2017 No Name
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 172
- 133
Hahaha,..nimefungua huu uzi ili tu kutafuta jibu ka hili nicheke,..bado kuna watu wanaamini huu ujinga.WhatsApp wanapata hela sana.
Kila unapotuma sms,kuangalia video,kutuma nyimbo nk kuna kiwango cha mb huwa unatumia.whatsapp wanachofanya ni kurekodi kiwango chako cha mb na kukibadilisha kwa kukipa thamani flani ya fedha,whatsapp hupata fedha hizo kutoka kwenye makampuni ambayo huusika na kuuza uduma za internet.
Hivyo basi kadri unavyotumia mb nyingi ndo wao wanavyopata fedha.