How did you feel the last time you saw your Ex?

How did you feel the last time you saw your Ex?

Nilifeel good Sana,

Beatrice-Huyu nilachanaye Kwa vita, Vurugu,Matusi na Maneno Chungu nzima,

Huwa sipendi kuchana kwa Magonvi sana katika Mahusiano Japo ni ngumu,Nilimtafuta tukayamaliza vyema...Baada ya Muda nikisakia kaolewa,
Mara ya Mwisho Twaonana alikuwa na Mtoto moja,huku akiwa na kichanga Tumboni (Mimba)...Basi nilifurahi tukasalimiana freshh stori za hapa na pale na ucheshii.

Hakika nilifeel gudi.


Eliza-Huyu Nilikutanaye baada ya Miaka kadhaa yupo na Afya njema akiaambatana na mtoto wa kiume,Aliniona akaniita tukafurahi kusalimiana safii sana...!


Note:Huwa siendelezi Mawasiliano sana na Ma'Ex,Huwa nawaacha Waendelee na shughuli zao lakini kama Tukikutana basi tunafurahi na kubadilisha Tafakuri..!

Ex zako wana watoto

Wewe unao wangapi sasa?
 
Mimi sina hata mtoto.
Ex zako wana watoto

Wewe unao wangapi sasa?
Rais Mstaafu Mkapa Katika Mdahalo Mmoja ndani ya Chuo kikuu cha Dar Es salaam,
Aliwahi kuzungumzia "issue" ya Sera Ya Population/Watu...Taifa kwa kiasi kikubwa hatulipi uzito swala la Watu/Ongezeko-Pungufu...!


Watanzania saizi tunazaliana kwa kasi ya kimbuga...!


Asilimia zaiidi ya 65 Tanzania ni vijana,Huku Maisha kwa wengi yakiwa ni tiamaji-tiamaji..

Mfano:Binti Wa Miaka 22/19 Unakuta anawatoto 3/2 mara nyingi huwa ni sababu za kiuchumi,Elimu ndogo ya Masuala ya Mahusiano/ngono & Ujana Maji ya Moto.


Hivyo bado mimi nipo nipo Kwanzaa (Mtoto na ndoa) kama Mwana Falsafa Wa East,Japo alipingwa Sana na babu Insepecta..

Unasema bado upo upo..??- Uzinzi.
 
Aibu aliona yeye...!!maana hali aliyoniacha nayo na alonikuta nayo hakutegemea kabsaaa
 
Nilijiskia kawaida tu, ana maisha yake nami na yangu...ni maisha yalishapita ni salamu tu na utani kidogo bas, cjui yeye anajiskiaje.
 
Mimi sina hata mtoto.Rais Mstaafu Mkapa Katika Mdahalo Mmoja ndani ya Chuo kikuu cha Dar Es salaam,
Aliwahi kuzungumzia "issue" ya Sera Ya Population/Watu...Taifa kwa kiasi kikubwa hatulipi uzito swala la Watu/Ongezeko-Pungufu...!


Watanzania saizi tunazaliana kwa kasi ya kimbuga...!


Asilimia zaiidi ya 65 Tanzania ni vijana,Huku Maisha kwa wengi yakiwa ni tiamaji-tiamaji..

Mfano:Binti Wa Miaka 22/19 Unakuta anawatoto 3/2 mara nyingi huwa ni sababu za kiuchumi,Elimu ndogo ya Masuala ya Mahusiano/ngono & Ujana Maji ya Moto.


Hivyo bado mimi nipo nipo Kwanzaa (Mtoto na ndoa) kama Mwana Falsafa Wa East,Japo alipingwa Sana na babu Insepecta..

Unasema bado upo upo..??- Uzinzi.


Rahisi wa sasa alishauri mfyatue tu

Kila la heri katika kuanza kutafuta watoto
 
Kuna baadhi ni Kama takataka inapokuwa jalalani vile hujihangaishi kuitizama wala kuifatilia

natupaga jongoo na mti wake
 
Hiyo ni Sababu Mojawapo Ya Ubongo wangu kum'kataa huyu President Wa leo-Nahodha Kipofu..


Anapwaya sana na Elimu yake ya kukariri ya Walio Wengi.
Rahisi wa sasa alishauri mfyatue tu

Kila la heri katika kuanza kutafuta watoto
Shukran!!Watoto ni Urithi.
 
Mimi niliachana na ex wangu kama miezi kadhaa imepita lakini ile hisia ninayoipata nikimkumbuka Mungu wangu nisaidie dah!!!!

Akaona solution ni kuhama mkoa ili uhusiano uishe lakini bado hali imezidi kuwa mbaya kwangu, nikaona nitafute kifaa kingine lakini bado hali imezidi kuwa mbaya zaidi


Mungu si athumani kanipigia anadai mbilinge mbilinge akizikumbuka zinamfanya ashindwe kufanya kazi huko aliko na mimi huku kazi zimesimama ghafla,

Haya mapenzi duniani humu mateso tu.....

I miss you Aboki [emoji2962]
Fanya kama unamrudia hv manake ni kama bado mnafeelana hv
 
Yuko nae wangu alikuwa ex kwa mwezi ss umeisha,juz kati nkamwambia naumwa npo tu geto nmejituliza,kanambia nakuja kukujulia hali,ile kufika ananikuta nzma wa afya ,kilichofuatua n kuishia kitandan romanc za maana na show ya maana,cha ajabu kanitxt kuwa hatuwez endelea tena cz hata hyo jana alikuja nijulia hali tu na wala c kuvunja amri ya 6,m nmemwambia aendee tu siwez mlazimisha awe na mm,bt nmejiulza kwa nn aje anipe mzgo then anambie tuachane?
 
Baada ya kuniona alinengua tabasam lake lilelile la mara zote!,sura yake tamu bado ilikuwa ikimea Kama uwaridi lenye unyevunyevu wa maji murua toka peponi..!
Ka mwanya kake kakichokozi kalinisabahi kwa mbwembwe kama mwali aliepoteza mume wake na kisha kumuona tena!!..

Ilibidi nigande kwa sekunde takribani tano nikiusabahi mwili wake uliokuwa wakibunifu,Tena uliohubiri ufundi stadi wa kazi ya alie juu!.
Sio siri ex yule alijaaliwa yani palipokuwa panahitajika kubonyea palibonyea Kama ilivyotakikana na palipotakiwa kutuna palituna kiufundi stadi uliotukuka!!..

Ni sauti yake tamu tu ndo ilinigutua kutoka ktk ubutwaa!.. na vile alivyoniita jina langu kwa sauti ya huba iliyojaa tashtwitwi za mahaba nilijiona ninahatia kwanini nilimuacha mtoto mzuri kama yeye.. Sasa hapo ndipo moyo ukaniambia "Pasha kiporo!!"
Na hapohapo ndo nikasikia sauti ya jogoo akiwika! Kumbe nilikuwa naota kamongo mimi.. hakuna siku ambayo nilijichapa kwenzi Kama siku hiyo kwa kuota kukutana na ex wa ndotoni..😜
Dahh mkuu nimesoma hii reply uku natabasamu, unajua Sana kuandika kwa vile uzi wa Kula tunda kimasihara umefutwa, kwanini usiandike kitabu kabsa kuhusiana na tunda kimasihara😂
 
Back
Top Bottom