Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
- #221
buti baya ati....jF nitaiona kama mahakama ya kisutu......
...kuna jamaa alipigwa buti kazini akaacha kazi....unacheza eeh
hahaha hiyo kiboko unaacha kazi kisa umepigwa buti...ok then mama akiingia atasoma na kujua kuwa she has secret admirer lakini anamuogopa so expect PM kutoka kwa mama later on today!....
Mama upo wapi .....you have secret admirer aisee ila anaogopa kuanza move say something...