How do we fall out of love? Mapenzi yanaishaje? Miaka inapotea watu wanaishi ndani ya mahusiano yaliyokufa, ni kuhurumiana au hofu ya upweke?

Aisee hebu nitoe huo ushamba. Nifanyeje sasa
Hakikisha akili zako zinashinda hisia zako, ukiendekeza hisia sana mambo yatagoma kuna maisha baada ya mapenzi utakuja kukutana na tukio kubwa utashindwa kuli handle jiandae kihisia sasahivi binadamu alishashindikana mpaka na shetani kuna dhambi mpya mpya mpk shetani hazijui...🤣
kaza moyo huo amka jifute vumbi kula vizuri enjoy uhai fanya vitu upendavyo ukisubiri kupendwa utatemdwa!.
 
Yaani hata sitegemei kupendwa tena maana hata mimi sijishughulishi na kumpenda. Tupo tupo tu kama cabbages
 
Yaani hata sitegemei kupendwa tena maana hata mimi sijishughulishi na kumpenda. Tupo tupo tu kama cabbages
I see.

Ukizingatia labda ulikubali akuoe ilhali hakuwa Chaguo lako Namba Moja..

Mnaishia kuvumiliana tu.
 
Yaani hata sitegemei kupendwa tena maana hata mimi sijishughulishi na kumpenda. Tupo tupo tu kama cabbages
Achana nae nikuchukue mimi...😁
 
Sio rahisi kuanza kutengeneza bond upya na mtu mwengine.......watu wengi wanakuwa na hofu ya kuanza upya. thus why watu huwa wanaendelea kung'ang'aniana hivyo hivyi...muda mwengine utakuta washazaa na watoto wanaona bora tu waendelee hivyo hivyo.

kuna ambao wanafikiria hata ukianza mahusiano na mtu mwengine hali itakuwa ile ile tu.....mtaanza vizuri ila mwisho mtaishia kule kule tu kwenye kuchokana.

na kitu pekee kinachofanya hii hali ya kuchokana ni pale mnapoanza kuishi kwa mazoea.
 
Ndio baba zetu na mama zetu walivyoishi kwa miaka... Na miaka na ndio maisha yalivyo

Anyways piga nyeto huondoa hizi filingi
 
I see.

Ukizingatia labda ulikubali akuoe ilhali hakuwa Chaguo lako Namba Moja..

Mnaishia kuvumiliana tu.
Alikuwa chaguo langu kabisaaa šŸ˜€šŸ˜€.
 
pole mrembo
 
Hakuna jitihada. It is getting worse. Kuishi bila.yeye nipo tayari
That's not good kabisa, kama hskuna pingamizi na havivumiliki ni heri kuishi bila yeye ili moyo upate afya. Unless factor ya watoto inakuzuia.
 
Tuishi kwenye ulichokisema šŸ‘†šŸ¼ukimudu kuvumilia phases mnadumu.
 
That's not good kabisa, kama hskuna pingamizi na havivumiliki ni heri kuishi bila yeye ili moyo upate afya. Unless factor ya watoto inakuzuia.
Ipo siku tena sio mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…