How I Met My Wife

we jamaa ni muharibifu tu
 
Huyo dada anaroho mbaya n mnafiki to.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia unagegeda hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, story nzuri hii, Ila wanaume mna Mambo mengi jamani, mnapenda papuchi balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yako alikuambia ukweli ambao haukutaka kuopokea kwa sababu ulikuwa umeshatengeneza majibu yako kichwani.

Kwa stori yako ya kurudia kosa kwa kumpa mimba huyo binti zaidi ya mara moja, hii inamaanisha dada yako alikuwa sahihi. Hauwezi kusema kijana wa Chuo aliyempenda mpenzi wake ampitishe katika jaribu lile lile zaida ya mara mbili. ulizamilia kumpa mimba bwana Nzi.
 
Hili jambo lilikuwa two-sided, Nai alikuwa anazihitaji hizo mimba kuliko unavyofikiria.

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
 
Kipindi flani, tulihisi hiyo ndio solution ya sisi kuozeshwa..ila sote tulikuwa wrong!

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
 
Safi Sana mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…