Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasipo kusali Wala kufunga haitotokeaLabda uanze kufunga na kusali mapema
Ikawaje sasa hebu simulia vizuri [emoji12][emoji12]
[emoji849][emoji849][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hiyo hadithi ya siku nyingine[emoji12][emoji12]
Ulitaka nibaki nayo ijae kutu au?ndiyo ninao baada ya kuitoa na kuachanaHuu msimamo ungekua nao toka mda wala asingekutoa Nani yako..😅
Hahaha mkuu, yan apo ndio alikuja kukumalzia moja kwa mojaYuko nae wangu alikuwa ex kwa mwezi ss umeisha,juz kati nkamwambia naumwa npo tu geto nmejituliza,kanambia nakuja kukujulia hali,ile kufika ananikuta nzma wa afya ,kilichofuatua n kuishia kitandan romanc za maana na show ya maana,cha ajabu kanitxt kuwa hatuwez endelea tena cz hata hyo jana alikuja nijulia hali tu na wala c kuvunja amri ya 6,m nmemwambia aendee tu siwez mlazimisha awe na mm,bt nmejiulza kwa nn aje anipe mzgo then anambie tuachane?
hsukupasha kiporo?Kama ex yule aliyenibikiri nilijisikia fresh kinomanoma..
Hayo ya majaaliwa Sasa..Ungebaki nao mmeo wa ndoa ajivunie
Hapanahsukupasha kiporo?
We ukitupa takataka jalalani si unaipa mgongo na kuendelea na shughuli zako sasa ndo hiyo inatakiwa hata kwa x,,Dahh takataka tena, kakuimarisha mkuu😁😁
Dahh mkuu nimesoma hii reply uku natabasamu, unajua Sana kuandika kwa vile uzi wa Kula tunda kimasihara umefutwa, kwanini usiandike kitabu kabsa kuhusiana na tunda kimasihara[emoji23]
lugha ngumu.so ulipasha?Hapana
We kuku sikupasha.lugha ngumu.so ulipasha?