How does WhatsApp Make Money?

How does WhatsApp Make Money?

There are so called satellites and optical-fibre cables.
Lets say Voda buys 500Mbs from Satellites or OFCs ISPs/dealers and for them to get benefits they give you 500Mbs for just 500Tsh in a limited time...ni kama unavo chukua mikate kwa Bakhresa kwa 800Tsh na kutembeza kitaa kwa 1000Tsh ili upate faida.

Lets say the 500Mbs that you get from vodacom you use 1Mb to browse Whatsapp and Whatsapp will notify a large ISPs say Google that somebody used 1Mb to browse our site then Google will send these infos to your ISPs say. Vodacom that these infos says somebody used 1Mb to browse whatsapp and Vodacom will pay the money to whatsapp per 1Mb...everybody from Google to ISP get about 4%,5% until all ur money have divided including givernment taxes the cycles goes there and comes again whereever your browsing will be charged...But the method seems slowly to make money thats why others adds some services like Ads and whatever.
Sidhani. Wao hupata pesa mingi sana kupitia taarifa za wateja na namna wanavyotumia mitandao ya kijamii kama hivyo WhatsApp. Wateja wao hasa ni watafiti na wachambuzi wa masoko na watu wa usalama.

Dunia ya sasa ipo kwenye big data analytics. Uchambuaji wa taarifa nyinginyingi za mitandaoni. Hizo taarifa ukizipatia nyenzo muafaka zinakusaidia kuwa na uhakika wateja wako wanataka nini kwa kiasi kipi wakiwa wapi kwa gharama zipi na kwa wakati gani. Fikiria jinsi maisha ya kampuni yanakua rahisi. Kuanzia kwenye ugavi, usambazaji, bei na upangiliaji wa rasilimali.

Hapo kwa maoni yangu ndipo social media wanapiga pesa sana kimya kimya. Njia za wazi ndo kama matangazo na mauzo ya huduma zao.
 
MB ni kama air time. Bila satelite hakuna mawasiliano ya internet duniani. Wamiliki wa satelite huuza subscription kwa host na ISP company na vodacom hununua(mfano). Kisha wao hukuuzia wewe mtumiaji wa MB iwe kwa WhatsApp au Youtube. Unapotumia huduma yoyote iwe Google au whatsapp unanunua MB na voda watalipa host nao watalipa whatsapp kisha kiasi kingine kitaenda satelite company. Mfano una account ya Youtube na unaitumia kibiashara kwakuweka videos, utatafuta host na kila atakayeangalia vidoe yako utapata mgao wa % fulani in cash kwa MBs alizotumia, vodacom nao watabakiwa na % yao, host nae na mwisho ni kampuni inayomiliki hiyo satelite
 
Kuna biashara kubwa ya uuzaji wa taarifa ambayo hizi mitandao ambazo unafanya subscription ya kujaza taarifa zako. Taarifa hizi hutumiwa na makampuni makubwa ya marketing kwaa ajili ya kufanya promotion zao
So hata whatsapp pia nahisi ni miongoni mwa makampuninyanayouza taarifa so usishangae hupati adds kwenye simu yako directly kupitia whatsapp ila kuna algorithms ambazo zina learn user behaviour inakua rahisi ku predict ni user wa mambo gani
Na sio marketing tu. Pia makampuni katika kuboresha bidhaa zao. Mfano watengeneza simu kujua watu wanapiga zaidi picha za aina gani kwa hiyo kamera waziboreshe vipi n.k.
 
Na sio marketing tu. Pia makampuni katika kuboresha bidhaa zao. Mfano watengeneza simu kujua watu wanapiga zaidi picha za aina gani kwa hiyo kamera waziboreshe vipi n.k.[/QUOTE

Ukweli Uko hapo na sio taarifa za masoko tu ni taarifa zote zilizopo ktk simu/laptop au kifaa kingine chochote unachotumia kuingia WhatsApp na ipo clear kabla ya kujiunga kuna terms and conditions (bahati mbaya wengi hatuzisomi) Lkn wanaeleza very clear that by agreeing WhatsApp may acess your location, pictures, emails n so many things. That information is highly priced
 
Kunabaadhi ya makampuni yananunua taarifa za watu.watssap ni miongoni mwa wauzaji wa taarifa za watu.inasemekana lakin
Wewe ni lawyer wa nanna gani?? Mbona unaongea kinyume na uhalisia. Hujui kwenye Whatsapp kuna end to end encryption. Mtu mwingine hawezi kudukua mawasiliano ya chats zenu ama calls hata whatsapp wenyewe hawawezikufanya hivyo. Sasa hzi taarifa wewe umezitoa wapi?
 
