How I imagine people in JF

How I imagine people in JF

Acha hizo wewe!! Kelly01 ni shemeji yangu kwa NN, ninaongea naye kila siku...lovely gal under the sun.....mzuri na educated lady.....

I am good katika kufanya imagination:

Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)

Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.

Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyoa ndevu zake na kuacha sharubu.

Very smart man
 
Mr and Mrs NN!!

Naona tumevamiwa na huku watu wa jukwaa la siasa na lile la dini wamekuja na huku wanapenda ligi ile mbaya.....ujuaji puuuuuuuuuuuuuhhh....by the way namsubiria kisura wangu hapa Himawari......tujivinjali...siendi tena kule kwa wanajifanya kutetea maslahi ya taifa...waongo na wezi watupu....Long live Kelly na NN
 
alaafu,imagination yangu inaniambia wewe kelly,MKOROGO KWA SANA,it looks like umetumia every bleach available under the sun,watch out baby hivyo vitu vina play havoc na immune system
 
Najaribu ku-estimate proportion ya wanaume wanaomtamani kelly1 humu JF. Uchangiaji katika mada zake uko juu sana, sihisi kingine (eg. content) zaidi ya washkaji kumtamani (sijui ni hiyo picha!), wanaona faraja angalau "ku-chat" naye.
Weka na wewe picha yako tukuibukie....hapendwi hapa ukiwa mkali nakuibukia....napenda mademu wakali huo ndio ukweli...
HHaaa hhaaaa washkaji huwa MNAJITIA wagumu kumbe mambo flani URODA, no I mean UROJO.
Utakuwa gay wewe......
 
Weka na wewe picha yako tukuibukie....hapendwi hapa ukiwa mkali nakuibukia....napenda mademu wakali huo ndio ukweli...takuwa gay wewe......

Saikosisi inajulikana Kamanda ni GAY
 
Mr and Mrs NN!!

Naona tumevamiwa na huku watu wa jukwaa la siasa na lile la dini wamekuja na huku wanapenda ligi ile mbaya.....ujuaji puuuuuuuuuuuuuhhh....by the way namsubiria kisura wangu hapa Himawari......tujivinjali...siendi tena kule kwa wanajifanya kutetea maslahi ya taifa...waongo na wezi watupu....Long live Kelly na NN

Aaaah utawaweza hao watu ndugu yangu? Nadhani wana matatizo na huwa hawana furaha waonapo wengine wakifurahia maisha...

Ila usiwe na shaka...Binti Himawari atarudi tu....kumbuka....good things happen to those who wait...
 
Mr and Mrs NN!!

Naona tumevamiwa na huku watu wa jukwaa la siasa na lile la dini wamekuja na huku wanapenda ligi ile mbaya.....ujuaji puuuuuuuuuuuuuhhh....by the way namsubiria kisura wangu hapa Himawari......tujivinjali...siendi tena kule kwa wanajifanya kutetea maslahi ya taifa...waongo na wezi watupu....Long live Kelly na NN
Pole sana kwa kumsubiri Himawari. Ngoja ngoja yaumiza.......
Raha ya JF ni kwamba ina mitaa mingi sana. We unasubiri hapa kumbe Himawari yuko mtaa mwingine. Omba Mungu huko asikutane na mtu mwingine akapewa maneno matamu akasahau ahadi yake na Masanilo. Anyway, Subira yavuta heri. Endelea kusubiri, nakutakia kila la kheri.
 
Najua Maamuma!! Ila lazima aje hapa jamani, unajua tena haraka haraka haina .....siwezi kuimagine maisha bila Himawari!! Maneno yako mengine ni kama mkuki kwenye moyo wangu laini...najua Himawari akisoma tu hii ataniPM

Wasalaam

Masa
 
shem as you know...gd things comes to those who wait...basically you need to be patient....she will be here soon...anaweza akawa yupo busy...
 
Mmmh! Mbona kuna watu humu ndani status zao zina-fluctuate btn red and green? Unaweza kukuta members wa JF ni 20 tu!

Mmhh! Mie siongezi neno!
 
Ehe niambie Kelly01 how do you imagine me?? B'cause umechagua wachache tu, of course hulazimishwi katika kutaka jokes na some of the members here. You are lovely, sweet. I love you, sincerely!! I am not a hit and run man!!!
 
Hahahahaha Maane..you crack me out so badly and you are not a hit and run man....the way ulivyosema yaani yu sound really like this friend of mine anaitwa Charles salakana...so him....uwiiiii! interesting
 
ooh him?!....mbona nimesha mdescribe huko nyuma...kumbe yo yo alikuwa anamuongela huyo auuugh!...mtoto wa mt vermont huyo!...

Bado Kelly01 kumbuka vizuri.

Oh! How nice to through this!! Thanks Kelly01
 
Bado Kelly01 kumbuka vizuri.

Oh! How nice to through this!! Thanks Kelly01

I did i swear i did...kwenye i think page ya 11 au 12 hivi!....kunamtu alisema nimemsahau....
Jitume hebu jitume basi kuangalia page ya 11 au 12 or lower than labda ya nne hivi i am not sure what page was that....
 
Hii mada kama ya nimepata picha kule kaburini darhotwire.
 
Asante mammy, mimi ni demu ulivyo nidiscribe umepatia kweli, ila sasa umeniacha kidogo what is 5"4caramel umeniacha hapo.

Penny-Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5"4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Who can be my match kama wewe na cupcake!

Penny i meant your height is around 5"4 feet and your skin s caramel complexion..something like that....

Who can be your match?...mmh let me see! i think my friend Balantanda can be a good match he is same way too ni mkimya sana he doesnt talk that much unless unahitaji mtu wa kuku-keep alive liek YO YO... OR YE!...mhh lakini YE ALISEMA YEYE ANA MKE so too bad YE!...
 
Back
Top Bottom