Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #361
Worry not, dear!
I know nobody here
Si kichwa wala mkia
Salamu zimekufikia
They all say that worry not but ukigeuza kichwa they ngonga you on ur behind....i have this one example right but i am not saying its you....this two girls were best friends right...one loves to cook and the other doesnt..so yule ambaye anapenda kupika alikuwa akipika anamuita rafiki yake na bf wake..so ikawa liek that kumbe demu analake jambo kichwani alikuwa anapanga sheria...anajidai anampenda rafiki yake kumbe anakula sahani moja..anamlia bwana wake...by the time anakuja kutahamaki rafiki mjamzito..na alikuwa anamwambia hivyohivyo ooh trust me on this siwezi kutoka na bwana wa rafiki yangu period,.....
And that means you don't trust your Cupcake. If so, you're putting your relationship on the balance.
Na sijui ni kwanini watu wanapenda ku-blame the other remote party badala ya the proximate one!!
And, in turn, I said this:i have this one example right but i am not saying its you....
Na sijui ni kwanini watu wanapenda ku-blame the other remote party badala ya the proximate one!!
sasa neemah ic wamenifungia kutuma PM una namba ya simu au ID ya skype tuongee......
And that means you don't trust your Cupcake. If so, you're putting your relationship on the balance.
Na sijui ni kwanini watu wanapenda ku-blame the other remote party badala ya the proximate one!!
sasa neemah ic wamenifungia kutuma PM una namba ya simu au ID ya skype tuongee......
Nipe hata location basi......tuonaneOh, I'm sorry, dear! I'm no longer using skype. Mmmh, namba ya simu!?
huwezi kuamini nmegundua neemah ni member mmoja hapa mtulivu,mnyenyekevu,ana busara,mpole,hana mapepe,hana makuu.......niaminikama kuandika PM unapatwa na kigugumizi je utaweza kuongea kwenye simu?..si ndiyo utakuwa bubu kabisa eeh...?
huwezi kuamini nmegundua neemah ni member mmoja hapa mtulivu,mnyenyekevu,ana busara,mpole,hana mapepe,hana makuu.......niamini
I didn't say i don't trust my cupcake!...i was just giving an exmple wa wanawake wanaosema ooh trust me siwezi kutoka na bf wa rafiki yangu blah blah blah!...which i know for sure ukimtongozza cupcake unapotez amuda wako atakutoa baruti and we don't have secrets....we are so open...
Oya, hebu acha kumfatafata Nee... nitakukoa makonzi ukiendelea...
Mie wewe kelly nakuangalia tu humu.....
As one of utamu victims.....ujue sikuangalii hivi hivi...
Ngedere wewe....once proved wewe ndie huyo mmiliki wa zeutam,ujue nakupandia ndege..nikutahiri..nyau we!
hihihihihihi mkuu kumbe unakula chabo........nataka kuwasiliana nae tu mambo ya kawaida tu......alafu si unajua mie joka la kibisa.....Oya, hebu acha kumfatafata Nee... nitakukoa makonzi ukiendelea...
hihihihihihi mkuu kumbe unakula chabo........nataka kuwasiliana nae tu mambo ya kawaida tu......alafu si unajua mie joka la kibisa.....
Oya, hebu acha kumfatafata Nee... nitakukoa makonzi ukiendelea...
Babu vipi umeshikwa na wivu? alafu naona nyie akina ngosha mna wivu wa haraka haraka vipi hamjiamini au?-IMHO
Oya, hebu acha kumfatafata Nee... nitakukoa makonzi ukiendelea...