Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Santeeee4th of Nzi Chuma
Naomba niwarudishe nyuma kidogo..
Wakati niko form 2 nilijitahidi kuanza mapenzi lakini yalinikataa. Mtu aliyeonesha kunipenda baadae ni kama alinigeuka hivi, nikaona solution ni kuconcentrate kwenye masomo na kuachana kabisa na habari hizi. Kweli nilimudu hadi nilipofika form 4 ndipo likaja jaribio jengine la mapenzi ambalo hili nilishindwa kuchomoka. Wakati tupo form 4 tulipewa nyumba na Mzee mmoja ambaye alikuwa baba wa rafiki yetu tuliyesoma nae (RIP mzee Chalamila) huyu mzee alikuwa na moyo wa kipekee saana, aliamua kutoa moja ya nyumba zake ambazo zilikuwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi na kutupatia tusome mwaka mzima ili tutafute matokeo kwa heshima tu ya kusoma na mwanawe.. Licha ya kuwa jamaa mwenye baba yake wala hakuwa na muda huo, lakini sisi wengne ambao tulikuwa watu 7 tulifaidika sana na ofa ile. Kwahy tukahama majumbani kwetu na hapo ndipo yakawa makazi yetu, kazi ikiwa moja tu baada ya kurudi shule ni kupumzika na kusoma, kupika na kusoma tena.. Mzee alikuwa akija kututembelea kila weekend na kutuletea unga na dagaa..alitujali na kututia moyo sana, hii ilituongezea sana nguv na kujicommit wenyew kusoma kwa do or die na kweli Mungu alifanikisha sote tulifaulu kuendelea advance. Wakati tupo pale, mtoto mmoja wa yule mzee ambaye sisi alikuwa kama kaka yetu (maana ni kaka wa huyo rafiki yetu), alikuwa anakuja mara kwa mara nae kututembelea. Yy alikuwa hana shida na chochote zaid ya akija pale anapuliza bangi yake hapo nje barazani na kama ana demu basi alikuja nae humo katika moja ya vile vyumba anamkaza kisha anasepa. Kwetu sisi alikuwa 'mwana' tu, hatukua na shida naye, tulimuona mtu poa sana tu. Siku moja hyu mwana alikuja na demu ambaye alikuwa ameongozana na mdogo wake, wakakaa wakapiga story halaf baadae jamaa akaniita pembeni akaninong'oneza "oyaa nimekuletea demu leo, kazi kwako.. Njoo tuwasindikize", mimi sikubishana. Nikatoka nao tukiwa tumeongozana, sisi tukiwa mbele wao nyuma, huyu dada aliitwa Tatu, alikuwa mweupe mref kdg, ana macho makubwa na lips za kuita, lakini alikuwa modo sana. Hivyo ndo nilivyoweza kuviona kwake kwa sababu alikuwa amevalia baibui...nikapiga nae story mbili tatu wakati tunawasindikiza, nikajua kuwa anasoma shule ya jirani, yy alikuwa fom 3 wakati huu.. Nilimweleza kuhusu pale tulipo, akavutiwa sana na kuahidi kuwa atakua anakuja kupatapata materials na kusoma na kaka zake kadri atakavyokuwa amepata muda. Yeye hakuwa na simu alitumia ya yule dadaaake, na pale ndani wakat huo kulikua na msela mmoja tu aliyekuwa na simu, namba yake ndo tulikuwa tunaitumia sote.. (Mimi nilipata simu baada ya kumaliza fom4). Nikampa namba ya msela ili kama atakua anakuja bas awe anatoa taarifa huko. Zikapita siku mbili hatimaye akatoa taarifa za kuja kusoma akasema ana shida kdg katk Chemistry anahtaji msaada. Akaja na nikamsaidia vzr tu na baadae nkamsindikiza, wakt namsindikiza nikatupia mistar ya kutaka awe mwandani wake, nimevutiwa sana na akili yake na nimeona kama anaweza kuwa hazina nzur ya kuwa mke hapo baadae.. Akanambia atanijibu..
