How I Met My Wife

Santeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5th of Nzi Chuma

Nitajaribu kuskip baadhi ya vitu kwa sababu nisipofanya hivyo itatuchosha... Ni ndefu saanaa.

******beginning of new life*******.


Ofcourse ni mwanzo wa maisha mapya, habari ya Tatu kuwa na mimba ni katika habari mbaya zaidi ambazo nilikutana nazo kipindi kile. Ni kipindi ambacho Tatu alishaamini kuwa yeye hashiki mimba kirahisi, lakini this time ikawa tofauti,Alinasa. May be Tatu alikuwa akijiamini kwa sababu mzunguko wake wa menstruation ulikuwa ule mfupi kabisa wa siku 21 na alibleed kwa siku mbili tu. Sote tukahisi ni ngumu sana kuipata siku yake ya hatar na kwakuwa tulishafanya mara nyingi sana huko nyuma bila yeye kushika mimba, tukaona ndo alivyo, ni normal. Sasa hapa Tatu akaanza kusumbua na simu nyingi akidai kuwa anahitaji kujua hatma yake!! Mimi ndio nasubiri nipangiwe chuo nikasome, kiufupi ndo kwanzaaa kunakucha, siwezi kuwa na future yoyote kusema ukweli. Huu kwangu ulikua mzigo mzito sana kuubeba.. Ila nilimpa moyo nikimwambia everythng will be ok, lakini Tatu hakuwa na amani...mwisho nikamsikiliza yeye anataka vipi, Tatu akaniambia "kwakuwa mimi tayar nafahamika hadi kwa mamaako sio vibaya tukamueleza yeye kisha nikawajuza nyumbani, na kwa jinsi ninavyomjua baba ni lazima atanifukuza, so akinifukuza nitahamia kwenu mimi namuona mama yako hana shida ataishi na mimi vizuri tu". Huu ushauri haukuwa mbaya na nilimueleza Tatu kuwa ushauri wako sio mbaya, lakini changamoto kubwa ni kwa mzee wangu, hatokubali hilo jambo litokee asilani abadani..Discussion ilikuwa kali, Tatu akitaka abaki na mimba mimi nikitaka itoke, ilituchukua karibu wiki nzima mpaka siku Tatu aliponiuliza " kwahy sasa tunafanyaje?" nikamjibu hili tulimalize wenyew tu...tutafute namna nzuri ya kuiflash hiyo mimba bado changa sana naamini haitatusumbua...tukapanga namna nzuri ya kuitoa..akaniambia kule Arusha yupo mama ambaye huwa anafanya hiyo kazi ngoja akamuone.. Kweli alienda kumuona huyo mama na akataka 90k kufanya hiyo kazi..kumbuka nilikuwa nalipwa 150k na kipindi hiki nilikuwa naishi home lakini matumizi yangu yalikuwa makubwa kidg, sikuwa na uwezo wa kutoa 90k, nikamwambia aachane na huyo mama halafu asubr siku mbili mimi nitamjuza kitu.. Lakn siku mbili kwa Tatu zilikuwa nyingi sanaa... Aliona kama namyeyusha hivi..siku hiyohyo jioni akanipigia simu na kuniambia yupo mtu huko Tanga anafanya hiyo kazi kwa 20k, na nauli ya Arusha kpnd hiki ilikuwa just 12k, so usafiri go n return 24k na 20k ya mtoaji na gest ya 5k ukipata na msosi 5k jumla 54k, sio mbaya ukizingatia mama pale chuga alitaka 90k.. Nikamtumia Tatu 40k niliyokuwa nayo kwa siku ile, kesho yake akafunga safari na kuja Tanga... Alikamilisha zoezi lake na usiku kama saa 3 hivi akanitafta akiniambia yupo ile gest ambayo tumekua tunakutania