How I Met My Wife

How I Met My Wife

Story hii ya nzi Chuma inanikumbusha jinsi mama zetu wanavyopata tabu sana kuwalea watoto wa kike, utawahurumia sana hadi machozi yanakutoka aisee, wanahangaika mnoo na kuumia sana moyoni.
Salute kwa wamama wote.

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
 
Asante mkuu kwa kushare nasi,Hongera kwa familia ya wake wawili unakula mema ya nchi.
11th of Nzi Chuma..

Nitaandika hii mpaka nifike mwisho..

Mwaka wa tatu wa chuo kwangu ulikuwa na ubusy kidogo, so sikuwa na time sana na mapenzi kiviile, muda mwingi nilikuwa chuo, nikirudi usiku sanaa geto nimechoka, naweka simu silent nalala. Nai alikuwa mwanamke mwelewa sana, hakusumbua, shida niliipata hapa kwa single mama, akiwa yupo pale usiku anapiga simu mpaka unajuta yaani..mpaka sometimes nikawa nazima simu..yeye muda wote anataka mapenzi tu!! Mwezi mmoja kabla ya UE huyu single mother nae akapata mimba yangu. Alifurahi sana, alinambia kumbe alihangaika muda mrefu sana kupata mimba nyingine, lakini mimi nimemuwezea. Kwangu sikuona shida, nilijua kwa sababu anafanya kazi na ametafuta mtoto kwa muda mrefu, atazaa tu na atalea.. Lakini haikuwa hivyo. Nilivyoondoka tu pale Moro baada ya kumaliza UE, wiki mbili tu nyuma akaniambia imeharibika, nikajua atakua ameshaitoa.

Niliendelea kuwasiliana na Nai na pia niliendelea kuhudumia mtoto kwa Sophy!. Sikukaa sana kitaa nikapata kazi katika mradi flani ambao walikuwa wanatulipa vizuri, hapo nikaamua kujitegemea rasmi na kuanza mipango ya kuanzisha family.. Moyoni mwangu aliishi Nai tu. Niliamini nitamuoa tu one day.. Baada ya kufanya kazi kwa miezi sita hapa jijini nikawa niko vizuri sana. Nikarudi home na kuwaeleza mikakati yangu juu ya kuanzisha familia, nikawaeleza kuhusu Nai na yote yaliyotokea. Vidume vikajitokeza kunisaidia, nikavipa map vikafika kuonana na wazazi wake Nai..naam mtu mzima dawa, hawakutoka patupu..nikapata mrejesho wa kulipa mahari, nikalipa na kumuoa Nai, mtu niliyempenda zaidi maishani mwangu..!!. Lakini Nai hakuwa na raha na ndoa yetu, alikuwa anajua kuwa hawezi kupata mtoto. Lakini mimi nilimpa moyo kwa kumwambia kuwa ni bora nimekuwa mimi ambaye ndio msababishaji wa yote haya ndiye niliyekuoa kuliko angekua mtu mwengine, angekunyanyasa sana.. Nilijitahidi kufanya kila niwezalo Nai awe na furaha katika ndoa, lakini sidhani kama nilifanikiwa kwa 100%.

Muda flani akaanza kunilazimisha nioe mwanamke mwengine ili nipate mtoto (hapa tulishakaa miaka miwili katika ndoa). Alihisi sina amani. Lakini mimi nilikomaa nae, kila daktari mtaalam wa Gynecology niliyemsikia nilionana nae, dawa nyingi zikitumika lakini bado hatukufanikiwa. Mwisho nikamweleza ukweli Nai kuhusu Sophy, akaniambia niwasiliane na Sophy ili Abdul aje hapa atufariji.. Nikawasiliana na Sophy, nikamueleza mpango wangu, hapo ndipo Sophy aliponibadilikia na kunieleza kuwa yule mtoto hakuwa wangu kabisa, ni kuwa tu baba yake hajiwezi kiuchumi ndo maana akanibambikia, na ndo maana kipindi cha ujauzito hakunishirikisha..lakini baada ya mtoto kuzaliwa wakahisi atakosa huduma muhimu ndo maana wakanibambikia. Hapo hamu ikaniishia, sikutaka kuujua undani sana wa huyo mtoto nikaamua kupotezea.. Nikaconcentrate na Nai wangu..

