How do you move on from someone perfect

Sometimes it takes ten years to get one year that will change your life so keep going. Usijali utapata tu wa kuendana naye. Huyo mwache aende.
 
Unachotakiwa kufahamu ama ulichokuwa hukijui ni kwamba, it won't get better than that. And in this life nobody is coming to save you, you gotta dig yourself up out that hole you dug yourself in.
Na unatakiwa kukubaliana na ukweli kwamba she's not yours and she was never to begin with. So brace yourself up and get gone. Sahau kila kitu na usikubali kuwa weak over some bitch, go and find your happiness in yourself first, and be content.
 
Mwanaume kulilia mapenzi ni uboya. Tafuta hela jombaa mengine yote utazidishiwa.
 
You are in denial. Acha kujidanganya na sijui I don't care about her...mara simtaki....

Hamna anaeweza kukabiliana na jambo asiloamini lipo. Kubali tu kwamba you are not over her ili uweze kutafuta namna ya kusonga mbele.
 
Nikupe ukweli. Dada you have low iq. Yani box empty . We see your comments tupo kimya ila Huna meaningful out put kwenye kila thread never comment on my post again. Yani never
Dogo
Once you post a thread, sio mali yako tena
Ni post ya wanaJF hiyo.
Sasa sisi members wa JF ndiyo tutajua wenyewe tunacomment nini, hivyo usitupangie.
Meaningful posts right? Kaa hapo uzisubiri..
 
The big problem with you is that you're too much obsessed with her.
You need to stop thinking about her by putting her at the back of your mind.

Delete her photos, contact ( s) and messages from your phone/ laptop.

It is not easy by the late luck dube...

Love is in our hearts not is on phones photos o contract brother

Mwaka juzi nlimbiwa it’s over !! Wee sikula wiki nzima nakuelewa sana mtoa mada kuna watu mnakutana mna chemical kila corner sex talking goals outfit outing
 

Problem with you unatafuta mwenye image kama yake. You will fail.
Tafuta anae kufaa, ukiendelea kulinhanisha huto pata
 
Dogo
Once you post a thread, sio mali yako tena
Ni post ya wanaJF hiyo.
Sasa sisi members wa JF ndiyo tutajua wenyewe tunacomment nini, hivyo usitupangie.
Meaningful posts right? Kaa hapo uzisubiri..
Once sio dogo. Kwa ground. You beneath my level of education I can assure you that. Also stop posting on my thread. Kausha tu. Thread zipo kibao. Ww Huna akili siku taki humu
 
Pole sana mkuu,hii inawatokea wengi sana both male and female,but it will rich a time you will forget about her,we are in the same situation,ni ngumu sana kumsahau kwa haraka mtu uliyempenda.
 
Budah acha vingereza vingi, she prolly fucking some other guys huko aliko. Cha msingi we malizana na ubongo wako kuwa she is never gonna come back to you hata kama unampenda.
 
Kurudi sitaki mzee. Hiyo ndo shida na kumsahau nashindwa. To get better than her. Still searching. A year not even close. Nimechoka kuwa demu mpya kila month or week. Ni economic unviable, timewasting. Na taka ni reset nashindwa
Tatitizo kubwa unataka better than her, acha kulinganisha watu. Ukiamua kuwa na mtu kuwa naye sababu ana sifa unazozihitaji sio kwa sababu anamzidi fulani kwa vigezo unavyotaka. Ukiwa hivyo ni ngumu kutoka kwenye huo mtego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…