Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #221
buti baya ati....jF nitaiona kama mahakama ya kisutu......
...kuna jamaa alipigwa buti kazini akaacha kazi....unacheza eeh
buti baya ati....jF nitaiona kama mahakama ya kisutu......
...kuna jamaa alipigwa buti kazini akaacha kazi....unacheza eeh
Mazee kuna thread kule mambo ya mapenzi wajuv wanadai eti pipo to be happy lazima sijui shem ufanye naye nini....uwiiiiiiiiiiiiiii
tatizo Cupcake hawezi ku relate mambo ya kupigwa vibuyu kwa sababu kazoea kuwapiga watu vibuyu. mimi na wewe tunaweza ku relate mambo hayo.....kumbuka she's standing on the other side of the fence....
aaaah niangusage tena....tatizo Cupcake hawezi ku relate mambo ya kupigwa vibuyu kwa sababu kazoea kuwapiga watu vibuyu. mimi na wewe tunaweza ku relate mambo hayo.....kumbuka she's standing on the other side of the fence....
Naah..dawg....that's not our cup of tea....hiyo tunamwachia Kibs na wenzake...Lol
Cupcake....vipi Kibs? Umetupa description yake?
aaaah niangusage tena....
aaaah niangusage tena....
hahaha you are standing on the other side of the fence na kuanza kutongoza then demu anachimba kisima kwa kutumia dole gumba lake la mguu kwa aibu ...
oh yeah...nimezoea kuambiwa hivyo mwenzio.....heheheheheheee....
mzee wa sauti za umeme ndiyo nani?...wee nitajie nitakuambia yupoje haogopwi ntu...
ni sijui nini maana ya kauzu hahaha no cupcake hana kitambi umenoa hiyo...
Kelly01;
Wkt cupcake wako anakutongoza nawe ulichimba kisima kwa dole gumba nini??? "Aisifiae mvua...................."
Its jokes lady
cupcake! aaah unanisingizia duuh!..utalala na njaa leo shauri yako hahahahaha!...
Kelly,Mzee wa Sauti ya Umeme=Field Marshall ES
Kelly hapo umepatia sana kuhusu mimi....lol
ooh him?!....mbona nimesha mdescribe huko nyuma...kumbe yo yo alikuwa anamuongela huyo auuugh!...mtoto wa mt vermont huyo!...
Habari ndo hiyo...Labda YoYo hakuona jinsi ulivyomdescribe mzee wa kukata ishuuuuuuuuuuuuuuuuuuzzz
Hahah Lovie Smith sio...haya go bears and me with beard..lol
I know some of you may say...oooh he is so vain....but heck...I look damn good in that pic and i'm not afraid to say it...shyt
Mazee kuna thread kule mambo ya mapenzi wajuv wanadai eti pipo to be happy lazima sijui shem ufanye naye nini....uwiiiiiiiiiiiiiii