Monda kubwa
Senior Member
- Jun 20, 2019
- 121
- 155
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KigaKoyo kwa hii story yako andika kitabu, mimi nita design cover bureee
Nimeambatanisha hapa sample yakeView attachment 1390069
Aisee umeishi mbinguni ukiwa duniani. Hongera sana kakathe continuing story of how I met my wife
.......The end of the beginning........
Familia yetu na ile ya Nasra na Mussa ziliendelea kuwa karibu. Hasa ukaribu wa Nora na Nasra. Nasra alifanikiwa kujifungua watoto mapacha, boy and a girl. Wakati wanazaliwa sikuhisi kitu, bt tulivorudi home Nora ndo akanambia, “wale watoto ni wako bro”. sikuamini. But baada ya miezi sita, ndo nikaona kabisa hawa wangu hawa. Ila ndo ntafanyaje. Nlijua kabisa Nasra amelitambua hilo bt sio sisi wala yeye aliyelizungumzia. Kwa upande wa Mussa sijui alijua akaamua kuuchuna, au hakua ametambua bado.
Watoto wakiwa na miezi saba tu, tukapata taarifa Mussa amepata ajali ya gari. And after two days he passed away. Baada ya maziko, Nasra akarudi kwao magomeni, but hali ya kifedha ya wazazi haikua nzuri sana, so Nora akawa anajitahidi kumpa tafu rafiki yake ila yale mazingira hayakua condusive kwa watoto. Nora ndo alisuggest, akanambia wale watoto itabidi tufanye namna tuwachukue.
Sijui Nora alimshawishi vipi Nasra, akakubali akahamia pale kwangu. Mwanzo akawa ananionea sana aibu, hata sikujua sababu. But kadri miezi ilivyoenda ndo alizidi kunizoea kama shemeji sasa. Kule Arusha biashara home zilikua zinayumba balaa. Nikamwambia sis, Nora aingie kwenye management. So baada ya chuo tu kuisha, Nora akawa muda mwingi yupo Arusha. Dsm tukawa tunabaki na Nasra. Akiwa Arusha Nora akawa ananiambia, ukijisikia kula we mle, I know anakupenda, na najua wanaume utakua unamtamani ila unaogopa hahahha. Nikawa kwa kweli sina mpango.
Nakumbuka ilichukua few months Nora kubadilisha hali ya kampuni, hadi akafungua tawi lingine hapa Dar, ili kurahisisha export processes. So Nasra akapewa job kwenye ofisi ya dar. Everyone was happy. Nora oneday akaniuliza kama nshakula, nikajibu hapana, akanambia tu shauri yako, mzigo utaanza kuliwa na majirani then watoto wako wapate baba mpya….. Nora alikua serious, sijua aliongea nini na Nasra, but one day Nora akiwa hayupo, nikashangaa kuanza kuona mabadiliko ya kimavazi akiwa mle ndani. Sometimes sketi fupi, sometimes bukta dah, na ile shepu nikajua tu hapa nakaribishwa. Kama utani tu siku moja tumekutana kwenye korido, nikamshika mkono nikaanza kumuongoza room kwake, naona anakuja tu hata hapingi.
Nora yeye alinipenda sana tu. But alikua na ule userious flani hivi na misimamo ile ya kama umekosea atakuchana live, so ule ‘u-kike’ hakua nao sana. Nasra yeye ni kama amefundwa namna ya kumhandle mwanaume. She made sure nimekula vizuri, nimeoga, nimenukia na alikua na ule upole wa kike, yaani hata kama hajakosea atakuomba msamaha. Cha muhim Zaidi alimheshim sana Nora, akiwepo hajishughurishi kabisa na mimi. Na niliona ubest wao ndo unazidi. Nasra akawa ananipush sasa nioe ili niwe kwenye ndoa. Nikamwambia, nikioa si ataninyima, “Mama Tafa mwenyewe keshaidhinisha, mimi sina mpango wa kuolewa tena wala kuongeza mtoto, as long as im with the man I love nimeridhika kuwa nilivyo”
Kweli tulifunga ndoa, tukahamia mitaa ya tegeta nyumba kubwa Zaidi. Now miaka minne since nimemuoa Nora. Kama unajiuliza Nora alikua serious kuruhusu kushare na Nasra, jibu ni ndiyo. Sio mara moja ashanisurprise kwa threesome. Sometimes hotel room najua yuko alone, nawakuta wote wako ready kuliwa. Sometimes naangalia football sitting room nikienda kulala nawakuta wote bed, Tunapiga mechi ya mtu tatu kiroho safi.
Kwa sasa game za Nasra zimepungua kiasi maana alihamia Arusha, na Nora akaja Dar. Kids wote wako na Nasra Arusha, we are planning kuongeza mtoto mwingine na Nora. And by the way, watoto wa Nasra wakiwa wadogo kabisa tuliwabadilishia kabisa na vyeti vya kuzaliwa, ndugu wa Mussa ilibidi waambiwe ukweli kuwa damu sio yao.
So ladies and gentlemen, that's a story of how i met my dear wife Nora.View attachment 1388509
Sent using Jamii Forums mobile app
cover nzuri sana, hapa lzm apige hela na watu wapate utamuKigaKoyo kwa hii story yako andika kitabu, mimi nita design cover bureee
Nimeambatanisha hapa sample yakeView attachment 1390069
So unapata vipi chance ya kula wale mabinti kutoka kijijini wanaokuja kuanza shule na vyuo mjini asee?Thanks bro. Ingawa ukumbuke stori imekua diluted kiasi, ili kutoweka kila kitu. So sio kuwa kila kitu ni kama kilivyotokea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari?
KigaKoyo kwa hii story yako andika kitabu, mimi nita design cover bureee
Nimeambatanisha hapa sample yakeView attachment 1390069
Nilihisi mke atakuwa nasra..ila Nora anamoyo wa kipekee kushare..uwii
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mpaka nimetamani isiishe bwana!
Ila hao wanawake kweli umebahatika aise... Haswa Nora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe noma.Hahaha mpaka sometimes huwa nahisi mke wangu ni heterosexual. Maana ikitokea tupo wote watatu inakua kama tunampiga mande Nasra hahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, honestly nilihisi hili eneo la 3some umeamua kuchombeza tu!...... hv ni kweli huwa mnafanya? duh wife wako ana balaa sana!Hahaha mpaka sometimes huwa nahisi mke wangu ni heterosexual. Maana ikitokea tupo wote watatu inakua kama tunampiga mande Nasra hahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama dini inaruhusu oa wote.....[emoji23]Thanks Valentina. Kwa kweli, though tumpunguzie Nasra dozi ili apate mtu mwingine. She is still young.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heh! Ila Nora anabalaa aiseeHahaha mpaka sometimes huwa nahisi mke wangu ni heterosexual. Maana ikitokea tupo wote watatu inakua kama tunampiga mande Nasra hahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na haujawahi hata kutamani kumuoa nasra? Ingawa nahisi kwa Nora hupindui broThanks Valentina. Kwa kweli, though tumpunguzie Nasra dozi ili apate mtu mwingine. She is still young.
Sent using Jamii Forums mobile app