Kuna biashara kubwa ya uuzaji wa taarifa ambayo hizi mitandao ambazo unafanya subscription ya kujaza taarifa zako. Taarifa hizi hutumiwa na makampuni makubwa ya marketing kwaa ajili ya kufanya promotion zao
So hata whatsapp pia nahisi ni miongoni mwa makampuninyanayouza taarifa so usishangae hupati adds kwenye simu yako directly kupitia whatsapp ila kuna algorithms ambazo zina learn user behaviour inakua rahisi ku predict ni user wa mambo gani
Wewe umeanza vizuri lakini mwisho umeharibu. Whatsapp ina privacy kubwa coz wao wenyewe hawawezi kuona picha ama message mnazotumiana through their latest app.
 
See this is how they make u think sababu wakikueleza they learn your behaviour through comunication hautataka kutumia bidhaa yao kubali kataa tupo kwene information era na the way technology inavyozidi kukua ndio unavyozidi kuwa vulnerable incryption is just to make u safe kwa third part (attacks /hackers)

Just you know it is not how you feel it is about how it is
 
Jiulize ni kwanini millard ayo hukupa url ya habari fulani badala ya kukupa habari yote kny blog yake?hii ina maana akikupa habari yote yeye hatapata faida hivyo itakubidi utumie vi mb vyako vya kukopa uiangalie hiyo habari huku yeye mwisho wa siku anaenda kuchukua cheki yake voda,ttcl,air tel,smart,zantel au tigo...hivyohivyo kwa whats mark zurckerberg hupokea mshiko wa nguvu toka kwa hayo makampuni.
Uongo mtupu
 
MB ni kama air time. Bila satelite hakuna mawasiliano ya internet duniani. Wamiliki wa satelite huuza subscription kwa host na ISP company na vodacom hununua(mfano). Kisha wao hukuuzia wewe mtumiaji wa MB iwe kwa WhatsApp au Youtube. Unapotumia huduma yoyote iwe Google au whatsapp unanunua MB na voda watalipa host nao watalipa whatsapp kisha kiasi kingine kitaenda satelite company. Mfano una account ya Youtube na unaitumia kibiashara kwakuweka videos, utatafuta host na kila atakayeangalia vidoe yako utapata mgao wa % fulani in cash kwa MBs alizotumia, vodacom nao watabakiwa na % yao, host nae na mwisho ni kampuni inayomiliki hiyo satelite
Sio kweli. Fanya research tena.
 
See this is how they make u think sababu wakikueleza they learn your behaviour through comunication hautataka kutumia bidhaa yao kubali kataa tupo kwene information era na the way technology inavyozidi kukua ndio unavyozidi kuwa vulnerable incryption is just to make u safe kwa third part (attacks /hackers)

Just you know it is not how you feel it is about how it is
Kweli wakumbushe na ishu ya smart tv zenye camera
 
See this is how they make u think sababu wakikueleza they learn your behaviour through comunication hautataka kutumia bidhaa yao kubali kataa tupo kwene information era na the way technology inavyozidi kukua ndio unavyozidi kuwa vulnerable incryption is just to make u safe kwa third part (attacks /hackers)

Just you know it is not how you feel it is about how it is
Mkuu sio kwenye swala la kukuza namba ya watumiaji ila ijinufaishe. Jaribu kuchimba vizuri maana ya end to end encryption ya Whatsapp. Angalia maandiko ya authors wengi juu ya hill suala ndio uje na hoja madhubuti. Kuuza taarifa kwa kampuni za simu na hizi apps ni jambo linalogahamika vizuri ila whatsapp wameongeza privacy ya watumiaji wake through end to end encryption.
 
