How did you feel the last time you saw your Ex?

How did you feel the last time you saw your Ex?

Kama ijirudie tena maana mpaka Leo moyo wangu umejaa furaha
 
Yani leo tuu; nimetoka mahala nina hasira wamenikoroga nakutana nae,asee alikuwa kafurahi sana.....lazima nirudishe majeshi [emoji23][emoji23]
 
sababu nini ukamtukana
[/QUOT wivu tu mkuu, kaja geto kaongea na mwanaume mwngine ile namuulza n nani akanambia n mfanyabiashara mwenzake wkt hajawah nambia anafanya biashara,kwa hyo tangu hyo cku trust ikanitoka na kwel nlimtukana mpk mwenyew nkafeel guilty
 
Wengine hayo mambo ya ma Ex, tunayasikia kwenye redio na kutazama kweny video.

Nasoma comments tyuuuuh.
 
Back
Top Bottom