Miaka ilipofika mitatu bila mtoto, nikalifanyia kazi wazo la Nai, nikaenda zangu kuchukua shombeshombe Pemba (how i met her, it's another story). Huyu ni kama alipata mimba siku ya harusi hivii...hahhahaa manaake alizaa miezi tisa kamili. Lakini Mungu sio Mzee Mkumba, baada ya kuoa, Nai alishika mimba mwezi mmoja tu mbele.. So alipishana na yule mke wangu wa pili mwezi mmoja tu kujifungua. Baada ya mwaka mmoja Nai akashika mimba nyingine na kuniletea toto la kiume (wa kwanza alikuwa wa kike). Kwa sasa nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume (kila mke mmoja akiwa na mtoto wa kike na kiume). Wanapendana sana na tunaishi kwa amani iliyopitiliza.
Wadau, nimejitahidi kufupisha ili nisiwachoshe.. and this marks the end of how I met my wife...!!.

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10th of Nzi Chuma

******Mwanzo mbaya kwa Nai*********
Ngoja nijitahidi niimalize hii story kama itawezekana...

Baada ya tukio lile, ni kama Nai aliwekwa Quarantine vile, tukawa tunaonana kwa shida saana..mpaka wakati huu nilikuwa bado sijajua kama Nai ni mjamzito. Mawasiliano na Nai yalikuwa kama kawaida, ila kuonana nae ilikuwa ni case nyingine.
Siku moja wakati nipo katika lecture moja ya mchana, Nai akanitext na kunambia kuwa Nzi Chuma kimenuka. Nikamuuliza nini tatizo? Akanijibu kuwa alinificha lakini yeye alikuwa mjamzito na mimba ilishafika miezi minne na leo ndio mama yake amejua. Wakati naendelea kuchat nae, mama Nai akapiga simu. Nikaikata na kumtext kuwa niko class, akanambia ukitoka class uje nyumbani.

Story ilikuwa hivi: Mama Nai aliingia sebuleni hii siku na kumuangalia Nai jinsi alivyojichokea pale alipokaa.. Akamchunguza vizuri, na kama ujuavyo mimba ikishafika miezi minne na maziwa nayo yanajaa, basi akamtizama na tumboni vizuri, akamwambia "jiandae tutoke". Haooo moja kwa moja mpaka zahanati ya karibu ambako alipimwa mimba na kugundulika ni positive. Mama wala hakujihangaisha kumjua muhusika ndo akanipigia.

Kumuingiza Nai katika tatizo kwa mara nyingine tena nilijisikia vibaya sana.. Ingawa Nai alionekana kama alikuwa anahitaji kuzaa na mimi ndo maana akaamua aifanye ile siri yake, lakini nadhani kutonishirikisha ndo aliharibu zaidi. Nikafika home na kuongea na bi mkubwa, kama kawaida, bi mkubwa aliniambia ujinga unaoufanya hautakusaidia wewe wala Nai. Sentensi ngumu kabisa aliyowahi kuniambia ni kuwa " Hata umpe mimba 100 Nai, mimi siwezi kukubali umuoe, nitazitoa zote". Nikajaribu kumshawishi yule mama kuwa mimi nina mapenzi ya dhati na Nai, niruhusu nimuoe. Mama akakaza.. Akaniambia mwanawe si msomi kama mimi, nitafute wasomi wenzangu.. Nilijitahidi sana kumbembeleza huyu mama ile siku (ikiwemo kumpigia magoti) lakini hakunielewa. Alichofanya ni kumpigia dokta anayemfahamu na kunambia anahitaji shilingi elf 70 afanye kazi ya kuichoropoa mimba. Akaniambia ni lazima niitoe hiyo pesa palepale ndo niondoke, daah!! Nikamkabidhi na nikatoka zangu nikiwa sina la kufanya.

Licha ya yote hayo, Nai alinilaumu kwa eti kukosa msimamo, mimi mpaka leo sijajua nilikosa msimamo gani!!. Kesho yake alipelekwa hospitali, this time bila ubishi, akatiwa mikasi na kutolewa kiumbe cha miezi minne!!. Balaa likaanzia hapo..Nai akaanza kubleed non-stop, mwanzo ilionekana kawaida, ila ilipokata mwezi mzima anableed ikawa shida kidogo. Bi mkubwa akaongea na Hafsa na Nai akahamia Mbeya kwa uangalizi wa karibu zaidi.