mara kwa mara nije nimsaidie kitu.. Kuna rafk yng wa karibu akanitisha saana akijarb kuniambia jambo la kutoa mimba ni hatar mno na mara nyingi watu hupoteza maisha,so kama nikienda na akapoteza maisha nijue kuwa mimi ndo shahidi namba moja..nikahisi kama kumuelewa mshikaji hivi, nikakausha kwanza sikwenda.. Lkn Tatu aliendelea kupiga simu na kuomba sana niende, mpaka nilipoamua sipokei ndipo aliponiandikia msg moja ambayo ilininyanyua pale nilipokuwa na kukimbilia kule gest.. Najaribu kukumbuka keywords za ile msg ni kama aliandika "Nzi Chuma, tulistarehe sana pamoja mimi na wewe hili lililotokea hata mm sijalitarajia, huu ndio muda ninaohitaji faraja yako zaid kuliko kipindi chochte katika maisha yng, ukiniacha nikateseka usiku huu peke yangu utakua umenifanyia ukatili wa hali ya juu sana"..ubinadamu ulinivaa na kusogea pale gest. Alikuwa ana chupa ya maji ya moto ambayo aliniambia nichukue na kumkanda, nadhani mimba ilitolewa kwa njia ya kuingiza mikono huko ndani. Tatu alitia huruma sana, alilala katika kifua changu usiku mzma nikijaribu kumliwaza na kumtia moyo kuwa mimi ndio mume wake haswaa..na hakika nitamuoa. Asubuhi kulipokucha Tatu hakuwa na nguvu bado ya kutembea, hakuweza kusafiri kabisa.. Nikapata wazo la kwenda naye nyumbani kwa sababu baba yang alikuwa amesafir kipindi hiki.. Nilienda nae ili kupunguza gharama za chakula na malazi kwa sababu hela yenyew ilikuwa ya kuungaunga.. Alikaa home siku mbili kisha mama naye akamjaza noti zimsaidie..mama nilimueleza kabisa hali halisi kuwa huyu ametoa mimba kutokana na mazingra yake kutoruhusu kuzaa kwa sasa.. Mama alikuwa anampenda saaaba Tatu saaana..na kila siku alinisisitiza kuwa yule ndio mwanamke wa maisha yng.. Nilitakiwa kumuoa Tatu. Tatu alirudi Arusha na mawasiliano yetu yaliendelea..
Wakati tunaendelea kufundisha pale na jamaa yngu mmoja baadae tulizoeleka na wanfunz weng wakatuomba tufanye tuition nje ya muda wa shule na siku za weekend, wazo ambalo tulilifanyia kazi tulianza kwa kusuasua lakn baadae palikubali sanaa mpka tukawa tunatengeneza zaidi ya 50k kwa siku...hii ilitusaidia kidg kufanya maandalizi ya kuingia chuoni..mimi na huyu jamaa yng tulipangiwa chuo kimoja pale Moro, mimi niliomba vyuo vingi sana pale Moro maksud kabisa nikiamini ndio fursa adhim ya kwenda kuonana na Nai pamoja na Sophy kwa ukaribu zaidi...siku moja wakti tunaaga wale wanafunz wetu pale tuit kuwa leo ndo mwisho wa tuition walisiiitika sana, lakini kuna mwanafnz mmoja ambaye siku zte alikuwa ananiumiza roho, huyu mtt alikuwa na tako sio la kawaida, yaani shepu yake ilivyoendana na size ya urefu wake ilikuwa balaa.. Na hili zigo alilofungasha kwa kweli ndo lilinichanganya zaidi..nilimwita pembeni siku hyo na kumuomba namba, akanambia nimpe namba yangu atanitafta.. Nikajua ndo style za kukataliwa hizi ila nikampa na tukaagana..

