Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Sidhani. Wao hupata pesa mingi sana kupitia taarifa za wateja na namna wanavyotumia mitandao ya kijamii kama hivyo WhatsApp. Wateja wao hasa ni watafiti na wachambuzi wa masoko na watu wa usalama.There are so called satellites and optical-fibre cables.
Lets say Voda buys 500Mbs from Satellites or OFCs ISPs/dealers and for them to get benefits they give you 500Mbs for just 500Tsh in a limited time...ni kama unavo chukua mikate kwa Bakhresa kwa 800Tsh na kutembeza kitaa kwa 1000Tsh ili upate faida.
Lets say the 500Mbs that you get from vodacom you use 1Mb to browse Whatsapp and Whatsapp will notify a large ISPs say Google that somebody used 1Mb to browse our site then Google will send these infos to your ISPs say. Vodacom that these infos says somebody used 1Mb to browse whatsapp and Vodacom will pay the money to whatsapp per 1Mb...everybody from Google to ISP get about 4%,5% until all ur money have divided including givernment taxes the cycles goes there and comes again whereever your browsing will be charged...But the method seems slowly to make money thats why others adds some services like Ads and whatever.
Dunia ya sasa ipo kwenye big data analytics. Uchambuaji wa taarifa nyinginyingi za mitandaoni. Hizo taarifa ukizipatia nyenzo muafaka zinakusaidia kuwa na uhakika wateja wako wanataka nini kwa kiasi kipi wakiwa wapi kwa gharama zipi na kwa wakati gani. Fikiria jinsi maisha ya kampuni yanakua rahisi. Kuanzia kwenye ugavi, usambazaji, bei na upangiliaji wa rasilimali.
Hapo kwa maoni yangu ndipo social media wanapiga pesa sana kimya kimya. Njia za wazi ndo kama matangazo na mauzo ya huduma zao.