I am good katika kufanya imagination:
Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)
Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.
Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyoa ndevu zake na kuacha sharubu.
Very smart man
Weka na wewe picha yako tukuibukie....hapendwi hapa ukiwa mkali nakuibukia....napenda mademu wakali huo ndio ukweli...Najaribu ku-estimate proportion ya wanaume wanaomtamani kelly1 humu JF. Uchangiaji katika mada zake uko juu sana, sihisi kingine (eg. content) zaidi ya washkaji kumtamani (sijui ni hiyo picha!), wanaona faraja angalau "ku-chat" naye.
Utakuwa gay wewe......HHaaa hhaaaa washkaji huwa MNAJITIA wagumu kumbe mambo flani URODA, no I mean UROJO.
Weka na wewe picha yako tukuibukie....hapendwi hapa ukiwa mkali nakuibukia....napenda mademu wakali huo ndio ukweli...takuwa gay wewe......
Mr and Mrs NN!!
Naona tumevamiwa na huku watu wa jukwaa la siasa na lile la dini wamekuja na huku wanapenda ligi ile mbaya.....ujuaji puuuuuuuuuuuuuhhh....by the way namsubiria kisura wangu hapa Himawari......tujivinjali...siendi tena kule kwa wanajifanya kutetea maslahi ya taifa...waongo na wezi watupu....Long live Kelly na NN
Saikosisi inajulikana Kamanda ni GAY
Pole sana kwa kumsubiri Himawari. Ngoja ngoja yaumiza.......Mr and Mrs NN!!
Naona tumevamiwa na huku watu wa jukwaa la siasa na lile la dini wamekuja na huku wanapenda ligi ile mbaya.....ujuaji puuuuuuuuuuuuuhhh....by the way namsubiria kisura wangu hapa Himawari......tujivinjali...siendi tena kule kwa wanajifanya kutetea maslahi ya taifa...waongo na wezi watupu....Long live Kelly na NN
Pole sana kwa kumsubiri Himawari. Ngoja ngoja yaumiza.......
Raha ya JF ni kwamba ina mitaa mingi sana. We unasubiri hapa kumbe Himawari yuko mtaa mwingine. Omba Mungu huko asikutane na mtu mwingine akapewa maneno matamu akasahau ahadi yake na Masanilo. Anyway, Subira yavuta heri. Endelea kusubiri, nakutakia kila la kheri.
Najua Maamuma!! Ila lazima aje hapa jamani, unajua tena haraka haraka haina .....siwezi kuimagine maisha bila Himawari!! Maneno yako mengine ni kama mkuki kwenye moyo wangu laini...najua Himawari akisoma tu hii ataniPM
Wasalaam
Masa
Ehe niambie Kelly01 how do you imagine me?? B'cause umechagua wachache tu, of course hulazimishwi katika kutaka jokes na some of the members here. You are lovely, sweet. I love you, sincerely!! I am not a hit and run man!!!
ooh him?!....mbona nimesha mdescribe huko nyuma...kumbe yo yo alikuwa anamuongela huyo auuugh!...mtoto wa mt vermont huyo!...
Bado Kelly01 kumbuka vizuri.
Oh! How nice to through this!! Thanks Kelly01
Asante mammy, mimi ni demu ulivyo nidiscribe umepatia kweli, ila sasa umeniacha kidogo what is 5"4caramel umeniacha hapo.
Penny-Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5"4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.
Who can be my match kama wewe na cupcake!
Mm nimeipenda signature yako, dear. Are you a day dreamer like me?