Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
......cupkeki wako anaonekana ana kitambi afu jamaa mmoja mpenda sifa sana hasa bar......
You are dead wrong buddy boy...Kwanza mimi siendagi kwenye mabaa....I can't even recall the last time I was in bar....halafu nina kitambi? Puh-lease....you really wish you knew me huh?
The word doesnt sound good at all cupcake...inasound kama yupo cheap!
mzee wa sauti za umeme mbona hamgusi? mnaogopa kuambiwa anawajua......BTW sauti za umeme huyu jamaa anaonekana hana tofauti na Makamba....
nah..you just took it the wrong way....i was just using a sports analogy....free agent...which means a player can sign with a team (a right one of course) if they offer the right kinda money....it was just an analogy if u know what i mean
kauzu ni bandindu,mtindiga,msenegali..hujanipata tu?mzee wa sauti za umeme ndiyo nani?...wee nitajie nitakuambia yupoje haogopwi ntu...
ni sijui nini maana ya kauzu hahaha no cupcake hana kitambi umenoa hiyo...
Alafu anakuita shemeji...shemeji gani hamjui shemeji yako yupo vipi dang!...kazi kweli kweli
kauzu ni bandindu,mtindiga,msenegali..hujanipata tu?
.....sauti za umeme muulize shem langu masanilo atakuambia....mshikaji wake saana...
kauzu ni bandindu,mtindiga,msenegali..hujanipata tu?
.....sauti za umeme muulize shem langu masanilo atakuambia....mshikaji wake saana...
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, napiga mwano....muulize shem wako NN maana ya Mwano!!!
Shem alafu yule ndugu yenu SteveD sijui kwa nini namfananisha kila wakati na kaka mmoja anaitwa Steve W!
[quoteYE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears anaonekana ni mfupi around 54 alafu ana nywele kafuga na ndevu ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.
To be continued .
Ohhhh yule ni MoD anagalia asije kuban IP address yako...muogope kama sumu....usimfananishe na chochote wala kumuwaza...
Hii si mchezoNyani Ngabu
(a) Ana kitambi cha pombe za kienyeji
(b) Anavaa suruali zenye kubana makalio
(c) Ana mokasini za rangi nyeupe na mashati ya kubana mwili
(d) Mtaalam sana wa kucheza draft; halafu mbishi kupindukia
(e) Mwoga sana kutongoza akina dada;
Shem alafu yule ndugu yenu SteveD sijui kwa nini namfananisha kila wakati na kaka mmoja anaitwa Steve W!
Shy yule Suzy ulimpata?
Mwanamalundi
Nyani Ngabu
(a) Ana kitambi cha pombe za kienyeji
(b) Anavaa suruali zenye kubana makalio
(c) Ana mokasini za rangi nyeupe na mashati ya kubana mwili
(d) Mtaalam sana wa kucheza draft; halafu mbishi kupindukia
(e) Mwoga sana kutongoza akina dada
Hii si mchezo
Oooh Steve D is among the coolest cats in here alongide Masanilo....