How did you feel the last time you saw your Ex?

How did you feel the last time you saw your Ex?

Ung
I felt very normal nikawaza huyu mpuuzi aliniloga Hadi tukawa naye au Nini?
Though humuombea yaliyo mema always
Inaonekana ulichukulia kama funzo tu, ndio maana umemove on... Tena unamwombea na mema kabsa
 
Ung

Inaonekana ulichukulia kama funzo tu, ndio maana umemove on... Tena unamwombea na mema kabsa
Of course yes nilichukulia Kama sehemu ya mafunzo,watu huja maishani mwetu Kama funzo au kwa sababu flani so tukishindwana maisha yaendelee, Mimi nakuombea mema na kila la heri
 
Kwa hili big up, I hope unataman na wanao wawe hivi hivi
 
Of course yes nilichukulia Kama sehemu ya mafunzo,watu huja maishani mwetu Kama funzo au kwa sababu flani so tukishindwana maisha yaendelee, Mimi nakuombea mema na kila la heri
Kwa hili big up, I hope unataman na wanao wawe hivi hivi
 
I feel so good, tulipeana hai.. stor mbili tano. Ni nilifrahi kumwona kwa kwel🤗🤗
 
Baada ya kuniona alinengua tabasam lake lilelile la mara zote!,sura yake tamu bado ilikuwa ikimea Kama uwaridi lenye unyevunyevu wa maji murua toka peponi..!
Ka mwanya kake kakichokozi kalinisabahi kwa mbwembwe kama mwali aliepoteza mume wake na kisha kumuona tena!!..

Ilibidi nigande kwa sekunde takribani tano nikiusabahi mwili wake uliokuwa wakibunifu,Tena uliohubiri ufundi stadi wa kazi ya alie juu!.
Sio siri ex yule alijaaliwa yani palipokuwa panahitajika kubonyea palibonyea Kama ilivyotakikana na palipotakiwa kutuna palituna kiufundi stadi uliotukuka!!..

Ni sauti yake tamu tu ndo ilinigutua kutoka ktk ubutwaa!.. na vile alivyoniita jina langu kwa sauti ya huba iliyojaa tashtwitwi za mahaba nilijiona ninahatia kwanini nilimuacha mtoto mzuri kama yeye.. Sasa hapo ndipo moyo ukaniambia "Pasha kiporo!!"
Na hapohapo ndo nikasikia sauti ya jogoo akiwika! Kumbe nilikuwa naota kamongo mimi.. hakuna siku ambayo nilijichapa kwenzi Kama siku hiyo kwa kuota kukutana na ex wa ndotoni..[emoji12]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1431] jinga kweli ww
 
Yuko nae wangu alikuwa ex kwa mwezi ss umeisha,juz kati nkamwambia naumwa npo tu geto nmejituliza,kanambia nakuja kukujulia hali,ile kufika ananikuta nzma wa afya ,kilichofuatua n kuishia kitandan romanc za maana na show ya maana,cha ajabu kanitxt kuwa hatuwez endelea tena cz hata hyo jana alikuja nijulia hali tu na wala c kuvunja amri ya 6,m nmemwambia aendee tu siwez mlazimisha awe na mm,bt nmejiulza kwa nn aje anipe mzgo then anambie tuachane?

Hujui kugegeda chief thats y
 
Kila tukionana lazma tukumbushie kwa kungegedana japo kila mtu yupo na maisha yake
Yeye aliolewa na mimi nlioa
 
Back
Top Bottom