Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
- #361
Worry not, dear!
I know nobody here
Si kichwa wala mkia
Salamu zimekufikia
They all say that worry not but ukigeuza kichwa they ngonga you on ur behind....i have this one example right but i am not saying its you....this two girls were best friends right...one loves to cook and the other doesnt..so yule ambaye anapenda kupika alikuwa akipika anamuita rafiki yake na bf wake..so ikawa liek that kumbe demu analake jambo kichwani alikuwa anapanga sheria...anajidai anampenda rafiki yake kumbe anakula sahani moja..anamlia bwana wake...by the time anakuja kutahamaki rafiki mjamzito..na alikuwa anamwambia hivyohivyo ooh trust me on this siwezi kutoka na bwana wa rafiki yangu period,.....