JM Aristotle
Senior Member
- Mar 9, 2010
- 163
- 4
Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni kwamba sijui nimwacheje! Naogopa kumuumiza...
Nisaidieni wajameni!!! πππ
Kaka John, you better tell her the truth japo ataumia, kuliko umcomfort wakati unamdanganya. Unajua imenigusa maana mie binafsi tu nahisi my BF anashida kama hiyo yako. I think we are two and he cant make decision japo sina hakika, maana nahisi yuko busy sana na kama vile kuna kitu ananificha.......just guessing all those, si unajua ukimpenda mtu
Kaa naye chini umweleze ukweli kistaarabu hatua kwa hatua na sababu za maana then atakuelewa, penzi la kweli huwezi kuliforce. Kama ni mstaarabu atakuelewa na urafiki wenu utaendelea na kuheshimiana pia. Manake kuendelea kukaa kimya ilihali unajua fika kuwa hunampango naye kimapenzi ni kama unampotezea muda kwani anazidi kujenga matumaini makubwa juu yako na kuwaweka pembeni wengine wenye nia takatifu na ya dhati. Akwambiaye ukweli siku zote ndiye rafiki wa kweli. Kama waogopa kumwambia ukweli sasa hivi ati kwa kuwa unaogopa kumuumiza, ikuendelea kuchelewa ndiyo utakuja kumuumiza mara kumi ya sasa hivi kwani anazidi kujenga mizizi ya mapenzi kwako siku hadi siku. Mbona hujatuambia sababu ya kumwacha ni nini?
Asante sana kwa ushauri wako...
Sababu kubwa ya kutaka kumwacha ni kwamba; At first, tulianza kama marafiki wa kawaida tu, lakini kadiri siku zilivyokwenda, connection ilizidi kuongezeka... Lakini kwa sasa, kwa kweli nikimwangalia, sijioni niki-spend maisha yangu pamoja naye... Lakini ndo hivyo sasa... najiona kama nimefikia"point of no return..."
Kwa nini? Ukiweza kujijibu na kutujibu na sisi pia, bisi itakuwa rahisi kwako kufanya uamuzi. Pia sisi tunaweza labda kukupatia ushauri wa maana. Vinginevyo inawezekana unahisi tu kwa sababu hujajaribu mtu mwingine. Ila ujue ukienda kujaribu mwingine utakuwa umempoteza huyu na akili ikikurudia hutampata tena!
The thing is; yeye ndo amebadilika sana... Sio yule niliyemjua awali... Ni kama mtu mwingine kabisaaa...
Sasa unambebesha lawama kwa kubadilika au na wewe unadhani umechangia kubadilika kwake? Did you try to take her feelings or you took her for granted?
So simple....Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni kwamba sijui nimwacheje! Naogopa kumuumiza...
Nisaidieni wajameni!!! πππ
Asante sana kwa ushauri wako...
Sababu kubwa ya kutaka kumwacha ni kwamba; At first, tulianza kama marafiki wa kawaida tu, lakini kadiri siku zilivyokwenda, connection ilizidi kuongezeka... Lakini kwa sasa, kwa kweli nikimwangalia, sijioni niki-spend maisha yangu pamoja naye... Lakini ndo hivyo sasa... najiona kama nimefikia"point of no return..."
BTT acha kumpotezea muda mtoto wa watu,face and tell her as much as you love her,you dont see any future between you two...finito!
I did that!
And she is now dead! She poisoned herself 2 months later! Its not that easy!
John take her one step back at a time! Then you end it!
Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni kwamba sijui nimwacheje! Naogopa kumuumiza...
Nisaidieni wajameni!!! πππ
Kaka John Nyie ni wapenzi lakini mnaitana marafiki mbele za watu na kwa nini ikawa hivyo ?Nijibu swali langu ili nijue pa kuanzia ?
Well! From the first time, tulianza kama marafiki wa kawaida tu...
Lakini baada ya urafiki wa muda mrefu, tumezoeana mno, na tuna-behave kama wapenzi ingawa bado tunaitana marafiki...