How do we fall out of love? Mapenzi yanaishaje? Miaka inapotea watu wanaishi ndani ya mahusiano yaliyokufa, ni kuhurumiana au hofu ya upweke?

Watoto na mali
 
Ni phase tu kwenye mahusiano, zinakuja phases nyingi tu ila uzuri zote zinapita hasa kama mpo willing kufanya mahusiano yenu yawe sawa.

Mapenzi sio mserereko kwamba kwa vile umeingia basi mnaenda tu bila changamoto.

Hata waliopo single hawapo salama, nao wana changamoto zao nyingi tu. Binafsi siwezi kuishi bila kuhusiana na mwanamke, life itakuwa boring sana.
 
Hebu niache, Nafuta machozi kwanza
Tunajitokeza wakukufuta machozi unajifanya you don't care sasa kaa na hilo likitunguu maji lako liendelee kukuliza mpaka ukome!, umekaa kishamba kishamba sana lia tena lia mpk utoke meno! uwe mwali mapengo...🤣
 
😅😅😅
Yatakuja kukukuta na wewe subiri tu
 
😅😅😅
Yatakuja kukukuta na wewe subiri tu
Mimi nilishawahi mpaka kufumania na hata sikushituka yani niache kula raha za uhai nihangaike na moyo wa mtu ambae muda wowote anaweza kufanya maamuzi yake, ndo maana nakuambia umekaa kishamba kishamba sana!...😅
 
Aisee hebu nitoe huo ushamba. Nifanyeje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…