Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii si mchezo
Hahahah Mwanamalundi aje haraka kuomba msamaha hahahahah
Kwanza hakuna watu wa hivyo siku hizi labda ungesema anapenda cheza pool na bowls
Najua Mwanamalundi ana dig style yangu lakini hawezi kukiri hadharani kwa hiyo anakiri kwa gia ya kinyumenyume....hii ni psychology mazee....