Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
kijana wa 1990 to below bado hujafanya mambo haya;
1.huna hata godoro au kitanda
2.unaishi kwenu na huna mpango wa kuondoka
3,wenzako wakiwa na familia zao wewe kazi kuwatembelea
4.huna kazi zaidi ya kufatilia movi za wakorea
5.unatmia pesa kwenye mamboyasiyo na maana
6.kuzi kufatilia stori za diamond na ally kiba na kwenye insta ni wakwanza kujibu hovyo as if unaingiza pesa.
7.kuwakatisha tamaa wenzako kwa kushauri ujinga
8.kusherehekea sherehe za kuzaliwa na huna ulichokifanya
miaka hutafsiriwa kwa kupima maendeleo ya mtu au vitu hushangai kila mwaka lazima tufanye shughuli za uhuru wakati tulishapita.
I am not forcing you to follow my threadsWw jamaa c utuache
Ww jamaa c utuache
great messageLife is the most difficult exam. Many people fail because they try to copy others. Not realizing that everyone has a different question paper.
DUHJf Hanna watu wa aina iyo mkuu umepotea njia uku wote tuna kazi nzuri na mishahara minono
Tunaenjoy maisha
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
unasemea nafsi yakoJf Hanna watu wa aina iyo mkuu umepotea njia uku wote tuna kazi nzuri na mishahara minono
Tunaenjoy maisha
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
ππππππKusherehekea kujaza kinyesi duniani8.kusherehekea sherehe za kuzaliwa na huna ulichokifanya
...πππ...Life is the most difficult exam. Many people fail because they try to copy others. Not realizing that everyone has a different question paper.
Mkuu sahihi unachokisema,unaweza ukamuona mtu kila anachokigusa imo lakini mwingne kile atakachokigusaa majanga .Kwa lugha nyingine hao ni wezi wa dunia ijayo
Yaani ilibidi waifanya dunia bora kuliko walivyo ikuta wenyewe wanakaa ,wanawapa mzigo kizazi kijacho.
Lakini sambamba na hilo
Yaani kila unaye muona amefanikiwa kuna nguvu nyuma yake either ya shetani au ya Mungu.
Sikubaliani na hiyo hali lakini nawambie tu ukweli kuna watu wameibiwa uwezo wa kufanikiwa tangu kipindi hicho yaani wanaishi kama makopo kila wanachofanya akiendi kila analo gusa hakuna kitu kinaendelea kama na wewe upo hivi aisee amka kuna kitu hakipo sawa na unabidi ukiweke sawa
Naomba kuwasilisha
Nini suruhisho la haya majanga mkuu kipi kifanyike ili Mambo yaendeMkuu sahihi unachokisema,unaweza ukamuona mtu kila anachokigusa imo lakini mwingne kile atakachokigusaa majanga .
Kila tunaloliona ama kulisikia ni jambo lililosimama sahihi upande wake kama lilivyo.Mtoa mada fuata mambo yako
wewe kaa na familia yako, acheni kusema sema watu.Kila tunaloliona ama kulisikia ni jambo lililosimama sahihi upande wake kama lilivyo.
Binadamu kwa silka yetu tumeumbwa na uelewa ama uwezo wa kupokea jambo kichwani kwa njia tofauti tofauti.
Mtu mwingine ana uwezo wa kubuni ndiyo karama yake, mtu mwingine hawezi kubuni jambo mpaka atizamie kwa mwingine.
Mtu mwingine mpaka ashauriwe na mtu ndiyo afanye cha maana, mwingine mpaka atukanwe ama kusimangwa ndiyo azinduke toka kwenye usingizi totoro wa udumavu wa maendeleo!
Hivyo basi ushauri wowote hata kama umetolewa kwa kuumiza masikio ama una ukakasi, yatupasa tuupokee bila hiyana kwa sababu ni lazima uwe ni msaada kwa watu flan flan kama nilivyokwishaeleza hapo juu.