Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya some meditation, and visualized you as mtu unayejipenda sana, kiasi cha wale majirani/marafiki zako kuhisi kuwa unaringa.
Haahaaahaaa! You gotta read me properly, dear.
Mm nimeipenda signature yako, dear. Are you a day dreamer like me?
well Neemah should i call you Nee?
....i doubt if that is some kind of imagination or visualization...hahaha maana that is typical discription you know....
Penny i meant your height is around 5"4 feet and your skin s caramel complexion..something like that....
Who can be your match?...mmh let me see! i think my friend Balantanda can be a good match he is same way too ni mkimya sana he doesnt talk that much unless unahitaji mtu wa kuku-keep alive liek YO YO... OR YE!...mhh lakini YE ALISEMA YEYE ANA MKE so too bad YE!...
Be my guest! But you, and only you! Wasije waka-distort the meaning.
Just take the right one for you.
Kelly,nimekusoma mwanawane..mambo ya kupigiana pande sio,imetulia hiyo na nimeipeda...lol...Kwa mtaji huu lazima wasukuma tutoke mwaka huu(nami pia ni shemeji yako)
hahahahahah Balantanda uwiii!...see i am looking out for my shemeji's wa kisukuma kwa mabinti wazuri na wataratibu you know...Yeah Penny katuliya sana ndugu yangu ndiyo maana nikaona she could be the right fit....so what do you say?....lest make it rainy!
go on

Be my guest!
Heheheheheee...I've heard this phrase before.....from waay back when....ahahahahahaaa
You two seems mnajuana uh!....kama alivyosema YNIM kuwa i need to watch my territory....maana all of the suddenly leo naitwa aisee instead of cupcake mmmh!!????okkkkkkkkay
naaaah...no worries Cupcake....you got me wrapped around that beautiful pinky finger of yours.....
btw, nilikuwa na browse browse website ya Tiffany's leo....wink wink
hahaah you are enticing me now...you know how much i love that green/blue bag frm tiffany cupcake...
Cupcake...Tiffany's wanauza more than bags
You two seems mnajuana uh!....kama alivyosema YNIM kuwa i need to watch my territory....maana all of the suddenly leo naitwa aisee instead of cupcake mmmh!!????okkkkkkkkay
Worry not, dear!
I know nobody here
Si kichwa wala mkia
Salamu zimekufikia
I am good katika kufanya imagination:
Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)
Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.
Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyoa ndevu zake na kuacha sharubu.
Very smart man