Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Sawa Mwanetu hapo umebakiza kujinyonga tu.Nimeshindwa aisee. Syntax error. File na delete lina ji back up after a month
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mwanetu hapo umebakiza kujinyonga tu.Nimeshindwa aisee. Syntax error. File na delete lina ji back up after a month
Sometimes it takes ten years to get one year that will change your life so keep going. Usijali utapata tu wa kuendana naye. Huyo mwache aende.As my tittle, niki sema perfect I mean perfect. Yani we have the chemistry ambayo tunaelewana. We broke up kisa nilikuwa busy na kazi za watu alafu mkoa mwingine. Ni kasema fresh. 1 year in. I can't replace her. All the girls napata amna hata anamfikia on filling my soul with happiness. Yani she completed me. Ingawa I used to hustle to fill her desire ila she completed me.
Shida inakuja kila girl napata amna kitu yani nikama 20 plus girls wote empty + na include 400+ ninao wajua ( I know alot of girls don't ask me why). Sio kwamba ni mzuri sana ila tabia yake ni adimu sana. She never settle for less. I miss that life. Sasa kila ninaempata loves me the way I am. Am not motivated, I dont get the proudness and the struggle to fight for love. Mapenzi yame kuwa mepesi sana. Kuna siku na struggle hadi kulala nikifikilia yani nothing settles. Nimemuona juzi kati ndo kabisa. been a year apart am still in love with her.
Wazee mnatokaje kwenye hili? Kupiga nimepiga kila type na rangi hadi Arabian Girls, ila i still want just her . Kurongwa silogeki kifala, am self aware and I still fail to let her go. ( note: I tried therapy it failed, pombe failed) sijui what's next [emoji17]
You are in denial. Acha kujidanganya na sijui I don't care about her...mara simtaki....A year mzee. Sema it's true I will give time.
Ila a year. Nimejisahaulisha everything. Bado napata relapse that I still have her. Yani hata kuongea nae siongei nae wala kumuona in year. I don't even care or what to know what she does. Ila why relapse?
DogoNikupe ukweli. Dada you have low iq. Yani box empty . We see your comments tupo kimya ila Huna meaningful out put kwenye kila thread never comment on my post again. Yani never
AminaKuna mambo yanaepukika tukiweka hisia pembeni na kutanguliza akili.
Waume za watu hapana bro👊My ex...we si uliniacha Mimi Kwa madai yako nazingua, sasa ndo upambane na Hali yako hahahah
The big problem with you is that you're too much obsessed with her.
You need to stop thinking about her by putting her at the back of your mind.
Delete her photos, contact ( s) and messages from your phone/ laptop.
As my tittle, niki sema perfect I mean perfect. Yani we have the chemistry ambayo tunaelewana. We broke up kisa nilikuwa busy na kazi za watu alafu mkoa mwingine. Ni kasema fresh. 1 year in. I can't replace her. All the girls napata amna hata anamfikia on filling my soul with happiness. Yani she completed me. Ingawa I used to hustle to fill her desire ila she completed me.
Shida inakuja kila girl napata amna kitu yani nikama 20 plus girls wote empty + na include 400+ ninao wajua ( I know alot of girls don't ask me why). Sio kwamba ni mzuri sana ila tabia yake ni adimu sana. She never settle for less. I miss that life. Sasa kila ninaempata loves me the way I am. Am not motivated, I dont get the proudness and the struggle to fight for love. Mapenzi yame kuwa mepesi sana. Kuna siku na struggle hadi kulala nikifikilia yani nothing settles. Nimemuona juzi kati ndo kabisa. been a year apart am still in love with her.
Wazee mnatokaje kwenye hili? Kupiga nimepiga kila type na rangi hadi Arabian Girls, ila i still want just her . Kurongwa silogeki kifala, am self aware and I still fail to let her go. ( note: I tried therapy it failed, pombe failed) sijui what's next [emoji17]
Once sio dogo. Kwa ground. You beneath my level of education I can assure you that. Also stop posting on my thread. Kausha tu. Thread zipo kibao. Ww Huna akili siku taki humuDogo
Once you post a thread, sio mali yako tena
Ni post ya wanaJF hiyo.
Sasa sisi members wa JF ndiyo tutajua wenyewe tunacomment nini, hivyo usitupangie.
Meaningful posts right? Kaa hapo uzisubiri..
SIO kweli.Mkidata ndio mnaongea kiingereza sio? 😎😎
Eti Chemistry 😂
Siwezi kisa huo ufala. Nita grind. Kwa ground ata replasika tu. Lazima kuna copy somewhereSawa Mwanetu hapo umebakiza kujinyonga tu.
My sister ✋Achaneni na mapenzi
Yatawachakaza kiakili
Shikamoo kama we ni mkubwa,, ila sasa ni mkubwa kileja braza.Once sio dogo. Kwa ground. You beneath my level of education I can assure you that. Also stop posting on my thread. Kausha tu. Thread zipo kibao. Ww Huna akili siku taki humu
Pole sana mkuu,hii inawatokea wengi sana both male and female,but it will rich a time you will forget about her,we are in the same situation,ni ngumu sana kumsahau kwa haraka mtu uliyempenda.Her reasons to leave me were terrible but I don't really care about her. The problem I cant date anything less than her. Iyo ndo shida. Ni kama threshold point I have to reach. Niwe happy. Na I can't reach it or find anything better. Erasing it. Nimefanya sana. Niki review naona amna kitu hapa. Shida shida tu
Tatitizo kubwa unataka better than her, acha kulinganisha watu. Ukiamua kuwa na mtu kuwa naye sababu ana sifa unazozihitaji sio kwa sababu anamzidi fulani kwa vigezo unavyotaka. Ukiwa hivyo ni ngumu kutoka kwenye huo mtego.Kurudi sitaki mzee. Hiyo ndo shida na kumsahau nashindwa. To get better than her. Still searching. A year not even close. Nimechoka kuwa demu mpya kila month or week. Ni economic unviable, timewasting. Na taka ni reset nashindwa