Baada ya muda ukawa ni utaratibu wake kuja pale kusoma na kuondoka. Mpaka hapo tulipofungua ukurasa mpya wa mapenzi ndipo alikuwa akija pale kwa mambo yte mawili, kusoma na kuliwazwa. Nikaanza kumchombeza nianze kula tunda kimasihara lakini ni kama vile hakuwa tayar hvii.. Lakn kadri alivyonizoea, akawa anaonekana kueleweka, hadi siku moja ambapo nilimkaribisha chumbani na akaingia. Nikaona fursa nzr leo ya kula tunda, nikashka shika kiuno wakat tumekaa kitandani pale mara matiti kdg mara napapasa mapaja ili mradi hakuwa akibishana sana lakini hakuwa comfortable.. Baadae nilikuja kugundua kuwa wasela mle ndani walikuwa wanahangaika sana kutupiga chabo.. Pale juu ya mlango bado palikuwa hapajazibwa, palikuwa na ule uwazi unaoachwa katik vyumba hasa vya ndani katika mlango.. Jamaa walikuwa wanaweka viti na kupanda ili watufaidi, yule demu nadhani alishtukia mapema lakn hakusema chochote. Baada ya mm kugundua basi nikaahirisha zoezi na kutoka nae..kilichofuata baada ya hapo ni Tatu kuja kusoma tu na si mengine, tulikubaliana kuwa tutafute muda na sehemu sahihi ya kufanya jambo hilo.. Ingawa shinikizo kubwa lilikuwa kwangu, Tatu yy siku zote alikuwa akiniambia kuwa si muda sahihi kufanya jambo hilo na amekua akiniusia kabisa kuwa sisi kama waislam hatutakiwi kufanya jambo hilo. Mimi nilimuuliza kama ashawahi kufanya hilo jambo or not, jibu lake alisema kuwa tayari amekwishafanya lakini kwa sasa hatamani tena kufanya jambo hilo.. Nikimuuliza kwani huyo uliyefanya nae ana nn na mm nina nn mpka uninyime? Anajibu kuwa nakuona ni mtu sahihi kwangu na kama una malengo sahihi nadhani utasubiri tu. Mimi siku zote niliendelea kumshawishi anipe mzigo hadi siku ya Jumamos moja ambayo Jumatatu yake ilikuwa ndo tarehe ya kuanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne.. Tatu alinitafta na kunambia leo ndo siku ambyo nataka tukafanye lile jambo, akiamini kabisa kwa jinsi ninavyopenda masomo na nilivyokuwa na hasira ya kufaulu mitihani ile, nisingekubali.. Lakini alikuwa wrong, nilikuwa nimejiandaa vya kutosha sana, wala sikuogopa mitihani ya taifa. Tukaenda gest moja pale mjini nikashinda na Tatu kuanzia saa 4 asubh hadi saa 10 jioni, nikapiga mzigo licha ya kuwa nilipata tabu kdg, Tatu alionekana hajatumika siku nyingi na pia hajafanya sana hii michezo, huu ndo ukawa mwanzo mpya na Tatu. Nilivyorudi kule geto jamaa zangu walinilaumu sana hiyo siku maana nlipotea bila taarifa yoyte na walikuwa wananitegemea sana kwenye zile discussion za mwisho mwisho. Jamaa nikawaeleza ukweli wa mambo wakasema hawajawahi kuona mtu mwenye roho ngumu kama mimi, yaani wao wanawaza mitihani itakuaje mimi nimeenda kugegeda mtu?!! Ila hawakuwa na wasiwasi na mm kwa sababu walikijua vzr kichwa changu.