Tuliendelea kuwasiliana, lakini aliniambia kuwa bado anableed, na kuna siku alianguka na kupelekwa hospital kwa sababu ya upungufu wa damu, akawekewa drips za kutosha..!! Aliendelea kubleed kwa zaidi ya miezi sita!!. Kila kitu kilibadilika, alikonda zaidi ya alivyokuwa, akadhoofika sana. Mimi nilikuwa sina amani kabisa lakini sina cha kufanya pia..dadaake alijitahidi sana kuhakikisha anarudi katika hali yake ya kawaida, alitumia MD yake vizuri, lakini ni kama juhudi ziligonga mwamba hivi. Ila miezi 8 hivi baadae Nai alikata ile bleed na kipindi hiki akarudi pia Moro, mimi ndo namalizia second year sasa..

Naomba tumpumzishe kidogo Nai, nitarudi kwake.

Siku moja Sophy alinipigia simu, miezi zaidi ya 7 tangu tuache kuwasiliana, ni tangu aniambie ametoa mimba yangu...nilipopokea tukasalimiana kisha akaendelea...
"Kuna kitu nataka nikwambie, mimi kipindi kile nilikwambia kuwa nimeitoa mimba lakini si kweli, niliamua tu kukwambia vile kwa sababu sikutaka kuwasiliana na wewe kwa sababu baba kama alikuwa ameniwekea watu wa kunifuatilia kwa karibu hivii..alikuwa anataka kumjua mtia mimba, so the only solution nikaona ni kukwambia nimetoa mimba, nilijua hutakuwa tena na hamu ya kuwasiliana na mimi na hapo tutakuwa safe sote. Nimejifungua wiki tatu zilizopita, mtoto wa kiume, anaitwa Bryan..". Hapo Sophy akatia nanga na kunisikiliza nitasemaje, nikamshawishi aje nae mtoto nimuone, akasema hakuna shida... Nitakuja nae weekend baada ya weekend hii...!!.

Kweli Sophy alikuja na mtoto, huwezi kabisa kubisha kuwa ni wa kwangu, lakini nilikuwa na mashaka sana na maelezo yake...nikajaribu kuulizia upendo kama bado upo, akanambia ananipenda sana tu.. Nikaomba mzigo, Sophy akanipa nikaosha rungu..daaah!! Nikafurahi kupata mtoto angalau, lakini hii story ya kufichwa sababu ya babaake Sophy bado ilibaki kichwani mwangu.. Tukakubaliana pia mtoto aitwe AbdulRahiim badala ya Brayan (Sophy alikuwa mkristo nami ni Muslim), wazo likapita..Sophy akawa Mama Abdul!!.
Sasa nikaanza kuwajibika na kutuma vihela vya matumizi kwa ajili ya mtoto, na kila nilipokuwa nahitaji kumuona mtoto mama yake alikuja nae.. Nikaanza pia mawasiliano na mamaake Sophy, mambo yakawa yanaenda vizuri tu.

Hebu tukiongelee kipindi ambacho Nai alikuwa Mbeya na Sophy hajanitafuta.. Niliishije??... Hahahhahaa...

Ngoja nikupe story ya kula kimasihara kwanza, halafu nitarudi huko kumalizia....

Chumba cha pili pale nilipokuwa nimepanga alikuwepo dada Fatuma, dada la mjini (single mother) lenye watoto wawili (mmoja alikuwa class 7 na mwengine class 4). Aliishi yeye na mtoto wake wa kike na dada wa kazi.. Alipangisha vyumba viwili, kimoja (kilikuwa kushoto mwa chumba changu) kina sebule alicholala yeye na mwanae, kingine kimoja kipo alone, kilikuwa kulia mwa chumba changu ndicho aliishi beki tatu.
Wakati wa shifts za night alishinda nyumbani mchana na alikuwa akishuhudia matukio yote ya mademu zangu..kuanzia Zulfa, Nai na Sophy..aliwashuhudia vizuri wakipishana. Ingawa mara nyingi sana alimshuhudia zaidi Nai. Alionesha dalili za kunitaka mapema sana, lakini sikuwahi kuwaza kumla kimasihara kabisa. Lakini hakuchoka.. Siku moja akaniomba namba ya simu, tukawa tumeanza kuchat.

