How does WhatsApp Make Money?

Hahaha,..nimefungua huu uzi ili tu kutafuta jibu ka hili nicheke,..bado kuna watu wanaamini huu ujinga.
 

Hili ndo jibu sahihi,..
 
Aisee, kila jibu lililotolewa limepingwa! Na bado sijaona mtu mwenye jibu sahihi kuhusiana na ishu hii. Nahitaji kujua zaidi
 
GB whatsapp, FM whatsapp, whatsapp+ [emoji4][emoji4][emoji4].... wote hao wanapata hela zetu
 

Mkuu mb waga hazimlipi mtu kwa kweli hiyo no kwa mtandao peke yake kinachowalipa webmasters no matangazo na issues nyingine zinazo husu hizo lakini sio mb
 
Issue ni "User informations" that's where business belongs. Kampuni nyingi kwa sasa hununua taarifa kutoka katika makampuni yanayo kusanya taarifa za watumiaji wao mfano hizi Social Networks ili kuboresha Bidhaa zao. Ni kweli Watakueleza Pale kwenye Privacy and Policies kwamba taarifa zako ni Secured na "End to End" Lakini sio kweli, wanafanya vile ili kukufanya Uendelee kutumia Mtandao wao.
 
Ninacho fahamu ni mwendo wa kujilipa kupitia mabando wanayo tuibia,ndio maana wako makini kutuibia data pindi unapo jisahau kuongeza bando kabla ya kujiunga utakuta dk chache tu data inasoma sifuri.
 
Umepuyanga chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…