Sasa hapa ndo tutapata upande wa Moro, mwanzo wa maisha mapya ya Moro ambapo nilikuwa karibu zaidi na Sophy na Nai, acha niendelee na kazi, nikipata upenyo mwengine nitaiendeleza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu tunasubiri mwendelezo👏👏👏👏👏👏
 
Ooooh pole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo urudi na ugwadu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unalisongesha kinoma noma. Salute kwako boss.
 
Story iko tamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba wewe sio dk Mwaka kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mimba lazima mbuzi kwenye gunia, ngoja niendelee kusoma!
 
6th of Nzi Chuma

Baada tu ya kuripoti chuo Morogoro, mtu wa kwanza kumtafuta alikwa Sophy nilitaka kimsurprise kwa kumwambia nimepangiwa chuo Moro tukishaonana. Kweli niliwasiliana nae na kumwambia niko Moro akataka kujua naondoka lini nikamwambia nipo nipo.. Basi akasema atakuja weekend.. Wakati huu nilikuwa nimeshapata chumba katika hostel za chuo, nikajiandaa weekend na kwenda kumpokea Sophy wakati huo nikiwa nazijua zaidi zile lodge za pale Msamvu kuliko sehemu nyingine..nikaongozana na Sophy mpaka lodge moja kati ya zile zilizoizunguka stend ya mabasi msamvu ilikua yapata saa 5 asubuhi.. Sophy akanambia tunaweza kulala wote kwa sababu nyumbani kwao ameaga kuwa anakwenda kwa rafiki yake na atalala huko, na alishapitia hapo kwa rafiki yake na kumueleza hali halisi kisha wakampigia mama yake simu kumjulisha kuwa amefika nyumbani salama, kwhy picha kwa upande wa mama na baba limeshamalizwa, kilichobaki ni mimi kujilia mzigo tu.. Sophy alikuwa na ule utundu wa Kiluguru, yaan mauno kama yote, amsha amsha zile za kukera majirani ndo zake..unaweza ukapiga mashine mpaka ukaishiwa nguvu.. Sophy anaendelea kukukatikia tu, na saa 8 usiku ni lazma akuamshe akidai anataka kukazwa. Kama ilivyo kawaida yangu jambo kubwa zaidi linalonicost ni kutokutaka hata kuisikia hiyo inayoitwa Condom, na sina kumbukumbu kama nlishawahi kuitumia. Mechi nyingi sana niliuza... Huu ukawa utaratibu wangu na Sophy wa kuja mjini kila weekend na kwenda kumkaza..tulifanya hivi kwa wiki nne mfululizo..siku moja Sophy alinipgia simu akiwa kama amefazaika kidogo na kunambia "nahisi nina mimba". Lawama jingine likaja kichwani mwangu, nikaanza kujutia michezo yangu na Sophy na kuona imeshaanza sasa kuniletea majuto. Sophy aliniambia lakini anahitaji kupima na kucomfirm kama ana mimba kweli au Laa kisha atanipanga.. Uzuri wa Sophy alikuwa mjanja mjanja saaanaa..kipindi hiki tulikuwa hatuonani kabisa na Sophy na pia simu yake ilikuwa haipatikani. Siku moja akanitafta na kunieleza kuwa alibidi alipima na kweli alikuwa na mimba akaamua kumueleza mama yake ambaye alishauri kutokana na babaake alivyo asimwambie chochote. Lakini haikuchukua muda mref baba yake alijua kwani alikuwa ndo ameshastaafu kipindi hicho kwahy muda mwingi alikuwa akishinda nyumbani. Baada ya mzee kujua concern yake kubwa ilikuwa ni kumjua mhusika yuko wapi ili Sophy aende akaishi huko.. Sophy akaendelea kunisimulia kuwa baada ya hali ya baba yake kuonyesha hana nia nzuri na mtia mimba kwa sbabu kipindi hiki Sophy alishalipiwa ada ya mwaka mzima ya kwenda kusomea chuo flan maswala ya Administration kwa ngazi ya certificate then aunganishe diploma (na pesa zenyewe za mstaafu), ilibidi Sophy ashirikiane na mamaake kumficha dingi asije akapata location yang na kuniharibia pale chuo wakati wao walitegemea nitakuja kuwa baba bora wa mtoto hapo baadae...Sophy akabidi ahamishiwe Ifakara babaake alikataa kabisa kumuona Sophy pale nyumbani, kwahy kwa wakati huo wakati anawasiliana na mimi alikuwa yupo Ifakara kwa mama yake mdogo... Nilimwelewa Sophy, japo kwa ujanja ujanja wake alionao nilitia doubt kidogo..wakati aliponitafta mara hii alitumia namba tofaut akidai ni ya huyo mama yake mdogo, nikaisave manaake ya kwake ilikuwa haipatikani kabisa.. Kwahy nlikuwa nikitaka kujua hali yake nawasiliana na mamaake mdogo ambaye alimpatia simu na kuongea nae. Ikapita mwezi mmoja ndipo hapo Sophy aliponipigia simu na kuniambia kuwa mimba ameitoa. Nilihisi kuchanganyikiwa, kwann aitoe mimba yangu jamani?? Hakunipa majibu ya kuridhisha sana kwahy nikaamua kuachana nae mazima. Na huu ndo ukawa mwisho wa kuwasiliana na Sophy, sikumtafta kwa namba yyte kati ya ile yake au ya mamaake mdogo...
