Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii si mchezo
Hahahah Mwanamalundi aje haraka kuomba msamaha hahahahah
Kwanza hakuna watu wa hivyo siku hizi labda ungesema anapenda cheza pool na bowls
before that nilikuwa nadhani steveD ni mtu wa musoma...
No way .....ni wakukaya huyo...wale wa Musoma hawako Romantic ni kama akina Chris Brown.....
Najua Mwanamalundi ana dig style yangu lakini hawezi kukiri hadharani kwa hiyo anakiri kwa gia ya kinyumenyume....hii ni psychology mazee....
hahahaha uwiii! so chris brown anatokea musoma kumbe?!....alikuwa anaonekana seious sana steveD ndiyo maana nikadhani ni wa musoma,sikujua kama anaweza kumake jokes pia...nilidhaniaga ni kuhani wa pili!..
shem si unafahamu wale wazee na store zao za uhuru na anataka umsikilize yeye tu usibishe si ndio type zile pale.....Nimecheka sana hahahahah naona mzee amejitoa JF kwa masalahi ya chama....
I have to help her...she means when it comes to serious matter unakuwa serious to discuss lakini pia you can be fun and make jokes...unlike those who pretend to be stack on politics tuu wakidhani kuwa ndiyo smart move...kumbe ni some bogus move hata obama pia can be fun at times..kuna times za kuwa serious na kufanya jokes...
Kelly01!!!
Utani wako na Nyani Ngabu na imagine km ndoa za watu zingekuwa hivyo naamini tungekuwa na ulimwengu wenye raha tupu pasi na karaha!!!
Big up 2 u!!!
shem si unafahamu wale wazee na strore zao za uhuru na anataka umsikilize yeye tu usibishe si ndio type zile pale.....
.....Mama nahisi ni kigoli kimoja matata sana.....under 28.....
Oooh helllllllz no! Steve D is cool as ice! Him and Ku Who are day and night.
Subiri aione hii....atakuja hapa na kutoa 2 cents zake....he's really cool...trust me Cupcake
lazima niende kwa stepu anaonekana ni zile type zinakuleta unajiona umeshinda ukiingia anga tu unakula mabuti ya shingo......ihihihhihihi usawa huu JF nitahama....Ooohh yeah...nasikia mzee wa sauti anacheza sana bao na draft...lol, hebu MP huyo mama....huwezi jua
Kelly01!!!
Utani wako na Nyani Ngabu na imagine km ndoa za watu zingekuwa hivyo naamini tungekuwa na ulimwengu wenye raha tupu pasi na karaha!!!
Big up 2 u!!!
lazima niende kwa stepu anaonekana ni zile type zinakuleta unajiona umeshinda ukiingia anga tu unakula mabuti ya shingo......ihihihhihihi usawa huu JF nitahama....
hahah cupcake you knwo what...naimagine this dude kuhani yeah anaenda shoe shine alafu jamaaa wa shoe shine amekosea kupolish kiatu chake vizuri weeh atatoka na hasira hapo na kuanza kupreach about politics...hahahaha
ahahahaha kumbe wewe ni muoga eeh!...MAMA is cool wee muandikie PM tuu kama kweli umemind hana hizo trust me!....
'preciate that hommie....we cool peoples...you know...life is too short to be uptight all the time...it's important to stop and smell the roses every now and then...
'preciate that hommie....we cool peoples...you know...life is too short to be uptight all the time...it's important to stop and smell the roses every now and then...
Mazee kuna thread kule mambo ya mapenzi wajuv wanadai eti pipo to be happy lazima sijui shem ufanye naye nini....uwiiiiiiiiiiiiiii
Cupcake...I think Yo Yo You can't play with my Yo Yo is right on this one....Mama is a typical angry black woman...teh teh teh.....you just wait...you'll see
buti baya ati....jF nitaiona kama mahakama ya kisutu......ahahahaha kumbe wewe ni muoga eeh!...MAMA is cool wee muandikie PM tuu kama kweli umemind hana hizo trust me!....