How did you feel the last time you saw your Ex?

Kama ijirudie tena maana mpaka Leo moyo wangu umejaa furaha
 
Yani leo tuu; nimetoka mahala nina hasira wamenikoroga nakutana nae,asee alikuwa kafurahi sana.....lazima nirudishe majeshi [emoji23][emoji23]
 
Inategemea Ex yupi sasa maana wengine wana ma Ex maka 50 hivi.....
 
 
Wengine hayo mambo ya ma Ex, tunayasikia kwenye redio na kutazama kweny video.

Nasoma comments tyuuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…