Turudi sasa kwa Nai, ingawa tusichoke pale tutakaporudi kwa Sophy kwa sbabu alikuja kunitafta tena baadae...
Wakati Sophy akiwa anakuja kila weekend kusuuzwa na rungu, sio kuwa mawasiliano yangu na Nai yalikata, hapana... Nai niliendelea kuwasiliana nae kama kawa japo sikumpa attention kubwa sana kwa sababu nilishapima upepo na kuona kupata uchi kwa Nai sio jambo la kitoto.. Licha ya kuwa geti kali, lakini Nai pia alijitambua sana tofaut na Sophy, nadhani mazingra ya malezi yake ndo yalichangia..Kwahy baada ya kukata mawasiliano na Sophy ndipo nikaanza kumpa attention kubwa sana Nai, nikaanza kumshawishi nimpakue.. Haikuwa kazi ngumu sana kama nilivyotarajia kwani ndani ya mwezi mmoja nilikuwa nimeshamueka sawa.. Nikaanza nae kwa kumpeleka sehemu tofaut tofaut za starehe pale Moro.. Wakt huu Nai alikuwa akisoma course za Computer kwenye chuo flan pale mjini.. Kwahy tulitumia muda wake huo kufanya yetu.. Nikiri wazi kuwa nilikosa lectures nyingi sana kwa ajili ya kufanikisha jambo la Nai.. Siku moja nikamwambia leo nahitaji faragha yako, nijifungie ndani mm na ww tufanye yetu.. Ndipo alipofunguka na kuniambia kuwa yy hajawahi kufanya hicho kitu tangu azaliwe that means she's virgin.. Nikasema sasa huyu ndo mke wa kuoa.. Kumbe pamoja na vigezo vyte alivyokuwa navyo, alikuwa na mapenzi ya kweli,mpole sana, hana tamaa..mwaminifu..ninaposema mwaminifu basi alikuwa mwaminifu kweli, yaani uaminifu wake ulipita kiwango.. Alishanishangaza mara kibao Nai, mfano mdogo ngja nikupe.. Nai anaweza kuja sehemu mkiwa mmeonana, baadae wakati unaondoka ukaamua labda umpe nauli ya bodaboda, lets make it 5,000 maybe.. Na kama safari yake ya boda boda itagharimu 1,500, ile change ya 3500 ataitumia kupanda bodaboda next time mkionana... Na hata umkazie vipi, atacheka tu na kukwambia acha kutumia pesa vibaya wewee...alikuwa ni wa kiwango hicho.. Nikiri wazi kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa kiwango chake katika maisha yangu..sasa changanya vigezo hivyo, halafu ongezea na ubikra wake ndo kabisaa...nikamwambia asijali mimi ndo mwanaume wa maisha yake, anikabidhi tu bikra yake nami nitamtunza na kumfanya awe mke hapo baadae.. Mapenzi Upofu.. Au waturuki wanakwambia KARA SEVDA..Nai alikubali na kupanga nae siku moja ya weekend nikaenda nae lodge moja pale msamvu. Aliingia akiwa muoga na mwenye aibu sana, lakini nilitake advantage kwa sababu sikutakiwa kumuonesha kuwa ni jambo zito, nikamvua nguo zake na kumbakisha na chupi ya rangi ya upendo..nami nikabaki na kiboxer changu na kuanza kwa kuyapapasa maziwa yake..Nai alikuwa na maziwa makubwa kiasi ya duara, wembamba wake ulitengeneza kishep flan hv kilichovutia, macho yake ndo yaliupamba hasa uzuri wake...nikatalii mwili mzima kabla ya kuivuta pichu chini na kuzama chumvini.. Naam.. Chumvini hakuna mjanja, Nai aliitikia miitikio ya kimahaba..sikumkawiza sana, nikampiga kifo cha mende nikigusisha kichwa chake pembeni kabisa ya kitanda kule maana nilijua lazima patakuwa na purukushani tu za hapa na pale..nikaweka mikono yangu yte miwili kwenye mapaja yake nikikandamiza vizuri.. Miguu yte ilikuwa ikiangalia juu..ndipo nkamsikia Nai akiuliza "sitoumia?".. Mm nikatabasamu nikamwambia " sio sana"... Akajibu "nasikia inauma sana" nikamwambia "akili za kuambiwa...changanya na zako".. Hii kitu bikra huwa haitaki mbwembwe nyingi, kama ukifanikiwa kumueka mtu mkao huu, basi ukiupeleka ww kandamiza moja kwa moja.. Hakuna kurudi nyumaa.. Ingawa KELELE ni lazima., ila kwa sababu ni mara moja tu haina shidaa....nikakandamiza paaa..Nai akapiga kelele " mamaaaaa" nikamziba mdomo, nikampumzisha. Nikaendelea kumfariji pale na baadae nikamzibua tena na tena, na huo ndo ukawa mwanzo mpya wa mimi na Nai..

Jamani nimechoka kuandika, acha nipige breki kdg hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…