Wakati flani wa baridi kali pale Moro, mwezi wa 6-7(ndo kipindi ambacho Nai hakuwepo) alinitext saa 6 usiku na kuniuliza "Ushalala?" Mimi nikamjibu "Nalala vipi baridi kali namna hii?" Akaniambia "huna blanket?" Nikamwambia "Si vibaya leo blanket ukawa wewe, maana nateseka hasa".. Akanijibu " Mmmh.. Namuogopa yule dada ingawa sijamuona mdaa.." Nikamwambia "Mlango uko wazi, njoo nikupe story yake". Akatulia kama dakika mbili hivi kisha akajibu " Mimi sijazoea kuingia mageto ya watu", nikamwambia "Uoga wa aina hiyo siutegemei kwa watu wazima kama wewe". Akanijibu "Mtu mzima nina ndevu za wapi?" Mimi nikajibu "Mlango uko wazi, sukuma tu". Zikapita dakika kama kumi hivi ndo nikaona mlango unasukumwa.. Nilikuwa niko kwenye meza napitia simbi zangu katika computer, nikaruka mlangoni na kulihug.. Hili dada lilikuwa limeenda hewani, maziwa makubwa, tako kama lote.. Wakati huu lilikuwa na miaka 32, nikalianzia palepale mlangoni, nilipiga goti, nikalivuta juu dera lake kisha nikalipa lishike, lilikuwa halina chupi, nikazama moja kwa moja chumvini..

Ngoja tufupishe.. Nikalipakua hiyo siku mpaka mida ya saa 10 hivi ndo likarudi kwake, na huo ndo ukawa mchezo wetu kila alipokuwa shift ya mchana, basi usiku alilala kwangu..!! Hivyo ndivyo nilivyotoboa life nikiwa mbali na Nai. Tatizo la Fatuma alikuwa ana wivu saaana.. Yaani baada tu ya kumla, basi hata akija demu pale geto alikuwa ananuna..!! Akidai kuwa yaani mi ananipa msosi halafu nautumia kuwala mademu zangu wengine (ni kweli alikuwa akipika ananiekea, na akawa pia anamcommand beki tatu wake afue nguo zangu pia). Ila mimi sikujali sana wivu wake, ilimradi akiwa yupo pale geto usiku mimi napiga show ya maana saana.

Ngoja turudi kwa Nai sasaa..

Aliporudi Moro, ni kama mamaake alimsahau hivi, akahisi atakuwa Nai ameshagive-up na mimi. So ukawa ni wakati mwengine wa kubanjuka na Nai, nikaendelea kula mzigo kama kawa.. This time ilikuwa maradufu, as kila mtu amemmis mwenzake kwa zaidi ya miezi 6. Basi anaweza kuja geto mchana, ikafika jioni nikahisi nimemmis, so kigiza kikiingia nasogea kwao, anatoka, namshukisha ukuta wa nyumba yao, nagonga vitu.
Ilikuwa too much yani, yaani ni full kugegedana, hata hatukujua hatma yetu ni nini!! Ni kulana tu.

A month later, Nai akaniambia anahisi kama ana mimba tena, lakini alifurahi sana kwa sababu anadai katika kile kipindi alichobleed sana, mmoja wa madaktari alimwambia kuwa amekatwa mrija wa uzazi, kwahiyo huenda asizae tena. Aliniambia hivi baada ya kuhisi ana mimba (hakuwahi kunambia before), so inawezekana alitaka kuprove kama kweli. Nikamwambia apime ahakikishe, nikamletea UPT, akapima, kweli ilikuwa mimba..alifurahi sana. Ila unfortunately, two weeks later ikatokea miscarriage.. Ila haikuwa shida sana kwake, kule kushika mimba tu, kwake ikawa furaha.

Baada ya miscarriage alibleed kama siku kumi tu akarudi normal.. Tukaanza tena show za mgegedo.. Mimba tena.. A month later miscarriage..duuh!! Tukahisi kuna shida, lets try for another time tujiridhishe.. Tukagonga tena show.. Akapata tena mimba.. In six weeks, miscarriage..!! Hapo ndo tulipogundua kuwa kwenye kizazi cha Nai lazima kutakuwa na shida, shida hiyo ndo inasababisha mimba zitoke ovyo!!. Lakini hatukuwa na cha kufanya, tukakubaliana tusipeane tabu, niwe namwaga nje..!! Tukaendelea hivyo..

Nadhani imebaki part ya mwisho kumalizia hii story... Nitakuja kuimalizia.

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
Masikini nai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
11th of Nzi Chuma..

Nitaandika hii mpaka nifike mwisho..

