Oooh me i think unataka kuchapana na cupcake wangu ...he is the only one who calls me cupcake you know .....
Really talk yes that is my picture..Cupcake ndiyo alinipiga hiyo picha and i love it....maana i look so natural.
Mwambie cupcake hongera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh me i think unataka kuchapana na cupcake wangu ...he is the only one who calls me cupcake you know .....
Really talk yes that is my picture..Cupcake ndiyo alinipiga hiyo picha and i love it....maana i look so natural.
Mwambie cupcake hongera.
Hahahaha My dia mimi naangalia champions league!! Ars Vs Roma na wale Man U na Inter...good football, sijui kwanini timu zetu ovyooooo!! Jamani ndugu yangu msimuguse jamani hana kashfa nisafi kama theluji...
Nimwambie Hongera ya nini?....
hey cupcake unaambiwa hongera sijui ya nini?...umempa mimba mwanamke nje nini?|...Masanilo you have some explanation to make here|kuhusu ndugu yako|
HAhahah huyo amepinda!! Kuna ndugu yangu mmoja alimpa mtoto wake Jina Kikwete, lakini baada ya muda kuona ndivyo sivyo maisha bora hayaji...alibadili na sasa namwita huyo my cousin Slaaa....mapenzi hayo shem....Old Trafford ndo jina la uwanja...
kwikwikwikwikwi na genge lake la vatican.......
Hongera kumpata kimwana kama wewe unaonesha ni maridhia,mpole,mkarimu,mrembo sana,mwenye akili,mwenye heshima,hodari wa kuzungumza na mchesh,ushauri wangu kwa sisi wenye experiance ya kutosha katika fani hiyo ya mahusiano unapokipata kizuri unaking'ang'ania la sivyo utakuja kikumbuka baadae utabaki unalia peke yako for the rest of your life. Think Twice.
SAHIBA.
Duh!! JF kuna mambo hehehe kuna watu wana ndoto za kuwa marais wa Tanzania(desktop politicians never cease to amaze me).
Kelly01 must be average height 5'5"-5'6", weigh about 130lbs, the coordinates 34-26-34, dark brown complexion. charming and outgoing.(IMO)
Thanks Sahiba and great advice for really!..i hope cupcake will read this and take into consideration.
Hivi ni kweli watu wanakuwa obssesed na watu hadi wanawaita those name?..at first i thought alikuwa anatania...all these years nilikuwa najua mtoto anaitwa chester sikujua kumbe kirefu ni manchester duh!....yes hilo hilo Trafford hahahahaha uwiii so you have a cousin with a name slaa"?...like dr Slaa?.....mmmh!
hahahaah Icadon....umejuaje lakini duuh yaani i am speechless for really!...whaaat?..maana nashindwa kutype tena mmmh!...
did you read the way ninavyo-kuimagine wewe?....i hope you did...but still umeniacha aisee looh!>
Nacheza nini?😡
Hahhahahaha na wee nae umekuwa bwege mtozeni, zezeta na babujinga kwa pamoja....kutwa cupcake, cupcake utafikiri umebalehe juzi! LOL
hahahahaha na ma-cupcake ktk kila "area code," sio wewe kazi kushika pembe tu hapa wakati wakamuaji ni wengine....kwanza umeacha kuvaa diapers??🙂
Hahaha basi kumbe ushayakanyaga mawaya.......lol
Nani kasema ni hukumu ya kifo?