Baada ya kumaliza mitihani sasa . ndipo tulipofungulia vzr penzi na Tatu, nikawa napiga nyapu nadhani ni kila baada ya siku mbili au moja. Ila kitu kilichonishangaza kuhusu Tatu ni jinsi alivyokuwa anavimba nyapu kila baada ya tendo, yaani akitoka pale huwa anashindwa hata kukojoa, nyapu inavimba kuanzia nje hadi ndani. Kwahy sometimes tululazmka kusubr mpka siku tatu ndo akae sawa tufanye tena.. Kwakweli sikuwahi kujua hiki ni kitu gani na sijajua mpaka leo hii wakati naandika hii makala (Tatu kama unasoma hapa unisamehe kwa kueleza siri hii). Mahusiano na Tatu yalianza kunoga kiasi ambacho baada ya muda mchache sana nilijikuta niko deep kabisa in love. Nilikuwa nampenda sana Tatu kuliko kawaida, na yy alionesha kunipenda zaidi ya ninavyompenda mimi. Tatu alikuwa fundi wa mapishi, so mara zingine nilimualika nyumbani kwa dadaangu mmoja ambaye alikuwa best yangu sana, anaachiwa jiko na kukitoa chakula tunachotaka. Kwenye hizi bites ndo alikuwa na balaa zito sana alijua hasa kuzitoa. Kwahy kwa kipindi hiki chote cha likizo ndefu ya kusubr matokeo na kupangiwa shule (October to April) nilikuwa nikila gud time na Tatu. Baba alinishirikisha katika biashara zake ili nisikae idle, so ikawa inaniwezesha mimi kupata pesa kdg za kutanua na Tatu. Alipata vizawadi viwili vitatu na vipesa vidogi vidogo vya kiuanafunzi ambavyo vilimtosha sana tu. Nilinogewa na Tatu mpaka nikaamua sasa kumpeleka nyumbn walau na mama nae akamuone, kitu ambacho mzee wng alimind sana ila huwa hana kawaida ya kukuaibisha mbele za watu. Alisubr Tatu aondoke akaniita pembeni na kunieleza jinsi alivyochukizwa na ujio wa Tatu pale nyumbani, akanieleza pia kuhusu anavyotegemea na alivyo na imani kubwa juu yangu katika masomo. Kwakweli mzee aliniambia vtu vingi sana kuhusu masuala ya mahusiano na masomo na hasara ya kukosea sehemu katika maisha kunavyocost. Nilimuelewa sana mzee na nikamuahidi kutorudia hilo jambo na nitawekeza nguvu katika masomo na masuala ya mapenzi kwakweli kabisa hayataniyumbisha (tuseme RIP kwa mzee wng ambaye alifariki mwaka juzi Novemba 2018). Ni kweli mzee aliongea maneno ya busara sana lakini mimi nilijitahd kwenda kwa tahadhari na nilijitahd pia Tatu hafiki tena pale home, lakini mapenz na Tatu yalikuwa hayaachiki. Ile siku Tatu alipokuja nyumbani mama yangu alivutiwa sana na tabia zake (nadhani wamama wana vtu vingi wanavyoangalia). Kwhy mara nyingi mama aliomba nimkutanishe na Tatu sehemu tofaut tofaut.. Tatu sasa akawa amezoeleka kwa watu wengi wakiwemo dada zangu, brothers na mama pia..muda wote huu nilikuwa napiga mzigo bila kinga wala kitu gani na Tatu alikuwa wala hanasi mimba, mpaka akafikia hatua akageneralize kuwa kizazi chake kina shida, kwahy sisi tukawa tunajiachia tu...Hatimaye majibu yalitoka na baadae nikapangiwa shule Kilimanjaro..
Sasa turudi pale mwanzo ambapo baada ya kwenda Moro nilirudi kuendelea kufundisha ile part time kama kawaida wakati huu Tatu alikuwa ameshaanza masomo yake ya Diploma ya Electrical Engineering pale ATC Arusha, yy alipomaliza form 4 alipangiwa moja kwa moja chuo cha ufundi. Bado tuliendelea kuwasiliana na bado tulikuwa wapenzi, ingawa hii kukaa mbalimbali ilichangia kdg mimi kupunguza uaminifu kwake lakini yeye aliamini mimi ndo mume wake sahihi.. Wakati flani mimi nikiendelea kufundisha pale, Tatu alipata kilikizo cha wiki moja kule chuoni, akaja na kama kawaida yetu tukapata kugegedana mara tatu katika ile wiki. Baadae Tatu alirudi chuoni Arusha, ni kama vile penzi letu lilikuwa limefufuka upya hivi..mawasiliano ya calls na msgs yaliimarika sana..ingawa bado niliendelea kuwasiliana pia kwa ukaribu na Sophy pamoja na Nai.. Wiki mbili baada ya Tatu kuondoka pale ndipo aliponipa habari ambayo sikupenda kuisikia, aliniambia kuwa amejihisi tofaut katika mwili wake, na wazo la kwanza alilopata ni kupima mimba na amejikuta positive.. That means ana mimba yangu....
Wakuu kumekucha... Sasa acha tukapmbane, hii story haichelewi, nikipata muda mimi nashusha mpaka tuimalize......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app