kipaji chake. Siyo Gor ata pesa ya kupanda ndege hawana.Hzo habari zote nilizipata jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn unafikiria sioni zile comment za wale wapinzani wenu mnavyorushiana maneno
Mlinda lango wa Gor Mahia ni mtanzania. Huyu wenu alikuja kutafuta red pasture Kenya?"Kenya inafakua na vilabu bora" hii lugha gani! BTW Kenya club kubwa ni Gor Mahia ambayo kila mwaka mchezaji bora anakimbilia Tz for greener pastures, hii ni ajabu LDC clubs zinalipa vizuri zaidi.
Gor ina matatizo ya kifedha na wadhamini wa uhakika lkn bado simba hatoshi mboga head to headYah.. tunarushiana maneno nyinyi mnarushiana mapanga. Umeona viwanja hivyo, hapo Kahata ndipo atakua akikuza kipaji chake. Siyo Gor ata pesa ya kupanda ndege hawana.
Alitokea timu gani? Yani ni kama mchezaji wa England atoke stoke city aende Germany kuchezea Bayern Munich then wa Germany wajidai kumsajili mchezaji wa England.Mlinda lango wa Gor Mahia ni mtanzania. Huyu wenu alikuja kutafuta red pasture Kenya?
Hatoshi mboga ki vipi.. Mshahara wa Kagere tu unalipa kikosi kizima cha GorGor ina matatizo ya kifedha na wadhamini wa uhakika lkn bado simba hatoshi mboga head to head
Whether alitoka Manchester United ama Songwe United the fact remains kwamba ni mtanzania anayecheza kenyaAlitokea timu gani? Yani ni kama mchezaji wa England atoke stoke city aende Germany kuchezea Bayern Munich then wa Germany wajidai kumsajili mchezaji wa England.
Ligi bora Asia ya china
Hawa jamaa huwa nawajibu tu hivi πππ then wanakimbia wenyewe, wala Usitumie nguvu nyingi ya kutype sana.Alitokea timu gani? Yani ni kama mchezaji wa England atoke stoke city aende Germany kuchezea Bayern Munich then wa Germany wajidai kumsajili mchezaji wa England.
Unaanza kulia! Hamna mtu anaweza kutoka sehemu yenye pesa akaja kucheza timu ambayo ata nauli ni shida, mpirai ni kazi. Kisu alitoka timu ya chini akaja kwenye timu yenu kubwa. Gor hawawezi kushindana na timu kubwa za Tz kugombania mchezaji. Ndiyo maana best players wa Gor huwa wana ndoto za kuja Tz.Whether alitoka Manchester United ama Songwe United the fact remains kwamba ni mtanzania anayecheza kenya
Safi sana, hawa wakenya wa JF ni mazuzu, ata sports analyst wao wanajua ukweli ila kijitu kipo Korogocho kina dinda hapa.Hawa jamaa huwa nawajibu tu hivi [emoji23][emoji23][emoji23] then wanakimbia wenyewe, wala Usitumie nguvu nyingi ya kutype sana.
πππSafi sana, hawa wakenya wa JF ni mazuzu, ata sports analyst wao wanajua ukweli ila kijitu kipo Korogocho kina dinda hapa.
Kwa hivyo unakana kwa huyo goalkeeper sio mtanzania?Unaanza kulia! Hamna mtu anaweza kutoka sehemu yenye pesa akaja kucheza timu ambayo ata nauli ni shida, mpirai ni kazi. Kisu alitoka timu ya chini akaja kwenye timu yenu kubwa. Gor hawawezi kushindana na timu kubwa za Tz kugombania mchezaji. Ndiyo maana best players wa Gor huwa wana ndoto za kuja Tz.
Football association of Tanzania should look at this unfairness. This idiot Musonye has been SG of CECAFA for years n now he lost even the last vein of self shame with open nepotism.
Last year at CECAFA Cup in Kigali, Harambee starlets couldn't make it to the finals! Kilimanjaro queens, the raining champion should protest this nomination! So is their coach!
For the next awards not this one! Idiot!Sasa ninauhakika unamajibu kwa nini Harambee starlet iko nominated na CAF