Jiulize ni kwanini millard ayo hukupa url ya habari fulani badala ya kukupa habari yote kny blog yake?hii ina maana akikupa habari yote yeye hatapata faida hivyo itakubidi utumie vi mb vyako vya kukopa uiangalie hiyo habari huku yeye mwisho wa siku anaenda kuchukua cheki yake voda,ttcl,air tel,smart,zantel au tigo...hivyohivyo kwa whats mark zurckerberg hupokea mshiko wa nguvu toka kwa hayo makampuni.
Kwa Millard Ayo ni tofauti mkuu
Maana yy anategemea matangazo na ukifungua unayaona
Lakin kwa whtsp ni tofautii
Hakuna matangazo wala nn
 
Mkuu sio kwenye swala la kukuza namba ya watumiaji ila ijinufaishe. Jaribu kuchimba vizuri maana ya end to end encryption ya Whatsapp. Angalia maandiko ya authors wengi juu ya hill suala ndio uje na hoja madhubuti. Kuuza taarifa kwa kampuni za simu na hizi apps ni jambo linalogahamika vizuri ila whatsapp wameongeza privacy ya watumiaji wake through end to end encryption.
Mkuu i know what end to end encryption sababu naijua cryptography kiasi chake sasa nachokueleza ni kwamba hizo encryption ni mbwembwe tu sababu wao wanajua kuzi decrypt na wao ndo wame emplement kwenye server zao na zipo kwaajiri ya kuzuia hackers na hata makampuni mengine kudukua taarifa za watumiaji wao ila wao wanafaidika na taarifa zako sababu wana algorithms ambazo zina learn na ku predict specific behaviour za user wao hivo sasa kuna makampuni ambayo yanatengeneza bidhaa mbali mbali hata wao wenyewe wanatumia taarifa hizo kuboresha pruduct zao sasa hapo ndo business inafanyika kulingana na data wanazo hitaji na biashara hii ni kubwa na imeshamiri lakini hata siku moja huwezi skia ikawa ni biashara halali sababu hakuna anaetaka taarifa zake ziwe wazi kwa mtu mwingine

Hapo ndo wanakuja na honeypot za encryption ili kukushawishi wewe kuwa upo safe

Neno langu sio sheria
 
navyoelewa millard anakupa url ili uende kwenye wrbsite yake ili umuongeze watembeleajia na sio kama unavyodhani kwamba analipwa kwa makampuni ya simu
haipo hivyo
Acha kupotosha mkuu millardayo anachohifadhi pale ni noti tu na kuongeza watu ushawahi tembelea banda la gazeti wao unaona kichwa cha habari tu ukihitaji gazeti unanunua ndio ilivyo hata kwa social media hakuna mtu anayetaka Fanya biashara kichaa hata siku moja
 
User data mkuu,kuweza kua na watu 1billion na kupata data zao Ni mtaji mkubwa Sana tena sana..sasa iv user data ndo dili makampuni kibao wanategemea data kuboresha biashara zao
 
umenielewa lakini?
nilikuwa namuelewesha jamaa hapo juu kwamba sio sisi tunapotumia Mb zetu kuperuzi website kama ya millard yeye hulipwa na mitandao tunayotumia hizo mb zao kama vile voda,tigo,airtel etc

sasa mimi hapo nimepotosha nini labda?‍♂‍♂‍♂
 
User data mkuu,kuweza kua na watu 1billion na kupata data zao Ni mtaji mkubwa Sana tena sana..sasa iv user data ndo dili makampuni kibao wanategemea data kuboresha biashara zao
Kama ni user data Instagram watakua wanapiga hela zaidi, wananyonya sana MB
 
Mkuu sio kwenye swala la kukuza namba ya watumiaji ila ijinufaishe. Jaribu kuchimba vizuri maana ya end to end encryption ya Whatsapp. Angalia maandiko ya authors wengi juu ya hill suala ndio uje na hoja madhubuti. Kuuza taarifa kwa kampuni za simu na hizi apps ni jambo linalogahamika vizuri ila whatsapp wameongeza privacy ya watumiaji wake through end to end encryption.
End to end encryption is a business language my friend. Just Google "vault 7" by Edward snowden and read very careful
 
I checked some days ago, Still end to end encryption is safe unless one gains physical access to your device.
 
Back
Top Bottom