Mwaka wa tatu wa chuo kwangu ulikuwa na ubusy kidogo, so sikuwa na time sana na mapenzi kiviile, muda mwingi nilikuwa chuo, nikirudi usiku sanaa geto nimechoka, naweka simu silent nalala. Nai alikuwa mwanamke mwelewa sana, hakusumbua, shida niliipata hapa kwa single mama, akiwa yupo pale usiku anapiga simu mpaka unajuta yaani..mpaka sometimes nikawa nazima simu..yeye muda wote anataka mapenzi tu!! Mwezi mmoja kabla ya UE huyu single mother nae akapata mimba yangu. Alifurahi sana, alinambia kumbe alihangaika muda mrefu sana kupata mimba nyingine, lakini mimi nimemuwezea. Kwangu sikuona shida, nilijua kwa sababu anafanya kazi na ametafuta mtoto kwa muda mrefu, atazaa tu na atalea.. Lakini haikuwa hivyo. Nilivyoondoka tu pale Moro baada ya kumaliza UE, wiki mbili tu nyuma akaniambia imeharibika, nikajua atakua ameshaitoa.

Niliendelea kuwasiliana na Nai na pia niliendelea kuhudumia mtoto kwa Sophy!. Sikukaa sana kitaa nikapata kazi katika mradi flani ambao walikuwa wanatulipa vizuri, hapo nikaamua kujitegemea rasmi na kuanza mipango ya kuanzisha family.. Moyoni mwangu aliishi Nai tu. Niliamini nitamuoa tu one day.. Baada ya kufanya kazi kwa miezi sita hapa jijini nikawa niko vizuri sana. Nikarudi home na kuwaeleza mikakati yangu juu ya kuanzisha familia, nikawaeleza kuhusu Nai na yote yaliyotokea. Vidume vikajitokeza kunisaidia, nikavipa map vikafika kuonana na wazazi wake Nai..naam mtu mzima dawa, hawakutoka patupu..nikapata mrejesho wa kulipa mahari, nikalipa na kumuoa Nai, mtu niliyempenda zaidi maishani mwangu..!!. Lakini Nai hakuwa na raha na ndoa yetu, alikuwa anajua kuwa hawezi kupata mtoto. Lakini mimi nilimpa moyo kwa kumwambia kuwa ni bora nimekuwa mimi ambaye ndio msababishaji wa yote haya ndiye niliyekuoa kuliko angekua mtu mwengine, angekunyanyasa sana.. Nilijitahidi kufanya kila niwezalo Nai awe na furaha katika ndoa, lakini sidhani kama nilifanikiwa kwa 100%.

Muda flani akaanza kunilazimisha nioe mwanamke mwengine ili nipate mtoto (hapa tulishakaa miaka miwili katika ndoa). Alihisi sina amani. Lakini mimi nilikomaa nae, kila daktari mtaalam wa Gynecology niliyemsikia nilionana nae, dawa nyingi zikitumika lakini bado hatukufanikiwa. Mwisho nikamweleza ukweli Nai kuhusu Sophy, akaniambia niwasiliane na Sophy ili Abdul aje hapa atufariji.. Nikawasiliana na Sophy, nikamueleza mpango wangu, hapo ndipo Sophy aliponibadilikia na kunieleza kuwa yule mtoto hakuwa wangu kabisa, ni kuwa tu baba yake hajiwezi kiuchumi ndo maana akanibambikia, na ndo maana kipindi cha ujauzito hakunishirikisha..lakini baada ya mtoto kuzaliwa wakahisi atakosa huduma muhimu ndo maana wakanibambikia. Hapo hamu ikaniishia, sikutaka kuujua undani sana wa huyo mtoto nikaamua kupotezea.. Nikaconcentrate na Nai wangu..

Miaka ilipofika mitatu bila mtoto, nikalifanyia kazi wazo la Nai, nikaenda zangu kuchukua shombeshombe Pemba (how i met her, it's another story). Huyu ni kama alipata mimba siku ya harusi hivii...hahhahaa manaake alizaa miezi tisa kamili. Lakini Mungu sio Mzee Mkumba, baada ya kuoa, Nai alishika mimba mwezi mmoja tu mbele.. So alipishana na yule mke wangu wa pili mwezi mmoja tu kujifungua. Baada ya mwaka mmoja Nai akashika mimba nyingine na kuniletea toto la kiume (wa kwanza alikuwa wa kike). Kwa sasa nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume (kila mke mmoja akiwa na mtoto wa kike na kiume). Wanapendana sana na tunaishi kwa amani iliyopitiliza.
Wadau, nimejitahidi kufupisha ili nisiwachoshe.. and this marks the end of how I met my wife...!!.

Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
Nai ana Moyo Kama wa Nora aisee..wanawake wa ivyo wamebaki wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom